Watumishi wa UMMA tujiandae kuumia tena kwa miaka 5

Kumbe nawe dada kichwani mweupeee! Hujamsikia Waziri mkuuwa Uingereza Boris Johnson katangaza Lock down ya kuanzia kesho 2/11/ hadi 5/12/2020 au unasema London ya Runzewe?
Uko dunia gani? Marekani kulikuwa na lockdown na kulikuwa na utitiri wa watu baada ya mauaji ya Floyd.
 
Tutajuta kuzaliwa Tanzania. Halafu akina Ndugai wanabadili katiba 2024 ili Jiwe aendelee baada ya 2025! Mashujaa wale waliomtoa Karume madarakani 1972 sijui walikwenda wapi?
Wamezimwa ziiii. HAWA thaminiki tenaa.

#YNWA
 
Tulifosiwa na waliogopa vibarua vyao vitaota nyasi.

#YNWA
 
Ni yuleyule alieiba kura na kujitangaza.
Ni yuleyule ambae tumeona kura zinazagaa kwenye mabegi, vikapu,mifuko
Ni yuleyule ambae anafisadi nchi
Ni yuleyule wabunge wa ccm wanamuogopa kuliko shetaniView attachment 1617319
Dictator on the movement.
Ipo siku hata CCM wenyewe watajuta.

Toto tundu lisilo fokewa ipo siku litamuaibisha hata baba ake.

#YNWA
 
Ukisoma ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi sioni sehemu wanaonyesha kuwa kutakuwa na ajira mpya Wala kuongelea Maslahi ya wafanyakazi
 

Off course!! Ndiyo kanuni iliyo wazi Tanzania kwa sasa, jipende mwenyewe ya mwingine hayakuhusu! Limekukumba pambana mwenyewe!! Nime relax!

Unaelewa mtu anaposema kakosa "haki" zake? Maana yake ni kwamba kwa miaka mitano watu wamefuata taratibu zinazotakiwa kuchukua na hakuna mafanikio!

Kana sijakosea keshalitamka hilo neno mara ya nne sasa katika miaka tofauti! Kampeni 2015, May Mosi Moshi, May Mosi Iringa, kampeni 2020! Wacha tuendelee kunywa mtori....!!
 
Nyie muendelee kuumia tu, wala sioni haja ya kututangazia hapa.
 
Wanyimwe mshahara kabisa.

Watumishi wa umma kama makondoo.
 
Unawaonea bure watumishi wa uma.
Waliomsaidia kuharibu uchaguzi ni watu wachache tu ila wana vyeo vikubwa kwenye idara zao.
 
Rais Wetu Yule Pale
Kiongozi wetu Yule Pale

Ikulu Hiyo Ikulu Hiyoooo
Wengine Wanatetemeka
Sababu Ya Ikulu Hiyooo

Magu Piga Kazi
Hapa Kazi Tuuuu.
 
Nyie ww kuwalaumu ni VIONGOZI wa vyama vya Wafanyakazi.. na si vinginevyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…