Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inashangazi wewe uliyejawa na maarifa kichwani unamjadili mtoa hoja badala ya hoja yake. Hebu tufahamishe basi wewe unaelewa nini unaposikia neno hospitali. Kwa kuelimishana kwa ustaarabu kutatuwezesha watz kujifunza hayo mambo madogo na kuepuka fedheha kama unavyoelekea kujinasibuInaonekana una upungufu tu wa maarifa kichwani... Ukisikia neno Hospital unahisi ni nini au unaelewa nini..?
WaTz jifunze kuelewa mambo madogo ili kuepuka fedheha
SafiKati ya walinzi wa mwamposa kaugua,mwamposa kampeleka hospital....mijitu bado haijagutuka tu.wamekazana tu,mafuta,mafuta,mafuta ya mwamposa yanaponya🤨 ....wewee,nani kakuambiaa
Huko hospital mgonjwa àsipopona usipolipa wanazuia màiti, kwà Mwamposa usipopona ukàfa hawazuii màiti.Wagonjwa hawana sadaka wala fungu la kumi 😁
Kweli kabisa, hàta huwezi ona madaktari wànaenda kwa Mwamposa kuponya wagonjwa.Mtumishi wa kiroho kwenda hospitalini kufanya miujiza na kuponya?
Huko ni kuingilia taaluma ya madaktari,uhuru wa mgonjwa kwasababu mgonjwa anatakiwa atibiwe katika namna ya utulivu.
Hata hivyo miujiza inatumika kama Ishara kwa mtu asiyeamini,sana sana ilitumika na inatakiwa itumike kuthibitisha Yesu ndiye Kristo yule aliyenenwa kwenye torati na manabii
Kristo mwenyewe alitumia miujiza,Ishara na maajabu kuthibitisha yeye ndiye.
Tena Hospitali ni taasisi na kuna taratibu zake.
Wewe kwa akili yako ulishaona mgonjwa analazwa hospital bure bila "sadaka"?Wagonjwa waliolazwa hospitalini wana fedha za ''sadaka''?
Unasema?!?tutaanza kuwatembezea mboko sasa huu ni utapeli kama utapeli mwingine.