To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
🤣🤣🤣 Mwenyewe naanzisha kanisa cute...na nitatoboa tu.Upo hapa !Wewe Atupele mbona unamkaanga homboy wako🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 Mwenyewe naanzisha kanisa cute...na nitatoboa tu.Upo hapa !Wewe Atupele mbona unamkaanga homboy wako🤣🤣
Kule kwenu kila baada ya nyumba kabisa au muimbaji au muinjilist.🤣 Mko vyede injili isonge mbele🤣🤣🤣 Mwenyewe naanzisha kanisa cute...na nitatoboa tu.Upo hapa !
😂Tumbo indirectMwaposa kaanzisha alaambe ya Bodaboda Cup elewa neno 'Alaambe'
Asee ujinga ni msalaba wallah.Pastor yuko madhabahuni kapiga miwani ya macho, home kwake kuna electric fense, kafanya installation za CCTV cameras eneo lote.
Kama hiyo haitoshi getini si ajabu kukawa na walinzi wenye silaha wanaendelea kulinda 24 hrs.
Na yeye akiwa ndani hakai kizembe, kwenye safe box unakuta kuna Glock 19 iko loaded kabisa.
Ukija ndani ya Kanisa kumewekwa fire extinguishers za kutosha ukitoka nje kwenye packing unaona ambulance shazi zimekaa standby.
Then akiwa anahuburi utaskia "Tunalindwa kwa damu ya Yesu", "Yesu anaponya"
Na waumini walivyokuwa indoctrinated wanaamini.
To yeye huyo kwenye picha ni wewe? Samahani lakini🤣🤣🤣 Mwenyewe naanzisha kanisa cute...na nitatoboa tu.Upo hapa !
Tangu dunia iumbwe sijawahi kuona watumishi wa makanisa ya kiroho wametenga hata jumapili moja kutembelea mahospitalini kufanya miujiza ya kuponya wagonjwa kule.
Mie nahisi kuna jambo nyuma ya pazia
Tujifunze kwa baba wa uponyaji; Jesus Christ na mitume. Did they do what you're proposing?Tangu dunia iumbwe sijawahi kuona watumishi wa makanisa ya kiroho wametenga hata jumapili moja kutembelea mahospitalini kufanya miujiza ya kuponya wagonjwa kule.
Mie nahisi kuna jambo nyuma ya pazia
Hapana broTo yeye huyo kwenye picha ni wewe? Samahani lakini