C0000-5068-428-1
Member
- Sep 6, 2026
- 58
- 44
Kwani hizi ni hadi wapambaniwe!?Rais amelitendea haki na kuhakikisha wanapata stahiki zao
Kweli kabsaa Naunga mkono hojaMnyonge mnyongeni haki yake mpeni,
Katika kundi ambalo limeneemeka miongoni mwao ni kundi la watumishi wa Umma, Rais amelitendea haki na kuhakikisha wanapata stahiki zao, Lipo jambo kubwa sana la Kumshukuru Mheshimiwa Rais na Amiri Jeshi mkuu,
Mungu akubariki sa uendelee kuwakumbuka na kuwakunbuka vijana katika ajira!
Tunakuombea kila lililo jema na afya njema iwe juu yakoππππ
KivipiMnyonge mnyongeni haki yake mpeni,
Katika kundi ambalo limeneemeka miongoni mwao ni kundi la watumishi wa Umma, Rais amelitendea haki na kuhakikisha wanapata stahiki zao, Lipo jambo kubwa sana la Kumshukuru Mheshimiwa Rais na Amiri Jeshi mkuu,
Mungu akubariki sa uendelee kuwakumbuka na kuwakunbuka vijana katika ajira!
Tunakuombea kila lililo jema na afya njema iwe juu yakoππππ
Ndo ujiite kwa namba ya uanachama wa CCM ili utambuliwe zaidi? Sawa comrade japo ktk moja na mbili zile figure ni kidogo sana kulinganisha na gharama za maishaMnyonge mnyongeni haki yake mpeni,
Katika kundi ambalo limeneemeka miongoni mwao ni kundi la watumishi wa Umma, Rais amelitendea haki na kuhakikisha wanapata stahiki zao, Lipo jambo kubwa sana la Kumshukuru Mheshimiwa Rais na Amiri Jeshi mkuu,
Mungu akubariki sa uendelee kuwakumbuka na kuwakunbuka vijana katika ajira!
Tunakuombea kila lililo jema na afya njema iwe juu yakoππππ
ila kusema ukwel kwenye utumish wa umma anajitahidi uyu mama.Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni,
Katika kundi ambalo limeneemeka miongoni mwao ni kundi la watumishi wa Umma, Rais amelitendea haki na kuhakikisha wanapata stahiki zao, Lipo jambo kubwa sana la Kumshukuru Mheshimiwa Rais na Amiri Jeshi mkuu,
Mungu akubariki sa uendelee kuwakumbuka na kuwakunbuka vijana katika ajira!
Tunakuombea kila lililo jema na afya njema iwe juu yakoππππ
sahihi kabisaila kusema ukwel kwenye utumish wa umma anajitahidi uyu mama.
hahaha!C0000-5068-428-1, Namba ya kadi ya ccm hii? π π