Ukwelinasema
JF-Expert Member
- Feb 10, 2021
- 733
- 928
me mnatoautiana sana kuna kichwa kimoja huko mtaani hakitaki mkewe afanye chochote(kujishughulisha) na take home yake ni chini ya ela aliotaja mleta mada😁😁mchele kilo 20= 40,000
Maharage 5k
Mafuta lita 3
Unga 10k
Sukari 3kg
Nunua hivyo hiyo laki na 50 ninyingi sana kwa chakula cha watu wawili wanajitafuta.
Kijijini watumie 30000 kwa mwezi
Nyumba huko mikoani 60k hukosi vyumba viwili
Halafu muulize mkeo siku wewe ukifa yeye ataishije na watoto atajiongeza kukuomba hata mtaji. Kama ana akili lakini.
Kama ni huko mkoani pia.unaweza kufuga na mashamba ukawa nayo.
Pia jaribu kuwekeza buku buku kila siku
Ukiona unamkataza mtu kufanya kazi ujue una matatizo ya afya ya akili. Kila mtanzania anatakiwa kuwajibika. Watu hawajui mtu mmoja mmoja akifanikiwa inapunguza utegemezi kwa nchime mnatoautiana sana kuna kichwa kimoja huko mtaani hakitaki mkewe afanye chochote(kujishughulisha) na take home yake ni chini ya ela aliotaja mleta mada😁😁
Habari za jioni.
Nimeshindwa kupata usingizi kutokana na wimbi la mawazo.
Wakuu Take home yangu 613K Mimi ajira mpya mwaka jana ila nimekuwa na wimbi la mawazo na kuona kama sitaweza kutoboa labda nIpate washauri wengine wa maisha labda.
Nnafanya kazi mkoani,ila kadri siku zinavyoenda ninaona maisha magumu ilhali Mimi ni ajira mpya tu wa mwaka jana.
Nina mahitaji ya lazima mengi sana Nina familia ya mke na mtoto mmoja na ndugu wananitegemea.
Kila mwezi lazima.
Nitume nyumbani laki 1.
Nanunua chakula laki 150K.
Nampa mke wangu 150K ya matumizi na bills nyingine.
Kodi nimepanga chumba sebule 100K.
Sijaweka dharura Wala other charges.
Huu ni mwezi wa sita kazini sijanunua shati Wala Chochote juu ya familia yangu. Nimekuwa mtu wa mawazo na ninayeona nakuwa maskini kabisa.
Kazi yangu Ina posho ila ofisini wanatudhulumu tu hivyo hatuna Constant.
Jamani wazoefu naombeni mnishauri kama naona naenda kufeli mapema jamani.
Wengine mmewezaje?
hawataki kuelewa hilo ingawa wanalijua,mtu anatengeneza familia ya kimskini kwakujiona yeye ni yeye,maisha yamebadilika sanaUkiona unamkataza mtu kufanya kazi ujue una matatizo ya afya ya akili. Kila mtanzania anatakiwa kuwajibika. Watu hawajui mtu mmoja mmoja akifanikiwa inapunguza utegemezi kwa nchi
Kwa hivyo hapo nyama au wali kipi unaona mateso ukikikosa kila siku?Aaaah kmmmae😂 suluhisho ni kutafta namna ya kuongeza kipato la sivyo mtu utateseka sana, mtu unaeza jibana hivyo na usije kutoboa Wala nn ukaishia kuwa maskini na kuendelea kuishi maisha ya kujibana mpaka kifo Titicomb
Utani pembeni, wadada wengi kwenye mahusiano wapo hivyo, hawako supportive kabisa kwa boyfriends/waume zao, sijui kwaniniSi bora aliwe na alete maendeleo nyumbani, mwingine unampa mtaji, analiwa, maendeleo atafanya kwao tena kwa siri na hutoona anachangia ata mia kila siku sababu mpaka biashara inafilisika
Wazazi wangu ni jukumu na baraka kuwahudumia ila zaidi zaidi ninapendelea kazi zao ziwe kama kufuga kuku, ukulima sio ashike jembe...yy asimanie tu, au kusimamia jambo au kazi fulani.... Basi maisha tu yanatupiga ila kwangu hizi kazi zitampa utulivu wa akili....Huko kwenu ni wagonjwa hizo laki moja moja had lini na unajitafuta
Mm nimeanza na mshahara mdogo kuliko huo wako ila mzaziwangu ni mzima ana afya
Nikaongea nae hali ya Maisha na nikamtafutia Cha kufanya nilikuwa na friji nikampa na mtaji laki moja tu akapata katoni kma 20 za juis na maji Brenda akaanza kukuza juis mwenyew ikanipunguzia majukumu ya mara chumvi mara sukari baadae akashindwa akaomba mtaji wa biashara ya chakula now akaongeza na juis zake sihangaiki kabisa na hana time na mia mia zangu na baraka juu
Kama ni kijijini washaurinwatafute shamba walime mazao ya biashara sàidia kuhudumua hayo mashamba ikipatikana pesa bas angalia namna ya wao kuweza kusimama hata kwa mahitaji madogo ya buku buku kwako ibaki dharura na ugonjwa my dear usipokuwa na akili ya kujiongeza hutoboi
Kama nimekukwaza sàmahani
Hakuna sehemu nimesema washike jembe nimesema awasimamie kuhudumia maanayake pesa itumike kulima Kisha awasaidie Cha kufanya Ili wasiwe tegenexinkioind hiki nae anachangamoto hajatoboa ila pocket money dharura ugonjwa ni sawaWazazi wangu ni jukumu na baraka kuwahudumia ila zaidi zaidi ninapendelea kazi zao ziwe kama kufuga kuku, ukulima sio ashike jembe...yy asimanie tu, au kusimamia jambo au kazi fulani.... Basi maisha tu yanatupiga ila kwangu hizi kazi zitampa utulivu wa akili....
