Watumishi tunapoelekea Mei Mosi tumwambie nini Rais Samia?

Watumishi tunapoelekea Mei Mosi tumwambie nini Rais Samia?

Tunakupenda sana Mama, Mafuta bado tunauziwa bei poa
 
Suala la upungufu wa watumishi si la mtumishi , ni la serikali kwa maana ndio yenye kuajiri. Mimi nimeshatumikia zaidi ya miaka 7 kituo fulani. Kuhama kwenda mahala ninapostahili ni haki yangu.
Kwa hiyo ndugu yangu unataka serikali iajili tu watu hata kama watumishi wanatosha ili iruhusu watu kuhama? nazani unajua kitu kinaitwa ikama?
 
Kwa hiyo ndugu yangu unataka serikali iajili tu watu hata kama watumishi wanatosha ili iruhusu watu kuhama? nazani unajua kitu kinaitwa ikama?
Hujakutana na kadhia hii Mkuu. Hujui.
 
Watumishi wa umma mna bahati mbaya sana wakati wa utawala wa Magufuli aliwaahidi kwa miaka mitano mfululizo kuwaongeza mishahara mpaka anafariki hakulitekeleza hilo.

Sasa ni zamu ya mama sioni mwanga mbele juu yenu hasa ukizingatia tayari vita ya ukraine imeanza kuharibu chumi mbalimbali duniani ambazo punde zimetoka kupigwa na korona.

Muombeni Mungu na mumuombee mama na serikalini yake ivuke kizingiti hiki la sivyo inakula kwenu.

Nimimi kibwengo
 
Moderators wa jamiiforum 98% ya nyuzi zangu zinafutwa na sioni shida yoyote sasa mkipenda futeni na huu mnaudhi sana. Halafu wengine tunawazidi akili na maarifa ila basi tu.
 
kama Umechoka kazi ONDOKA, kuna kundi la watanzania wengi mtaani wanaweza kufanya kazi hiyo kwa mshahara huohuo
 
Afikirivyo mtu ndivyo alivyo.
Unaweza kukuta hakuna mtu anayekuona unavyohisi, acha kujistukia......ila watumishi siyo ng'ombe na wala siyo mfano huo.

Lakini hii haizuii wewe ukiwaona wengine ng'ombe kwa sababu ndivyo unavyo katika Dunia yako.
 
Waam
kama Umechoka kazi ONDOKA, kuna kundi la watanzania wengi mtaani wanaweza kufanya kazi hiyo kwa mshahara huohuo
Waambie wanaohusika nadhani baridi ya njombe inakudhuru korodani.
 
M
Afikirivyo mtu ndivyo alivyo.
Unaweza kukuta hakuna mtu anayekuona unavyohisi, acha kujistukia......ila watumishi siyo ng'ombe na wala siyo mfano huo.

Lakini hii haizuii wewe ukiwaona wengine ng'ombe kwa sababu ndivyo unavyo katika Dunia yako.
Mkishapata credit za kurisiti za civics na kiswahili mnajiona wasomiiiiii......
 
Waam

Waambie wanaohusika nadhani baridi ya njombe inakudhuru korodani.
Mnajua kudai mishahara tu ila kazi hamfanyi pumbaf kabisa, sasa wewe unadhani s/kali inapata wapi mishahara ya kuwalipa na hali hii ya kiuchumi.
 
Pumbavu mama yako hapo njombe
Mnajua kudai mishahara tu ila kazi hamfanyi pumbaf kabisa, sasa wewe unadhani s/kali inapata wapi mishahara ya kuwalipa na hali hii ya kiuchumi.
 
Si tulikubaliana kila mtu ale pale shingo na kamba vinafika ndugu zangu..

Au kuna mtu kakata kamba kaenda kulisha kwenye shamba la bi mkubwa
 
Pumbavu mama yako hapo njombe
Ngoja nikudharau tu, ndo maana moderator nyuzi zako wanazifuta sababu washajua wewe ni kilaza...endelea kuota ndoto zako za asubuhi ila kumbuka kushuka usijikojolee
 
Hawa watumishi wa umma wana lalamika

Wajue kuna ma jobless kitaa wanatamani kidogo walicho nacho
 
Wewe una stress za maisha huna kazi ndio maana uko ulivyo.
Ngoja nikudharau tu, ndo maana moderator nyuzi zako wanazifuta sababu washajua wewe ni kilaza...endelea kuota ndoto zako za asubuhi ila kumbuka kushuka usijikojolee
 
Sawa Kibwengo ila siyo kila mtu anawaza kama unavyowaza na ni jambo lisolowezekana kuondoa ungo'mbe uliouandika kichwani mwako.
 
Back
Top Bottom