Watumishi wapata kicheko, Mhe. Rais Samia kaishafanya jambo lao - mishahara juu

Watumishi wapata kicheko, Mhe. Rais Samia kaishafanya jambo lao - mishahara juu

Jambo lililoshindikana kwa miaka mitano Mhe. Rais Samia ameliweza ndani ya siku 100. Ni usiku usiku miamala imesoma kwa madaraja mapya tena bila watumishi kupewa barua.

Maisha marefu kwa Mhe. Rais Samia Suluhu.

Hurrah Mhe. Rais Samia.
Mbona kuna watumishi wengine, hukuna nyongeza YEYOTE na madaraja yamepanda/yalishapanda; ,wewe upo Idara gani?
Kama umepata usiwasemee wengine
 
nchi si ya wafanya kazi peke yao, kuongeza mishahara sio kigezo cha ungoz bora, maana kuna mambo meng yakufanya away from mishahara, huyo madam ana kaz kubwa sana ya kulikomboa taifa ili ktk utumwa wa akili na kuwafanya watz wajitambue, lasivyo tutabaki kule kule kwenye kusifia kila ujinga ufanywapo na kiongoz, kuna lijinga lingine linamuita madam hakuna kiongoz kama yeye, sijui kwa shahid zip, hii ni nchi yenye misingi ya demokrasia, hivyo bas rais anatakiwa kuwalizisha watu wote bila ubaguz bila kujari chama wala itikad yoyote,, bado hali ni ngumu, hiyo mishahara kupanda ni utoto tu maana kuna mitaan na vyuoni kuna utitiri wa wanafunz wanaosubir ajira na mikopo, tena kuna ambao bado wako mashulen nao watahitaj nafas, ni mapema sana kumsifia huyo mnaempa sifa zakijinga, subilin ipite miaka yake4 ndpo kazi yake ipimwe kama alkuwa kiongoz bora au bora kiongoz......bado muda
Kaangalie ajira TAMISEMI leo.
Pia mimi namuunga mkono Rais, nitamtetea popote pale akifanya jambo zuri nitamsifia....akifanya jambo ambalo watu wengine hawalielewi, mi nitajitahidi kulielewa.

Angalia Madaraja watu wamepanda hata mimi mmoja wapo[emoji120] na wengine watafata soon kama Utumishi walivyosema.

Angalia vijana wa Miaka mingi walivyopata ajira za Afya Tamisemi kule....Bado Wa Wizara Afya watafata...bado walimu soon.

Ukishindwa kuona hili, basi una shida zako.

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
sasa OLE wake atakaye kula RUSHWA au kufanya UBADHIRIFU wa fedha za umma.
hakutokuwa na huruma wala msamaha na wala rushwa na wabadhirifu.
chapeni kazi kwa uadilifu na kwa weledi.
acheni kupigana majungu na fitina, acheni kusemana semana ovyo, acheni umbeya.
pendaneni acheni kuchukiana.
Fanyeni kazi kwa ushirikiano na upendo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona kuna watumishi wengine, hukuna nyongeza YEYOTE na madaraja yamepanda/yalishapanda; ,wewe upo Idara gani?
Kama umepata usiwasemee wengine
Hii divide and rule inawasaidia sana ccm. Wamepandisha baadhi na kuwatelekeza wengine. Halafu waliopanda wanakuja kudemka humu kana kwamba watumishi wote wenye sifa wamepandishwa!

Kumbe wizi mtupu!!
 
Hiyo analysis yako inaongelea vitu gani hasa?? Huku tayari kilo ya samaki juu madai kuwa mshahara utapanda, vitu vingi vitapanda tu. We subiri
Soko huria,ukiona duka vitu bei kubwa,nenda duka jingine,kwenye bei rahisi.Anayeuza bei kubwa,vitamuozea.
 
Jambo lililoshindikana kwa miaka mitano Mhe. Rais Samia ameliweza ndani ya siku 100. Ni usiku usiku miamala imesoma kwa madaraja mapya tena bila watumishi kupewa barua.

Maisha marefu kwa Mhe. Rais Samia Suluhu.

Hurrah Mhe. Rais Samia.
Embu mkuu nitumiee ata buku kumi tu ninunue umeme apa nimekwamaa na hali aijakaha vzr zaid
 
Jambo lililoshindikana kwa miaka mitano Mhe. Rais Samia ameliweza ndani ya siku 100. Ni usiku usiku miamala imesoma kwa madaraja mapya tena bila watumishi kupewa barua.

Maisha marefu kwa Mhe. Rais Samia Suluhu.

Hurrah Mhe. Rais Samia.
Hii nayo ni maada ya kuja nayo jf? Vizazi vilivyokulia kuvalishwa kanga ni shida sana.
Maada za umbeaumbea tu
 
Jambo lililoshindikana kwa miaka mitano Mhe. Rais Samia ameliweza ndani ya siku 100. Ni usiku usiku miamala imesoma kwa madaraja mapya tena bila watumishi kupewa barua.

Maisha marefu kwa Mhe. Rais Samia Suluhu.

Hurrah Mhe. Rais Samia.
MIMI NASEMA KUMI TENA KWA MAMA
 
Back
Top Bottom