Sasa unalialia nini hapa? Unatupima au?Siwezi kuacha kaka mtaani napaelewa vizuri nimetoka huko
Safi sana mkuu.Huko kwenu ni wagonjwa hizo laki moja moja had lini na unajitafuta
Mm nimeanza na mshahara mdogo kuliko huo wako ila mzaziwangu ni mzima ana afya
Nikaongea nae hali ya Maisha na nikamtafutia Cha kufanya nilikuwa na friji nikampa na mtaji laki moja tu akapata katoni kma 20 za juis na maji Brenda akaanza kukuza juis mwenyew ikanipunguzia majukumu ya mara chumvi mara sukari baadae akashindwa akaomba mtaji wa biashara ya chakula now akaongeza na juis zake sihangaiki kabisa na hana time na mia mia zangu na baraka juu
Kama ni kijijini washaurinwatafute shamba walime mazao ya biashara sàidia kuhudumua hayo mashamba ikipatikana pesa bas angalia namna ya wao kuweza kusimama hata kwa mahitaji madogo ya buku buku kwako ibaki dharura na ugonjwa my dear usipokuwa na akili ya kujiongeza hutoboi
Kama nimekukwaza sàmahani
Kaka kwa mtazamo wangu msongo wa mawazo unajianzishia mwenyewe samahani lakin kuna swala limenishtua kujua bills na chakula ni 300k kwa watu wawili na nusu ni wastani wa 10k per day. Nahisi ulvyopata kazi nakuona take home ya 610k ukaona mwaka tu una mambo makubwa ukaanza na kutanua maisha ya nyumbani. Haya hyo laki ya kila mwezi lazima nyumban ni umewaajiri wazazi wako mpaka iwe n lazma na je iktokea emegency utafanyaje laki itakuepo bado ama utatoa nyingne na je mke wako nae akidemand kwao iende laki kila mwezi ukiendelea hvyo kaka ata mchepuko hupati.Habari za jioni.
Nimeshindwa kupata usingizi kutokana na wimbi la mawazo.
Wakuu Take home yangu 613K Mimi ajira mpya mwaka jana ila nimekuwa na wimbi la mawazo na kuona kama sitaweza kutoboa labda nIpate washauri wengine wa maisha labda.
Nnafanya kazi mkoani,ila kadri siku zinavyoenda ninaona maisha magumu ilhali Mimi ni ajira mpya tu wa mwaka jana.
Nina mahitaji ya lazima mengi sana Nina familia ya mke na mtoto mmoja na ndugu wananitegemea.
Kila mwezi lazima.
Nitume nyumbani laki 1.
Nanunua chakula laki 150K.
Nampa mke wangu 150K ya matumizi na bills nyingine.
Kodi nimepanga chumba sebule 100K.
Sijaweka dharura Wala other charges.
Huu ni mwezi wa sita kazini sijanunua shati Wala Chochote juu ya familia yangu. Nimekuwa mtu wa mawazo na ninayeona nakuwa maskini kabisa.
Kazi yangu Ina posho ila ofisini wanatudhulumu tu hivyo hatuna Constant.
Jamani wazoefu naombeni mnishauri kama naona naenda kufeli mapema jamani.
Wengine mmewezaje?
Utumishi wa umma yaani ukianza tu ,unajiona jinsi unavyostaafu bila ya mafanikio zaidi ya familia🤣Utumishi wa umma kitu cha ajabu sana:
Miaka mitano ya kwanza gari.
Miaka mitano inayofuata Kiwanja.
Mitano inayofuata ndio nyumba.
Hapo ushaoa, unasomesha.
Kutoboa sahau.
Mzee hukoseagi chalii anguuWe nani alikwambia hapa duniani kila mtu lazima awe tajiri? Wote tukiwa matajiri nani ataheshimu mwenzake? Inawezekana wewe umeumbwa uje kushangaa magari makali na nyumba kali cha muhimu fanya kazi hiyo ya kushangaa magari na nyumba za watu kiuadilifu, usitake kumzunguka Mungu.
Anakuchukulia poaAsante hapa Sina mke Wala sikubishii.
Maana nikaa na majamaa zangu unaona kabisa wanawake zao Wana madini ya kutosha.
Huyu mwanamke issue ya bajeti nimeanza kukogambana nae huu mwaka wa tatu.
Yaani ametoka familia masikini Tena sana zaidi yetu ila hana uchungu kabisa wa Hela jamani.
Mimi hata sielewi nifanyaje.
Ulimpa Hela 150K mwezi hauishi anakwambia imeisha.
Ukisema umpe elfu 5 Kwa siku bado anakwambia ndogo na hapo kila kitu Kiko ndani.
Yaani nakasirkka sana jamani
Wapi nimeandika atue hela ukweni. Matako yanawasha nn? Soma uelewe kwanini nimeandika issue ya hela ukweni usikurupuke kama una kipande cha mbo.o matakonUtoe mahari tena utume pesa ukweni hivi waafrika tumelogwa