Msela Baharia
JF-Expert Member
- Jun 12, 2016
- 814
- 1,256
Nyie bado mnapata buku 7Imeongezeka kiasi Gani maana sisi wengine hatuna uzoefu na mambo hayo.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Nyie bado mnapata buku 7Imeongezeka kiasi Gani maana sisi wengine hatuna uzoefu na mambo hayo.
Kwa Sasa imepungua ni 2300 Kwa post.
walipanda madaraja na waliokuwa wanadai..ndo wamelipwa ...wengi wamepanda nyongeza ya kati ni sh la9 hadi miilo 6Hakuna cha kuongezeka wala nn
Nchi HiiKwa hiyo tuseme hivi, atake asitake or 😁
Watu WajingaHakuna cha kuongezeka wala nn
Hivi ongezeko la hela huwa ni kama shilingi ngapi ukipandishwa daraja yoyote anaejua aniambie basi.Jambo lililoshindikana kwa miaka mitano Mhe. Rais Samia ameliweza ndani ya siku 100. Ni usiku usiku miamala imesoma kwa madaraja mapya tena bila watumishi kupewa barua.
Maisha marefu kwa Mhe. Rais Samia Suluhu.
Hurrah Mhe. Rais Samia.
Sisi ambao bado hatujapanda tukomment wapi??.Jambo lililoshindikana kwa miaka mitano Mhe. Rais Samia ameliweza ndani ya siku 100. Ni usiku usiku miamala imesoma kwa madaraja mapya tena bila watumishi kupewa barua.
Maisha marefu kwa Mhe. Rais Samia Suluhu.
Hurrah Mhe. Rais Samia.
Walimu mnasumbua[emoji38] .mkuu bila shaka wewe leo salio limesoma.Mazara =madhara
Unakuta MTU kapandishiwa kutoka kwa Tshs 440,000 mpaka Tshs 484,000 ambayo ni sawa na asilimia 10%. Lakini anafurahia ile mbaya. Ajila izi hatari sanaJambo lililoshindikana kwa miaka mitano Mhe. Rais Samia ameliweza ndani ya siku 100. Ni usiku usiku miamala imesoma kwa madaraja mapya tena bila watumishi kupewa barua.
Maisha marefu kwa Mhe. Rais Samia Suluhu.
Hurrah Mhe. Rais Samia.
Kama huna uhakika na unachoandika ni bora kunyamaza tu,na si dhambiUnawezakuta nyongeza ni kama 30 tuu ambayo tukiigawa kwa miaka mi5 watumishi waliyosubiri ni kama buku6/year.
Mimi ni nani nipinge hilo,atawale milele,sii mitano tenaChama cha mapinduzi ni chama pendwa na lazima kiongozi atoke chama cha mapinduzi.
Hakika Samia hana mpinzani Tanzania. Wapinzani tunawakaribisha kujiunga chama cha mapinduzi.
Kweli?Huku Tanga mjini ni vilio!!! Hakuna kilichobadilika!!
Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Jamaa yangu yupo Tanga mjini na amepanda.Huku Tanga mjini ni vilio!!! Hakuna kilichobadilika!!
Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Kabisa Mkuu.Usipoweza kushukuru kwa kidogo hata kikubwa hutoshukuru
Na ukizingatia ni haki sio hisani...Sasa jambo kama hilo tu linafanya watu kushukuru kiasi hicho na hadi kuanzisha uzi humu ndio maana tunafanya hawa viongozi kujiona wanafanya mambo makubwa wakati kiuhalisia bado tuko nyuma sana.
Ukiwa unajua maana ya kupanda daraja, hutaongea hivi.Unawezakuta nyongeza ni kama 30 tuu ambayo tukiigawa kwa miaka mi5 watumishi waliyosubiri ni kama buku6/year.