HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,108
- 1,132
Wewe au mtumishi mwenzio hamjawahi kwenda hospital kutibiwa,watumishi wangapi wanafia mahospitalini ndani ja nje ya mchi?Waliokuwa hospitali hawana, imani yao imewatuka kwenda hospitali, wangekuwa na imani wangeanzia kwa watumishi kwanza.
Sisi watumishi hatuwezi kwenda kuhangaika na watu wasio na imani.
Kama ni kuishi na kuponywa kwa imani mbona wapo waumini wengi sana bado wana matatizo wakiwemo wachungaji na maaskofu wenu??Tujifunze kwa baba wa uponyaji; Jesus Christ na mitume. Did they do what you're proposing?
Watu hufuata uponyaji kwa imani na sio uponyaji ufuate watu kuwaaminisha! Ukielewa hiyo itakusaidia sana na kukuondolea upotoshaji usio na msingi.
AlaambeโMwaposa kaanzisha alaambe ya Bodaboda Cup elewa neno 'Alaambe'
Mahospitalini tungefika ila vibali vya serikali huwa ni changamoto.Tangu dunia iumbwe sijawahi kuona watumishi wa makanisa ya kiroho wametenga hata jumapili moja kutembelea mahospitalini kufanya miujiza ya kuponya wagonjwa kule.
Mie nahisi kuna jambo nyuma ya pazia
Hivyo hivyo alaambe sijakosea usilazimishe maana Mimi namaanisha kitu kingine kabisaAlaambeโ
Harambeeโ๏ธ
HayaHivyo hivyo alaambe sijakosea usilazimishe maana Mimi namaanisha kitu kingine kabisa
Kulamba = alambeHaya
SawaKulamba = alambe
Kuchangia michango kwa ajili ya jambo fulan = harambee
Sasa nimesema 'analamba' mipunga mingine kupitia hio ligi ya bodaboda aliyoianzisha
Nasikiaga eti wale wagonjwa waliolazwa mahospitalini hawanaga Imani hivyo nabii akienda kuwaombea hawawezi kupona mpaka wale wanaokuja pale uwanjani kwenye mahubiri ndo wana imani๐๐๐๐Tangu dunia iumbwe sijawahi kuona watumishi wa makanisa ya kiroho wametenga hata jumapili moja kutembelea mahospitalini kufanya miujiza ya kuponya wagonjwa kule.
Mie nahisi kuna jambo nyuma ya pazia
Mwaposa anakosa kibari gani cha kutembelea hata Jela kwenda kuwaombea wafungwa?Mahospitalini tungefika ila vibali vya serikali huwa ni changamoto.
Pastor yuko madhabahuni kapiga miwani ya macho, home kwake kuna electric fense, kafanya installation za CCTV cameras eneo lote.
Kama hiyo haitoshi getini si ajabu kukawa na walinzi wenye silaha wanaendelea kulinda 24 hrs.
Na yeye akiwa ndani hakai kizembe, kwenye safe box unakuta kuna Glock 19 iko loaded kabisa.
Ukija ndani ya Kanisa kumewekwa fire extinguishers za kutosha ukitoka nje kwenye packing unaona ambulance shazi zimekaa standby.
Then akiwa anahuburi utaskia "Tunalindwa kwa damu ya Yesu", "Yesu anaponya"
Na waumini walivyokuwa indoctrinated wanaamini.
Hahahahahahaa, nimecheka kama mazuri ila inahuzunisha sana, chakufanya ni kimoja tu ili uamini wapi ni mahali sahihi pakupata uponyajiTangu dunia iumbwe madaktari hawajawahi kwenda kanisani kuponya wagonjwa.
Ukiwa na mgonjwa au wewe ukiwa mgonjwa unaamua uende wapi, kanisani au hospitali.
Mwamposa hana ruhusa kufanya kazi yake hospital na daktari hana ruhusa kufanya kazi yake kanisani.
Umetoa jibu mjaarabu kabisa.Mambo ya kaisari apewe kaisari, wagonjwa hospitalini ni wa serikali imewajengea watibiwe huko, si kila mgonjwa anahitaji muujiza apone. Muujiza ni imani atapona mgonjwa anayeamini hata akinywa dawa hospitalini
Inaonekana una upungufu tu wa maarifa kichwani... Ukisikia neno Hospital unahisi ni nini au unaelewa nini..?Kwamba wakati wa Yesu kulikuwepo na hospitali kama tunavyozielewa nyakati hizi? Pengine hawa watenda miujiza wangepanda punda ili wafanane na Yesu