Increment subiri JulyHamna nyongeza ya mishahara,..labda kwa hao waliopandishwa madaraja..
Mwendazake alikuwa chadema au..?? Ujinga tuu umeandikaChama cha mapinduzi ni chama pendwa na lazima kiongozi atoke chama cha mapinduzi.
Hakika Samia hana mpinzani Tanzania. Wapinzani tunawakaribisha kujiunga chama cha mapinduzi.
Kuna mazara makubwa sana kumchagua wakimbizi kuwa first man, Mungu akaingilia katiMwendazake alikuwa chadema au..?? Ujinga tuu umeandika
Tena sio wote aseeHamna nyongeza ya mishahara,..labda kwa hao waliopandishwa madaraja..
Jamani watumishi tugawaneni ganji kuona basiJambo lililoshindikana kwa miaka mitano Mhe. Rais Samia ameliweza ndani ya siku 100. Ni usiku usiku miamala imesoma kwa madaraja mapya tena bila watumishi kupewa barua.
Maisha marefu kwa Mhe. Rais Samia Suluhu.
Hurrah Mhe. Rais Samia.
Ajila =ajiraSie ambao hatuna hizo ajila?