Watumishi wa Umma kucheka au kulia

ushauri wangu mwambie akopee hiyo pesa haraka, hata wakija kugundua kwao inakua too late..atarudisha taratibu lkn atakua ameshapata faida
 
Sikulazimishi uamini kile ninacho kisema boss wangu. Umeshinda.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
...Hueleweki!...
 
... Hivi Wazee Wastaafu' na Wao hii Asilimia 23.3 inawahusu? Ama Wao Pensheni Yao Inabaki pale pale??
 
ONGEZEKO litakuwa kubwa sana hata kwa asilimia 10 tu kwa wanaopata zaidi ya milioni moja ongezeko la 10% ni sh 100,000/=. Kusema ukweli katika hili mama ameupiga mwingi sana!!
...Usipige TU Debe, Subiri Uzishike Kwanza!...
 
Kakupiga fix huyo. Hakuna kitu kama hicho. Nini kimemfanya hadi kuvushwa hivyo?
Hua inatokea ishawahi tokea kwa mwl Mmoja mtwara alitoka C mpk G enzi hizooo,yaani alikua anapewa mshahara mkubwa ,akaandika barua kwa Afisa utumishi haikufanyiwa kazi ,kuanzia 2009 mpk 2013 alikua anakula mshahara wa G tuu,mpk akaja afisa utumishi mpya alivyokua anapandishwa kutoka C kwenda D ndo wakakuta Hilo Kosa,uzuri alivyoitwa katika file lake wakakuta barua za kuomba arejeshwe cheo chake halisi Cha D ,Ila for 3yrs alikua anakula shushu tuu!ndo akashushwa from G to E Ila aliyumba mnoo!!maana miaka mi3 unakula salary kubwa afu unashuka Tena,Ila barua ndo zilimlinda.

Wale nao wanadamu hua wanakosea pia
 
Itamletea shida Sana ,la awe ameandika barua kurudisha cheo chake anachostahiki !
Afu halmashauri waee hawajafanyia kazi hapo haitasumbua Ila kama kakaa kimya atafurahia shoo mbona!atacheua Senti zote alizokula
Inategemea mkuu mi kuna mtu namjua amekula mshahara wa tgts g wakt alikuwa f2 kwa miaka tang 2016 had wamepandishwa mwaka jana ndo anaendelea nao bila shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…