Watumishi wa serikali mliwezaje kutoboa, mbona mimi naenda kushindwa

Watumishi wa serikali mliwezaje kutoboa, mbona mimi naenda kushindwa

mchele kilo 20= 40,000
Maharage 5k
Mafuta lita 3
Unga 10k
Sukari 3kg

Nunua hivyo hiyo laki na 50 ninyingi sana kwa chakula cha watu wawili wanajitafuta.

Kijijini watumie 30000 kwa mwezi
Nyumba huko mikoani 60k hukosi vyumba viwili

Halafu muulize mkeo siku wewe ukifa yeye ataishije na watoto atajiongeza kukuomba hata mtaji. Kama ana akili lakini.

Kama ni huko mkoani pia.unaweza kufuga na mashamba ukawa nayo.
Pia jaribu kuwekeza buku buku kila siku
me mnatoautiana sana kuna kichwa kimoja huko mtaani hakitaki mkewe afanye chochote(kujishughulisha) na take home yake ni chini ya ela aliotaja mleta mada😁😁
 
me mnatoautiana sana kuna kichwa kimoja huko mtaani hakitaki mkewe afanye chochote(kujishughulisha) na take home yake ni chini ya ela aliotaja mleta mada😁😁
Ukiona unamkataza mtu kufanya kazi ujue una matatizo ya afya ya akili. Kila mtanzania anatakiwa kuwajibika. Watu hawajui mtu mmoja mmoja akifanikiwa inapunguza utegemezi kwa nchi
 
Habari za jioni.

Nimeshindwa kupata usingizi kutokana na wimbi la mawazo.

Wakuu Take home yangu 613K Mimi ajira mpya mwaka jana ila nimekuwa na wimbi la mawazo na kuona kama sitaweza kutoboa labda nIpate washauri wengine wa maisha labda.

Nnafanya kazi mkoani,ila kadri siku zinavyoenda ninaona maisha magumu ilhali Mimi ni ajira mpya tu wa mwaka jana.

Nina mahitaji ya lazima mengi sana Nina familia ya mke na mtoto mmoja na ndugu wananitegemea.

Kila mwezi lazima.
Nitume nyumbani laki 1.
Nanunua chakula laki 150K.
Nampa mke wangu 150K ya matumizi na bills nyingine.
Kodi nimepanga chumba sebule 100K.
Sijaweka dharura Wala other charges.

Huu ni mwezi wa sita kazini sijanunua shati Wala Chochote juu ya familia yangu. Nimekuwa mtu wa mawazo na ninayeona nakuwa maskini kabisa.

Kazi yangu Ina posho ila ofisini wanatudhulumu tu hivyo hatuna Constant.

Jamani wazoefu naombeni mnishauri kama naona naenda kufeli mapema jamani.

Wengine mmewezaje?

Tupe breakdown ya matumizi yako kabla ya kazi ya kuajiriwa, si uache kazi uendelee na maisha kabla hujapata ajira uliishi vipi?
 
Kwa mshahara huo mkoani unaishi.Ila nafuu utaipata ukimaliza deni la heslb.Kwa hiyo kuwa mvumilivu.
 
Ukiona unamkataza mtu kufanya kazi ujue una matatizo ya afya ya akili. Kila mtanzania anatakiwa kuwajibika. Watu hawajui mtu mmoja mmoja akifanikiwa inapunguza utegemezi kwa nchi
hawataki kuelewa hilo ingawa wanalijua,mtu anatengeneza familia ya kimskini kwakujiona yeye ni yeye,maisha yamebadilika sana
 
Aaaah kmmmae😂 suluhisho ni kutafta namna ya kuongeza kipato la sivyo mtu utateseka sana, mtu unaeza jibana hivyo na usije kutoboa Wala nn ukaishia kuwa maskini na kuendelea kuishi maisha ya kujibana mpaka kifo Titicomb
Kwa hivyo hapo nyama au wali kipi unaona mateso ukikikosa kila siku?
Naungana na wewe atafute namna ya kuongeza kipato.
Mimi nimempa mbinu za kutafuta mtaji ili aweze kuanzisha biashara.
Kama hujapata ajira mpya, hakuna marupu rupu ya ziada halali, huwezi kuiba, na hujafanikiwa ajira nyingine ya kipato kikubwa utafanyeje?
Utashindwa kujibana matumizi uendelee kuishi kimaskini bila akiba?
 
