Watumishi wapata kicheko, Mhe. Rais Samia kaishafanya jambo lao - mishahara juu

Watumishi wapata kicheko, Mhe. Rais Samia kaishafanya jambo lao - mishahara juu

Jambo lililoshindikana kwa miaka mitano Mhe. Rais Samia ameliweza ndani ya siku 100. Ni usiku usiku miamala imesoma kwa madaraja mapya tena bila watumishi kupewa barua.

Maisha marefu kwa Mhe. Rais Samia Suluhu.

Hurrah Mhe. Rais Samia.
We utapelekea vitu kupanda bei bila sababu ebu acha hizo!
 
Ilikua zamani,,siku hizi soko lina amua bei,,,bidhaa zinazalishwa nyingi,walaji hakuna,,kuna oversupply,,bei itabaki costant
Hiyo analysis yako inaongelea vitu gani hasa?? Huku tayari kilo ya samaki juu madai kuwa mshahara utapanda, vitu vingi vitapanda tu. We subiri
 
sasa OLE wake atakaye kula RUSHWA au kufanya UBADHIRIFU wa fedha za umma.
hakutokuwa na huruma wala msamaha na wala rushwa na wabadhirifu.
chapeni kazi kwa uadilifu na kwa weledi.
acheni kupigana majungu na fitina, acheni kusemana semana ovyo, acheni umbeya.
pendaneni acheni kuchukiana.
Fanyeni kazi kwa ushirikiano na upendo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chama cha mapinduzi ni chama pendwa na lazima kiongozi atoke chama cha mapinduzi.

Hakika Samia hana mpinzani Tanzania. Wapinzani tunawakaribisha kujiunga chama cha mapinduzi.
Hata yanapotendeka mabaya inukeni na kusema vivyohivyo
 
Ngoja niwape mwezi unaofuata maana huu umepita hewa kwangu...Kazi iendelee.
 
  • Thanks
Reactions: 5ty
Back
Top Bottom