Watumishi tunapoelekea Mei Mosi tumwambie nini Rais Samia?

Mei mosi ya 2. Ya kwanza alitoa ahadi hii, ambayo inasubiri utekelezaji
Your browser is not able to display this video.
 
Hakuna ada ya lazima…hapo mnapigwa…Trade unions ni hiyari kama ilivyo CWT sema mnatengenezwa kuonesha ni lazima

Andikeni barua za kujitoa halafu wajibu kuwa ni lazima na waweke hizo circulars au muongozo wowote unaolazimisha

Tumuunge Mkono Rais Samia kwa kutompa vikazi ambavyo tunaweza kumaliza huku huku chini
Kufuta ADA YA UWAKALA yaani Makato ya Lazima ya mishahara kwenda kwenye vyama vya wafanyakazi.
 
huyo masikio kaweka udogo sio pamba sidhani km atawasikiliza.
 
Watumishi mwaka huu hamna chenu..atakuja na ngonjera za vita vya Ukraine na urusi...endeleeni kufanya kazi kwa moyo mtalipwa na muumba.

Chaka jipya la serikali kujifijia ni vita.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hujui chochote. Rndeea kupiga Domo ndio kawaida ya Waswahili
 
Andaeni maandamano ya kumpongeza kwa kupandisha bei vitu
 
Anamaanisha master's degree itambulike kwenye mifumo ya ajira, Yani iwe na general impact Kama ambavyo mtu mwenye diploma akienda kusoma degree akirudi anafanyiwa recategorization..ambapo kwasasa master's degree haina impact.
Fafanua kidogo.
 
Aongeze kweli sio kuongeza elfu 10 kama jpm maana watumishi mmevumilia kwa zaidi ya miaka 6.
 
Inawezekana sijui kweli sasa usiniache na kutokujua kwangu na kunidhihaki na kunikejeli kwa uswahili na domo langu…just eleza tu kama ni maelekezo ya standing order au Waraka upi ili usaidie na wengine wasiojua kama mimi
Hujui chochote. Rndeea kupiga Domo ndio kawaida ya Waswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…