Watumishi makanisa ya kiroho muwe mnaenda na mahospiltali kufanya miujiza msitufanye wajinga

Kati ya walinzi wa mwamposa kaugua,mwamposa kampeleka hospital....mijitu bado haijagutuka tu.wamekazana tu,mafuta,mafuta,mafuta ya mwamposa yanaponya🤨 ....wewee,nani kakuambiaa
Hata mwamposa mwenyewe amewahi lazwa hapo Aghakhan Dar. Kuna jamaa mwenzetu alikuwa kapakana nae chumba (VIP)

Acha wapigwe tu
 
Tangu dunia iumbwe sijawahi kuona watumishi wa makanisa ya kiroho wametenga hata jumapili moja kutembelea mahospitalini kufanya miujiza ya kuponya wagonjwa kule.

Mie nahisi kuna jambo nyuma ya pazia
Tangu dunia iumbwe madaktari hawajawahi kwenda kanisani kuponya wagonjwa.
Ukiwa na mgonjwa au wewe ukiwa mgonjwa unaamua uende wapi, kanisani au hospitali.
Mwamposa hana ruhusa kufanya kazi yake hospital na daktari hana ruhusa kufanya kazi yake kanisani.
 
Tangu dunia iumbwe sijawahi kuona watumishi wa makanisa ya kiroho wametenga hata jumapili moja kutembelea mahospitalini kufanya miujiza ya kuponya wagonjwa kule.

Mie nahisi kuna jambo nyuma ya pazia
Hawawezi mkuu! Matapeli tu wa kiroho na mazingaombwe hao!
 
Faith is really misunderstood and misintepreated by so many. Soo many.
Kazi ni kubwa sana inayopaswa kufanyika.
 
Kati ya walinzi wa mwamposa kaugua,mwamposa kampeleka hospital....mijitu bado haijagutuka tu.wamekazana tu,mafuta,mafuta,mafuta ya mwamposa yanaponya🤨 ....wewee,nani kakuambiaa
Swala la mafuta limekaa kishirikina zaidi maana hata kwenye Biblia hakuna mtu aliyewahi kuponya kwa mafuta ni mradi mzuri wa kuingiza pesa
 
Tangu dunia iumbwe sijawahi kuona watumishi wa makanisa ya kiroho wametenga hata jumapili moja kutembelea mahospitalini kufanya miujiza ya kuponya wagonjwa kule.

Mie nahisi kuna jambo nyuma ya pazia
Wagonjwa hawana sadaka wala fungu la kumi 😁
 
Hao manabii mngewaacha tu kila mtu na njia yake yakusaka pesa halafu inaonesha wapo bize zaidi kuhesabu pesa kuliko kusikiliza wanaowapinga
 
Tangu dunia iumbwe sijawahi kuona watumishi wa makanisa ya kiroho wametenga hata jumapili moja kutembelea mahospitalini kufanya miujiza ya kuponya wagonjwa kule.

Mie nahisi kuna jambo nyuma ya pazia
Anayetaka muujiza aje kanisani. Kwanini anayetaka vidonge na sindano anavifuata hospitali na sio kituo cha polisi? Kila mahali na kazi yake.
 
Tangu dunia iumbwe sijawahi kuona watumishi wa makanisa ya kiroho wametenga hata jumapili moja kutembelea mahospitalini kufanya miujiza ya kuponya wagonjwa kule.

Mie nahisi kuna jambo nyuma ya pazia
Wagonjwa waliolazwa hospitalini wana fedha za ''sadaka''?
 
Hakuna dokta mwenye akili timamu anayeweza kuruhusu wachungaji kufanya ibada wodini. Maana aina ya maombezi ya walokole yanahitaji kupaza sauti kuuuuuuuu(besi la mwisho kabisa)na sio kimya kimya
 
Tangu dunia iumbwe sijawahi kuona watumishi wa makanisa ya kiroho wametenga hata jumapili moja kutembelea mahospitalini kufanya miujiza ya kuponya wagonjwa kule.

Mie nahisi kuna jambo nyuma ya pazia
Bwana yesu pia hakwenda hospital
 
Tangu dunia iumbwe sijawahi kuona watumishi wa makanisa ya kiroho wametenga hata jumapili moja kutembelea mahospitalini kufanya miujiza ya kuponya wagonjwa kule.

Mie nahisi kuna jambo nyuma ya pazia
Watakuambia yesu hakuwafata ma hospitali... Watakuambia walioenda hospital wanaamini madaktari.. watakuambia mganga hafati mwenye shida
 
Waliokuwa hospitali hawana, imani yao imewatuka kwenda hospitali, wangekuwa na imani wangeanzia kwa watumishi kwanza.

Sisi watumishi hatuwezi kwenda kuhangaika na watu wasio na imani.
 
Back
Top Bottom