Watumishi makanisa ya kiroho muwe mnaenda na mahospiltali kufanya miujiza msitufanye wajinga

Watumishi makanisa ya kiroho muwe mnaenda na mahospiltali kufanya miujiza msitufanye wajinga

Waliokuwa hospitali hawana, imani yao imewatuka kwenda hospitali, wangekuwa na imani wangeanzia kwa watumishi kwanza.

Sisi watumishi hatuwezi kwenda kuhangaika na watu wasio na imani.
Wewe au mtumishi mwenzio hamjawahi kwenda hospital kutibiwa,watumishi wangapi wanafia mahospitalini ndani ja nje ya mchi?

Kama nawewe uko kwa kundi hilo basi ni kiazi jitafakakari!!
 
Tujifunze kwa baba wa uponyaji; Jesus Christ na mitume. Did they do what you're proposing?

Watu hufuata uponyaji kwa imani na sio uponyaji ufuate watu kuwaaminisha! Ukielewa hiyo itakusaidia sana na kukuondolea upotoshaji usio na msingi.
Kama ni kuishi na kuponywa kwa imani mbona wapo waumini wengi sana bado wana matatizo wakiwemo wachungaji na maaskofu wenu??
 
Pale Bungeni si yupo Muwakilishi wao,tena ni Askofu cheo cha juu kabisa katika ngazi za kiuongozi,Mbunge moja asimame amuulize.
 
Tangu dunia iumbwe sijawahi kuona watumishi wa makanisa ya kiroho wametenga hata jumapili moja kutembelea mahospitalini kufanya miujiza ya kuponya wagonjwa kule.

Mie nahisi kuna jambo nyuma ya pazia
Mahospitalini tungefika ila vibali vya serikali huwa ni changamoto.
 
Tangu dunia iumbwe sijawahi kuona watumishi wa makanisa ya kiroho wametenga hata jumapili moja kutembelea mahospitalini kufanya miujiza ya kuponya wagonjwa kule.

Mie nahisi kuna jambo nyuma ya pazia
Nasikiaga eti wale wagonjwa waliolazwa mahospitalini hawanaga Imani hivyo nabii akienda kuwaombea hawawezi kupona mpaka wale wanaokuja pale uwanjani kwenye mahubiri ndo wana imani😁😁😁😁
 
Pastor yuko madhabahuni kapiga miwani ya macho, home kwake kuna electric fense, kafanya installation za CCTV cameras eneo lote.

Kama hiyo haitoshi getini si ajabu kukawa na walinzi wenye silaha wanaendelea kulinda 24 hrs.

Na yeye akiwa ndani hakai kizembe, kwenye safe box unakuta kuna Glock 19 iko loaded kabisa.

Ukija ndani ya Kanisa kumewekwa fire extinguishers za kutosha ukitoka nje kwenye packing unaona ambulance shazi zimekaa standby.

Then akiwa anahuburi utaskia "Tunalindwa kwa damu ya Yesu", "Yesu anaponya"

Na waumini walivyokuwa indoctrinated wanaamini.

Tangu dunia iumbwe madaktari hawajawahi kwenda kanisani kuponya wagonjwa.
Ukiwa na mgonjwa au wewe ukiwa mgonjwa unaamua uende wapi, kanisani au hospitali.
Mwamposa hana ruhusa kufanya kazi yake hospital na daktari hana ruhusa kufanya kazi yake kanisani.
Hahahahahahaa, nimecheka kama mazuri ila inahuzunisha sana, chakufanya ni kimoja tu ili uamini wapi ni mahali sahihi pakupata uponyaji

Fanya hivi,, siku moja ukiwa na ugonjwa wowote Eg UTI, malaria, au gono n.k nenda kanisani kaombewe uone kama utapona, usipopona nenda pia hospitali kisha ulete mrejesho ni wapi ulipata uponyaji.

Nisiongee sana maana hao wachungaji tunawaona sana huku mahospitalini wakija kutibiwa
 
Mambo ya kaisari apewe kaisari, wagonjwa hospitalini ni wa serikali imewajengea watibiwe huko, si kila mgonjwa anahitaji muujiza apone. Muujiza ni imani atapona mgonjwa anayeamini hata akinywa dawa hospitalini
Umetoa jibu mjaarabu kabisa.
 
Kwamba wakati wa Yesu kulikuwepo na hospitali kama tunavyozielewa nyakati hizi? Pengine hawa watenda miujiza wangepanda punda ili wafanane na Yesu
Inaonekana una upungufu tu wa maarifa kichwani... Ukisikia neno Hospital unahisi ni nini au unaelewa nini..?
WaTz jifunze kuelewa mambo madogo ili kuepuka fedheha
 
Back
Top Bottom