Watumishi tunapoelekea Mei Mosi tumwambie nini Rais Samia?

Ngoja nikudharau tu, ndo maana moderator nyuzi zako wanazifuta sababu washajua wewe ni kilaza...endelea kuota ndoto zako za asubuhi ila kumbuka kushuka usijikojolee
Hakika anaweza akawa bado yupo usingizini mpaka saa hizi.
 
Aruhusu mikopo kwenye pension ya mtumishi.. Hii naombeni iwe ajenda namba moja
Wewe kula pensheni taratibu unataka uikopee ili ufanye nini na miaka 60?

Au unamaana gani hapa
 
Ni jumapili ya tarehe moja kila mfanyakazi macho na masikio ni kwa mama yetu mpendwa Rais Samia kuona Kama atawakumbuka wafanyakazi kwenye nyongeza ya mshahara,siku hazigandi pia uvumilivu hulipa.
 
Mwaka wa neema kwa wafanyakazi.mama anaenda kuongeza kima cha chini cha mshahara.baada ya kusota kwa muda mrefu atimaye watumishi wataneemeka kwa kiasi..kongole mama
 
Mwaka wa neema kwa wafanyakazi.mama anaenda kuongeza kima cha chini cha mshahara.baada ya kusota kwa muda mrefu atimaye watumishi wataneemeka kwa kiasi..kongole mama
anaweza weka asilimia 30 kweli
 
Walimu ni watu wapuuzi sana, alafu walimu sio watumishi wa umma
 
Walimu ni watu wapuuzi sana, alafu walimu sio watumishi wa umma
kaka umekosea sana mama yangu alikuwa mwalimu na amestaafu last year mtumishi mwaminifu na ana maisha mazuri tuu usiwadharau sana walimu mkuu
 
kaka umekosea sana mama yangu alikuwa mwalimu na amestaafu last year mtumishi mwaminifu na ana maisha mazuri tuu usiwadharau sana walimu mkuu
Hao waliostaafu wana akili, tatizo ni kwa Hawa vijana wa Sasa.
Fuatilia vizuri post zao na comment humu JF utaelewa.
 
Hao waliostaafu wana akili, tatizo ni kwa Hawa vijana wa Sasa.
Fuatilia vizuri post zao na comment humu JF utaelewa.
walimu waliostaafu kuanzia mwaka jana kurudi nyuma wanaheshima zao tuu na wana maisha mazuri tuu
 
Hao waliostaafu wana akili, tatizo ni kwa Hawa vijana wa Sasa.
Fuatilia vizuri post zao na comment humu JF utaelewa.
hawa wa sasa wanaishi kama sio walimu kuna dada mmoja mlevi anapenda offa na ni mwalimu muda huu navyooandika yuko kwenye vipub pub gani tabata awamjui sasa huyo lazima adharirishe taaluma watu wataona walimu watu wa ovyo
 
kuhusu mshahara waziri amesema wanajenga kwanza miundo mbinu
 
Erik Ten Haag amepata ajira Old Trafford
 
Pia azuie watumishi kuhamishwa bila kulipwa ili jambo limekuwa sugu sana kwa baadhi ya halmashauri mwez huu huko geita walimu wamelazimishwa kuhama bila malipo huu ni unyama ,Mh Raisi azuie jambo hili kwa kweli ni unyanyasaji huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…