Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
- Thread starter
-
- #61
Mwambie atekeleze Sheria za utumishi wa umma.Rais Wetu Yule Pale
Kiongozi wetu Yule Pale
Ikulu Hiyo Ikulu Hiyoooo
Wengine Wanatetemeka
Sababu Ya Ikulu Hiyooo
Magu Piga Kazi
Hapa Kazi Tuuuu.
Bro hawa wamekua WANAFIKI BALAA.Nyie ww kuwalaumu ni VIONGOZI wa vyama vya Wafanyakazi.. na si vinginevyo
Side hustle ndio kimbilio.pole sana mwamba
CCM wanadhani wanayopigania akina Mbowe ni kwa faida yao wao.Baada ya Magufuli kulawiti uchaguzi sasa ataanza kulawiti wananchi na kwenye hili hatatenganisha kati ya MATAGA na chadema,wote watakuwa kwenye kapu moja.Stay tuned,the worst is yet to come!
Matusi ndio yatabadilisha hali halisi?Hapo kwa dadako fukara ww ndio TGS E
Uchaguzi wa mwaka 2015 pia alisema.Nan akupende wakat ww mwenyew hujipendi?
Relax. Fata taratibu pale unapoona Haki zako hazifatwi ndio maana Kuna Labor Law na Ile ya Code of G Conduct na zingine nyingi, umejaribu kuzisoma?
Umechukua hatua Gani?
Pili, mkuu kasema ataongeza Mishahara, tulia
Kumnunulia mtoto kiatu haiondoi haki yake ya kumpa chakula.Unamzungumzia huyu huyu alijenga Ubungo fly over?
Nilijua take home ni ml.45
Amen.Hakuna jipya chini ya jua. Rushwa iko pale pale. Upigaji uko pale pale, utamulikwa ikiwa yeye hajahusishwa. Mashuleni watu wanalipa kama kawaida, kwani elimu bora ina gharama zake. Ujenzi mkubwa kwa sasa unawanyonya wananchi, wanaolipa kodi kila uchwao na wasiopewa haki ya kuchagua wamtakaye, kupata habari na kutoa maoni yao katika nchi huru ya Tz., ukizingatia teknolojia inaruhusu.
WANA CCM hawalijui hili...Ukisoma ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi sioni sehemu wanaonyesha kuwa kutakuwa na ajira mpya Wala kuongelea Maslahi ya wafanyakazi
Maumivu ya watumishi yanaathiri mpaka mwananchi wa kawaida..Nyie muendelee kuumia tu, wala sioni haja ya kututangazia hapa.
Ndio sisi.Hivi walioajiriwa mwaka 2014 wamemkosea Nini mheshimiwa
Ngj nikuambie kitu kizuri.. hata mapinduzi mengi nchi Ulaya yalifanywa na Vyama vya Wafanyakazi hata hapa Tanganyika.. vyama vya Wafanyakazi ndio vilibadirika na kuwa vyama vya Siasa..Bro hawa wamekua WANAFIKI BALAA.
#YNWA
Watajamba cheche Upinzani tuKuna suala la Fao la kujitoa.
Umelisahau. Waajiriwa mtajamba cheche.
Wabongo wote Ni kondoo tu ukiwemo na weweWanyimwe mshahara kabisa.
Watumishi wa umma kama makondoo.
Mbn lawama ni kwa Magu?Uchaguzi wa mwaka 2015 pia alisema.
Ila kilichofokea ni HEWA.
Jiwe hana mpango na human resource.
#YNWA
Ukiachilia kutoa huduma pia uwezo wa kununua mahitaji utapungua hivyo wajasiriamali ambao wateja wao wakubwa Ni watumishi wataathirikaMaumivu ya watumishi yanaathiri mpaka mwananchi wa kawaida..
Hatotoa huduma inayotakiwa maana morali imeshuka.
#YNWA