Pigania mama mi5 tena mzee lazima mshahara upande
 
Si bora aliwe na alete maendeleo nyumbani, mwingine unampa mtaji, analiwa, maendeleo atafanya kwao tena kwa siri na hutoona anachangia ata mia kila siku sababu mpaka biashara inafilisika
Utani pembeni, wadada wengi kwenye mahusiano wapo hivyo, hawako supportive kabisa kwa boyfriends/waume zao, sijui kwanini

NB: Ninaposema supportive simaanishi ndo wawalee waume zao/wawape hela waume zao kila mara, kuna namna mwanaume ukiwa na mwanamke hata kama mwanamke ni broke na jobless, unajihisi hapa nina jembe, bila huyu mwanamke maisha yangu yatakua magumu, cha ajabu kwenye mahusiano mengi wanawake wengi ni liability, kama kidume una gari Moja it's like una gari la pili ambalo ni mkeo 😁 MrsPablo1
 
Huko kwenu ni wagonjwa hizo laki moja moja had lini na unajitafuta
Mm nimeanza na mshahara mdogo kuliko huo wako ila mzaziwangu ni mzima ana afya

Nikaongea nae hali ya Maisha na nikamtafutia Cha kufanya nilikuwa na friji nikampa na mtaji laki moja tu akapata katoni kma 20 za juis na maji Brenda akaanza kukuza juis mwenyew ikanipunguzia majukumu ya mara chumvi mara sukari baadae akashindwa akaomba mtaji wa biashara ya chakula now akaongeza na juis zake sihangaiki kabisa na hana time na mia mia zangu na baraka juu

Kama ni kijijini washaurinwatafute shamba walime mazao ya biashara sàidia kuhudumua hayo mashamba ikipatikana pesa bas angalia namna ya wao kuweza kusimama hata kwa mahitaji madogo ya buku buku kwako ibaki dharura na ugonjwa my dear usipokuwa na akili ya kujiongeza hutoboi
Kama nimekukwaza sàmahani
Wazazi wangu ni jukumu na baraka kuwahudumia ila zaidi zaidi ninapendelea kazi zao ziwe kama kufuga kuku, ukulima sio ashike jembe...yy asimanie tu, au kusimamia jambo au kazi fulani.... Basi maisha tu yanatupiga ila kwangu hizi kazi zitampa utulivu wa akili....
 
Hakuna sehemu nimesema washike jembe nimesema awasimamie kuhudumia maanayake pesa itumike kulima Kisha awasaidie Cha kufanya Ili wasiwe tegenexinkioind hiki nae anachangamoto hajatoboa ila pocket money dharura ugonjwa ni sawa

Mimi imenisaidia nimempa huo mradi na simhudumii kivile lakin Kwa mshahara wangu huo huo nimeweza kununua kiwanja na kumjengea kwenye mji anaoishi sasa na tupo hatua za mwisho ningekuwa natuma kilasiku laki laki ningefika huko na kimshahara hiki
 
Huko kwenu ni wagonjwa hizo laki moja moja had lini na unajitafuta
Mm nimeanza na mshahara mdogo kuliko huo wako ila mzaziwangu ni mzima ana afya

Nikaongea nae hali ya Maisha na nikamtafutia Cha kufanya nilikuwa na friji nikampa na mtaji laki moja tu akapata katoni kma 20 za juis na maji Brenda akaanza kukuza juis mwenyew ikanipunguzia majukumu ya mara chumvi mara sukari baadae akashindwa akaomba mtaji wa biashara ya chakula now akaongeza na juis zake sihangaiki kabisa na hana time na mia mia zangu na baraka juu

Kama ni kijijini washaurinwatafute shamba walime mazao ya biashara sàidia kuhudumua hayo mashamba ikipatikana pesa bas angalia namna ya wao kuweza kusimama hata kwa mahitaji madogo ya buku buku kwako ibaki dharura na ugonjwa my dear usipokuwa na akili ya kujiongeza hutoboi
Kama nimekukwaza sàmahani
Safi sana mkuu.
Familia zetu za kiafrika usipokuwa makini hutoboi
 
Habari za jioni.

Nimeshindwa kupata usingizi kutokana na wimbi la mawazo.

Wakuu Take home yangu 613K Mimi ajira mpya mwaka jana ila nimekuwa na wimbi la mawazo na kuona kama sitaweza kutoboa labda nIpate washauri wengine wa maisha labda.

Nnafanya kazi mkoani,ila kadri siku zinavyoenda ninaona maisha magumu ilhali Mimi ni ajira mpya tu wa mwaka jana.

Nina mahitaji ya lazima mengi sana Nina familia ya mke na mtoto mmoja na ndugu wananitegemea.

Kila mwezi lazima.
Nitume nyumbani laki 1.
Nanunua chakula laki 150K.
Nampa mke wangu 150K ya matumizi na bills nyingine.
Kodi nimepanga chumba sebule 100K.
Sijaweka dharura Wala other charges.

Huu ni mwezi wa sita kazini sijanunua shati Wala Chochote juu ya familia yangu. Nimekuwa mtu wa mawazo na ninayeona nakuwa maskini kabisa.

Kazi yangu Ina posho ila ofisini wanatudhulumu tu hivyo hatuna Constant.

Jamani wazoefu naombeni mnishauri kama naona naenda kufeli mapema jamani.

Wengine mmewezaje?
Kaka kwa mtazamo wangu msongo wa mawazo unajianzishia mwenyewe samahani lakin kuna swala limenishtua kujua bills na chakula ni 300k kwa watu wawili na nusu ni wastani wa 10k per day. Nahisi ulvyopata kazi nakuona take home ya 610k ukaona mwaka tu una mambo makubwa ukaanza na kutanua maisha ya nyumbani. Haya hyo laki ya kila mwezi lazima nyumban ni umewaajiri wazazi wako mpaka iwe n lazma na je iktokea emegency utafanyaje laki itakuepo bado ama utatoa nyingne na je mke wako nae akidemand kwao iende laki kila mwezi ukiendelea hvyo kaka ata mchepuko hupati.

