Watumishi wapata kicheko, Mhe. Rais Samia kaishafanya jambo lao - mishahara juu

Watumishi wapata kicheko, Mhe. Rais Samia kaishafanya jambo lao - mishahara juu

Tusipomshukuru Rais Samia Suluhu Hassan, pamoja na watendaji wake...Tutakuwa hatuna fadhira.

Asante sana Muheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan[emoji120][emoji120][emoji120]

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Hi nyongeza imeleta kutoaminika kwa baadhi ya watu NDANI ya familia.
Njemba imejisifia huku Jf kuwa mshahara umeongezeka, halafu home akamwambia wife HAKUNA KILICHOONGEZEKA!!jamaa hajui kuwa mke anaitambua ID yake ya jf!
Basi naam bwana bonge la zogo likaibuka.
 
Hi nyongeza imeleya kutoaminika kwa baadhi ya watu NDANI ya familia.
Njemba imejisifia huku Jf kuwa mshahara umeongezeka, halafu home akamwambia wife HAKUNA KILICHOONGEZEKA!!jamaa hajui kuwa mke anaitambua ID yake ya jf!
Basi naam bwana bonge la zogo likaibuka.
😀😀😀😀

Huko nyumbani hasemi mkuu
 
Sasa jambo kama hilo tu linafanya watu kushukuru kiasi hicho na hadi kuanzisha uzi humu ndio maana tunafanya hawa viongozi kujiona wanafanya mambo makubwa wakati kiuhalisia bado tuko nyuma sana.
Tujifunze kushukuru japo mambo madogo
 
Na msipoangalia mtapelekeshwa sana kazini sababu daraja ambalo ni haki yako.Punguzeni kushangilia vitu visivyo vya msingi.Mi nilipanda mwaka juzi wakati jamaa yupo nadhani.So cha kushangilia labda ingekuwa ni increment ambayo ndo tumesaulika kabisa
 
sasa OLE wake atakaye kula RUSHWA au kufanya UBADHIRIFU wa fedha za umma.
hakutokuwa na huruma wala msamaha na wala rushwa na wabadhirifu.
chapeni kazi kwa uadilifu na kwa weledi.
acheni kupigana majungu na fitina, acheni kusemana semana ovyo, acheni umbeya.
pendaneni acheni kuchukiana.
Fanyeni kazi kwa ushirikiano na upendo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo daraja ukishapanda unahisi miasha yako yatapanda?
 
Hao vijana wana miaka Zaid ya sita bila kupanda na cha ajabu wamepanda wachache sanaaa dah hii serikali bwana ni muda wa kwenda vyama mbadala
 
Tujifunze kushukuru japo mambo madogo
Pia tujifunze kwamba sio kila kitu cha kushukuru kuna vitu vyengine ni haki yako na si hisani ya mtu, sasa kushukuru vitu kama hivi vinafanya wajibu kuwa ni kama hisani.
 
Pale haki ya mtu inapotolewa kwa hisani ya viongozi, jamani huo ni wajibu wao kufuata taratibu za utumishi zinavyotaka hivyo hiyo ni haki yenu kupewa
 
Chama cha mapinduzi ni chama pendwa na lazima kiongozi atoke chama cha mapinduzi.

Hakika Samia hana mpinzani Tanzania. Wapinzani tunawakaribisha kujiunga chama cha mapinduzi.
Huu ndio upuuzi unarudisha maendeleo Africa kusujudia vyama vyao kuliko hata kuipenda nchi yao.
 
Hi nyongeza imeleta kutoaminika kwa baadhi ya watu NDANI ya familia.
Njemba imejisifia huku Jf kuwa mshahara umeongezeka, halafu home akamwambia wife HAKUNA KILICHOONGEZEKA!!jamaa hajui kuwa mke anaitambua ID yake ya jf!
Basi naam bwana bonge la zogo likaibuka.

😀😀
 
nchi si ya wafanya kazi peke yao, kuongeza mishahara sio kigezo cha ungoz bora, maana kuna mambo meng yakufanya away from mishahara, huyo madam ana kaz kubwa sana ya kulikomboa taifa ili ktk utumwa wa akili na kuwafanya watz wajitambue, lasivyo tutabaki kule kule kwenye kusifia kila ujinga ufanywapo na kiongoz, kuna lijinga lingine linamuita madam hakuna kiongoz kama yeye, sijui kwa shahid zip, hii ni nchi yenye misingi ya demokrasia, hivyo bas rais anatakiwa kuwalizisha watu wote bila ubaguz bila kujari chama wala itikad yoyote,, bado hali ni ngumu, hiyo mishahara kupanda ni utoto tu maana kuna mitaan na vyuoni kuna utitiri wa wanafunz wanaosubir ajira na mikopo, tena kuna ambao bado wako mashulen nao watahitaj nafas, ni mapema sana kumsifia huyo mnaempa sifa zakijinga, subilin ipite miaka yake4 ndpo kazi yake ipimwe kama alkuwa kiongoz bora au bora kiongoz......bado muda
 
Back
Top Bottom