Watumishi makanisa ya kiroho muwe mnaenda na mahospiltali kufanya miujiza msitufanye wajinga

Pastor yuko madhabahuni kapiga miwani ya macho, home kwake kuna electric fense, kafanya installation za CCTV cameras eneo lote.

Kama hiyo haitoshi getini si ajabu kukawa na walinzi wenye silaha wanaendelea kulinda 24 hrs.

Na yeye akiwa ndani hakai kizembe, kwenye safe box unakuta kuna Glock 19 iko loaded kabisa.

Ukija ndani ya Kanisa kumewekwa fire extinguishers za kutosha ukitoka nje kwenye packing unaona ambulance shazi zimekaa standby.

Then akiwa anahubiri utaskia "Tunalindwa kwa damu ya Yesu", "Yesu anaponya"

Na waumini walivyokuwa indoctrinated wanaamini.
 
Pastor yuko madhabahuni kapiga miwani ya macho, home kwake kuna electric fense, kafanya installation za CCTV cameras eneo lote.

Kama hiyo haitoshi getini si ajabu kukawa na walinzi wenye silaha wanaendelea kulinda 24 hrs.

Na yeye akiwa ndani hakai kizembe, kwenye safe box unakuta kuna Glock 19 iko loaded kabisa.

Ukija ndani ya Kanisa kumewekwa fire extinguishers za kutosha ukitoka nje kwenye packing unaona ambulance shazi zimekaa standby.

Then akiwa anahuburi utaskia "Tunalindwa kwa damu ya Yesu", "Yesu anaponya"

Na waumini walivyokuwa indoctrinated wanaamini.
Ni kampuni sio kanisa
 
Back
Top Bottom