Solution
1.Make sure unanunua vyakula vya ndani hamuwez kula vyakula vya 150k kwa mwezi hakikisha pia ukiotea ata 20k kazin haina kazi jazia stock ya chakula yaan kiwepo mfano: unga,mchele,maharage,mafuta vitunguu yaani vile vyakula ambavyo si mali kuoza havikosekani, swala la kula buffee lisahau kula balance diet chakula kipikwe kwa kipimo nakumbuka nlvyokua mdgo tulkua wa nne nyumban tulkua tunapika vikombe vinne vya mchele😂

2. Sio roho mbaya ila hyo huduma ya laki nyumban kila mwezi kama hakuna mgonjwa ama mzee mvaa pampas katsha kistyle mapema san ila weka hela ya emergency tu likitokea zito unatatua ila kama lkitokea tatzo ambalo haliui unakausha kimya maana unatengeneza tegemezi ambapo ipo siku utaambiwa laki haitoshi maana mazoea hujenga tabia.

3. Mwambie mke atoke magetoni ila wewe ndo unatakiwa kutengeneza mkakati anatoka vipi anaenda wapi na akishaanza kupata pesa yake mtie kwenye mfumo wa majukumu pia ataongeza kujua thamani ya pesa akianza itafuta yake na akaona inavyoisha kwenye majukumu. Ila usisahau kumpa za saloon ukiotea pesa kaka maana huko nje wapo watakao anza mtunza itakua mzozo ukiwa nacho muonyeshe nipo mama la mama nakujali ni maisha tu ata kama ww hujabadili shati mpya.

4. Swala la nyumba ya laki sio mbaya kuishi chumba sebule choo lkin kaka umesema una kitanda na godoro tu hapo seblen inamaana hakuna kitu huoni kma mwangwi utakuwa unakusumbua masikio ukiwa unaongea hapo sebleni😂 kama vipi rudi nyuma kama kuna differnce kubwa ya pesa utasave kama kuna master ama studio room ya 70/80 alaf anza kununua vile vtu vya seblem mdgo mdgo mbelen mtoto anakua zaidi ndo utafute nyumba ya uwezo wako. Ila endelea kuishi hapo kama ni karibu na kazin kwako upunguze gharama za nauli sehemu ya gari moja tu ama kutembea.

Wako mtiifu
Abtiiii Local Man
 
Utumishi wa umma kitu cha ajabu sana:

Miaka mitano ya kwanza gari.

Miaka mitano inayofuata Kiwanja.

Mitano inayofuata ndio nyumba.

Hapo ushaoa, unasomesha.

Kutoboa sahau.
Utumishi wa umma yaani ukianza tu ,unajiona jinsi unavyostaafu bila ya mafanikio zaidi ya familia🤣
 
We nani alikwambia hapa duniani kila mtu lazima awe tajiri? Wote tukiwa matajiri nani ataheshimu mwenzake? Inawezekana wewe umeumbwa uje kushangaa magari makali na nyumba kali cha muhimu fanya kazi hiyo ya kushangaa magari na nyumba za watu kiuadilifu, usitake kumzunguka Mungu.
Mzee hukoseagi chalii anguu
 
Asante hapa Sina mke Wala sikubishii.

Maana nikaa na majamaa zangu unaona kabisa wanawake zao Wana madini ya kutosha.

Huyu mwanamke issue ya bajeti nimeanza kukogambana nae huu mwaka wa tatu.

Yaani ametoka familia masikini Tena sana zaidi yetu ila hana uchungu kabisa wa Hela jamani.

Mimi hata sielewi nifanyaje.

Ulimpa Hela 150K mwezi hauishi anakwambia imeisha.

Ukisema umpe elfu 5 Kwa siku bado anakwambia ndogo na hapo kila kitu Kiko ndani.

Yaani nakasirkka sana jamani
Anakuchukulia poa
Hebu simama km baba,acha ujinga
Mwambie Hali halisi
Punguza matumizi yasiyo ya lzm
Hiyo laki huko kwenu ya nn na wazazi wazima?

Hayo matumizi ya nyumbani vitu vyote hivyo mnakula nn? Vya elf 50 vinatosha ndo umpe hiyo elf 5,30 ya kusuka? Kila mwezi anasuka nn?
Punguza Mpe elf 15 inatosha sn
 
Tatizo liko hapo kutuma 100k kila mwezi home wakat ndo unajitafuta, pia 150k ya wife ya nini wakati kuna hio 150k ya chakula ndani?

Mkeo ajue uhalisia wa maisha apunguzr hayo matumizi yake, la sivyo utakufa maskini
 
Utoe mahari tena utume pesa ukweni hivi waafrika tumelogwa
Wapi nimeandika atue hela ukweni. Matako yanawasha nn? Soma uelewe kwanini nimeandika issue ya hela ukweni usikurupuke kama una kipande cha mbo.o matakon
 
Back
Top Bottom