Watumishi wa UMMA tujiandae kuumia tena kwa miaka 5

Awamu hii wa kulaumiwa Ni Magu Wala usisingizie wizara.Lawama zote zifike kwake.Hizo wizara zipo tu pale lkn Kila kitu Magu ndio source
 
hahahahaha kabisa wazo zuri sana, yani mimi huwa nashangaa sana wenye maisha duni ndio haohao wapiga makofi
 
Tufanye kazi acha blaablaa
 
Rais Wetu Yule Pale
Kiongozi wetu Yule Pale

Ikulu Hiyo Ikulu Hiyoooo
Wengine Wanatetemeka
Sababu Ya Ikulu Hiyooo

Magu Piga Kazi
Hapa Kazi Tuuuu.
Mwambie basi aheshimu Sheria za umma.
Hakuna aliye juu ya Sheria.


#YNWA
 
Tatizo lenu vichwa maji..wenye njaa vichwani..mnaamini hizo ni kama fadhila au upendeleo yan kama hamkusitahili..kimsingi ndio wajibu wa serikali..hata chaumma wangefanya hivyo..mana hakuna raisi anayetoa hela mfukoni mwake..hizo kodi ndio zinafanya hayo yote...

Kua mboga mboga ni umbumbumbu wa kiwango cha juu...kmmk

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Wotee hao ni makada wa CCM.

#YNWA
Mkifanikiwa kupindua Uongozi wa Umoja wa Wafanyakazi / Vyama vya Wafanyakazi bas.. at least mtawez kujaribu kupindua Serikal iliyopo ktk mamlaka..

Kama hawa viongoz hamuwawez bas.. hata wale wa Serikali kuu hamtawaweza..

Jipangen
 
Yaani mkuu mimi niliishiwa nguvu kwa jinsi nisivyompenda huyu jamaa kwasababu ya madhulumu yake,lkn yeye ni binadamu kwa hiyo leo yupo lkn kesho hayupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…