Watumishi wa Umma wanalojambo kubwa sana La kumshukuru Rais Samia Suluhu!

Joined
Sep 6, 2026
Posts
58
Reaction score
44
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,
Katika kundi ambalo limeneemeka miongoni mwao ni kundi la watumishi wa Umma, Rais amelitendea haki na kuhakikisha wanapata stahiki zao, Lipo jambo kubwa sana la Kumshukuru Mheshimiwa Rais na Amiri Jeshi mkuu,

Mungu akubariki sa uendelee kuwakumbuka na kuwakunbuka vijana katika ajira!

Tunakuombea kila lililo jema na afya njema iwe juu yako🙏🙏🙏🙏
 
Kweli kabsaa Naunga mkono hoja
 
Kivipi
 
Ndo ujiite kwa namba ya uanachama wa CCM ili utambuliwe zaidi? Sawa comrade japo ktk moja na mbili zile figure ni kidogo sana kulinganisha na gharama za maisha
 
Taifa linazidi kuangamia tupo busy kushangiloa upotofu.....
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,
Katika kundi ambalo limeneemeka miongoni mwao ni kundi la watumishi wa Umma, Rais amelitendea haki na kuhakikisha wanapata stahiki zao, Lipo jambo kubwa sana la Kumshukuru Mheshimiwa Rais na Amiri Jeshi mkuu,

Mungu akubariki sa uendelee kuwakumbuka na kuwakunbuka vijana katika ajira!

Tunakuombea kila lililo jema na afya njema iwe juu yako🙏🙏🙏🙏
ila kusema ukwel kwenye utumish wa umma anajitahidi uyu mama.
 
Machawa wanaosubiria PDF za uteuzi wana misemo yao kama 'Maendeleo ni Mchakato'.

Hebu ongeza misemo mingine hapa.
 
Back
Top Bottom