Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
- Thread starter
-
- #141
Kwani kama Na uwezo wa kununua iPhone ni lazima ninunue iPhone???ππππBado hujaelezea wanaringia nini. Una uwezo wa kununua ila una nunua oppo? Are you serious bro? Natumia simu zote , zote zina pro na cons zake. Tafuta kinachoendana na wewe tumia acha malalamiko yasiyo na msingi
Anhaaaaa kumbe uwezo SinaKila kitu kina shuka bei na dhaman as time inavyoenda. Nilipata samsung S20 na S21 wkt ni hot cake mjini, leo bei yake mnyonge yoyote ana nunua. Rav4 TRD new model leo ni hot cake, ni chache for now, miaka kadhaa mbelen zitajaa road balaa. Thats life
Si lazima , ila kulikuwa kuna haja ya kutoa povu kama ana uwezo huo?
Napinga kabisa mwanaume na iPhone kama sio content creator bas jua ni ulimbukeni na ushamba.. plus elements za kijionesha ambayo imekaa kikeMimi binafsi si mpenzi wa iphone kabisa ni mpenzi wa samsung ila hii ya kusema kwamba wanaotumia iphone ni mashoga sijui wadangaji sioni kama imekaa sawa, mambo ya kusema kuna vitu kama simu au magari vya kiume na vya kike ni dalili ya kuwa na stress na roho za kimasikini, hao watengenezaji wenyewe sidhani kama huwa wanasema kwamba hizi wanatengenezea jinsia fulani au fulani
tunaachaje sasa πππMahiiii ππ mbona nguvu ni kubwa sana, shida nini? Mirror selfie hatuachiii kupiga
π π π π Yote hayo ya niniWatu wakibisha sana leta bank statement ili kuwakata ngebe
Sasa wewe umesema sasa.Nakubaliana na hoja yako.
Cha ajabu wanawake wenye Iphone hawana hata kazi wala biashara....sijui wanazipataje hapa mjini.
Au kuna sehemu wanagawa bure?
ππ na hiyo hela ipoteeYeah na nimeona baadhi yenu kwenye Uzi huu mmeweka picha mlizopiga na iPhone zenu za kishamba. Ntaanza na nyie mjipange
Sasa hizo viatu anazouza akipiga na infinix huoni itamchenga kiasi kwenye mambo ya marketing.IPhone ina fetures nying sana hasa za security - mtu ananunua afu anashinda kwa mitandao kuuza viatu na boxer, sasa badala ya kutumia 3m kwa simu si ungenunua infix ya laki mbili ingefanya kazi hiyo hiyo.
Unanunua iPhone ya 5m wakati huna chochote cha security kwa info zako - yaani hata acc ya dola huna, biashara nje ya nchi huna yaani umejaa mikopo mitupu.
π€£π€£π€£Hata mimi nina iphone mbona simu nzuri sana hizi, Yaani kumiliki simu nzuri hivi ndio mnatuvua nguo kiasi hiki jamani. Mpaka tuna element za ushoga au wanawake eeenh.
Mambo Briancah Chopraπ€£π€£π€£
π€£π€£poapoa βοΈMambo Briancah Chopra