Watumishi wengi wa Umma tumeachwa Kimaisha na Wajasiriamali wadogo

Watumishi wengi wa Umma tumeachwa Kimaisha na Wajasiriamali wadogo

Endeleeni kushangaa tu watu wanapiga pesa! kuna jamaa pale Mwanza Uhuru dampo anauza chips mauzo ya million 1.5 kwa siku day and night sasa kwa mauzo hayo anakosaje hiyo faida kwa mfano.
Mauzo ya 1.5mil kwa bei sahani ya 2,000/= utakuwa umehudumia watu 750 kwasiku! Hao watu utawapata wapi? Sehemu zenye msongamano na uwezo wa kununua Mwanza??? Labda umechukua tenda ya kulisha shule! Lakini sio kila siku! Ujasiriamali unapata hela ya kujimudu tu!
 
Heading na Content ni Maji na Mafuta.....

Heading (Watumishi Wengi wanazidiwa kimaisha na Wajasiriamali Wadogo) Content; (Kuna wajasiriamali wadogo wanawazidi kimaisha Watumishi Wengi) !!!!

Ukishaweka kuna; wapo hata watu wasiofanya kazi yoyote na wanamzidi kimaisha hata baadhi ya marais wa nchi..., Ukishaweka kuna, technically anything is possible..., Ila kufahamu ni vipi maisha ni magumu kwa majority wewe leo achia kazi yako yenye security(income na pension at the end of retirement) uone ni hao so called wajasiriamali wadogo watapambana wachukue hio kazi yako ili wapunguze madeni ya Vikoba (The Grass is Always Greener on the other Side)
Unataka kuconclude kwamba watumishi ni bora kuliko wajasiliamali
 
Unataka kuconclude kwamba watumishi ni bora kuliko wajasiliamali
Ubora ni nini ? na Watumishi ni Watu gani na Wajasiliamali ni watu gani....

Ubora; mwisho wa siku kila mtu yupo kwenye pursuit of happiness; kwahio ukiishi within your means basi utumishi unafaa (sababu una security na mwisho wa siku retirement plans - yaani Pension) Pili kwanini unafanya unachofanya ?, nina-assume wewe umekuwa Bwana Afya; Daktari au Mwalimu kutokana na Wito au kupenda kazi yako (hivyo you are living your dream) kwahio hata usipolipwa pesa nyingi wewe kama mwalimu ku-impact knowledge kwa watoto nadhani itakuwa a job worth while (living your purpose); Lakini tatizo ni kwamba watu wanafanya kazi fulani sababu ina ujira zaidi au hawana sehemu ya kwenda hence they are in the wrong occupation; pili kutokana na Sera mbovu wananchi wengi hawana disposable income.....

Watumishi: In the actual sense of the word, Mawaziri, Rais hadi waalimu madaktari wanajeshi n.k. wote hao ni watumishi experts wote kwenye hata big private companies bado ni watumishi kwahio utaona hao ni sehemu muhimu sana katika jamii tatizo they are on the wrong jobs (ni kama wamelazimishwa hivyo not enjoying the ride) na ukitoa wale wa juu wengi hawalipwi enough income kitu kinachopelekea kufanya kazi part time na ndio hao hao wenye vimiradi mtaani (yaani tunawalipa watutumikie ila bado ndio hao wachuuzi kitaa)

Wajasiliamali:hili neno tunalishusha sana maana yake, Bongo wengi ni wachuuzi na wabangaizaji; According to a Definition from Online: Mjasiriamali ni mtu ambaye anaandaa, anapanga au anasimamia biashara fulani, akikubali kukabiliana na hatari za kibiashara zinazoweza kujitokeza ilhali analenga kupata faida. Mjasiriamali mara nyingi huonekana kama mbunifu, chanzo cha mawazo anzilishi, mwenye kuvumbua bidhaa au huduma mpya na biashara (Now you tell me hao Bongo ni wangapi ? au kila Trader, Hawker na retailer ameshakuwa Mjasiliamali)? au kila Self Employed ni Mjasiliamali ?
 
Mauzo ya 1.5mil kwa bei sahani ya 2,000/= utakuwa umehudumia watu 750 kwasiku! Hao watu utawapata wapi? Sehemu zenye msongamano na uwezo wa kununua Mwanza??? Labda umechukua tenda ya kulisha shule! Lakini sio kila siku! Ujasiriamali unapata hela ya kujimudu tu!
Acha ubishi wa kijinga wewe! unapajua Uhuru dampo kwanza? yule mwamba chips haziishi pale unazikuta kwenye kabati kama chapati.

1.Anawafanyakazi wanashift mchana na usiku.
2.kuna watu kazi yao ni kumenya viazi tu.
3.kuna watu kazi yao ni kuandaa Mishikaki tu.
4.kuna watu kazi yao ni kuandaa kuku tu.
5.kuna watu kazi yao ni kukaanga viazi tu.
6.kuna watu kazi yao ni kuchoma chips tu.
7.kuna mtu kazi yake ni kuhudumia vinywaji tu.
8.Ana watu 3 kazi yao ni kupokea pesa tu.
9.Anabajaji 2 zimepaki kwaajili ya kufata mkaa stoo ukiisha.

Tembea uone acha ubishi wa hovyo! yule jamaa ananyumba 3 amejenga, watu wanachukua take away pale kama hawana akili nzuri.
 
Lete gharama Kwa siku analipa hao wafanyakazi wote ,gharama za manunuzi ya vyakula ,Usafiri wa hivyo vyakula,gharama za kupika za umeme au gesi ,gharama za kupanga jengo yote Kwa mwezi shilingi ngapi nk weka gharama zote Kwa mwezi Kisha tupe je sahani anauza bei Gani Kisha tuache hesabu tutapiga wenyewe kujua faida anapata bei Gani kabla ya Kodi za serikali
 
Security ya kusema mwisho wa mwezi una uhakika inawaponza wengi wafanyakazi. Kuna jamaa tulivomaliza chuo yeye moja kwa moja akazama kariakoo akaanza na duka moja then akaongeza la pili na now kufungua duka lingine la bidhaa tofauti......wale walioenda kuajiriwa wana hali ngumu sana maana ni fully kukopa kununua magari mwisho wa siku maisha ya stress
 
Lete gharama Kwa siku analipa hao wafanyakazi wote ,gharama za manunuzi ya vyakula ,Usafiri wa hivyo vyakula,gharama za kupika za umeme au gesi ,gharama za kupanga jengo yote Kwa mwezi shilingi ngapi nk weka gharama zote Kwa mwezi Kisha tupe je sahani anauza bei Gani Kisha tuache hesabu tutapiga wenyewe kujua faida anapata bei Gani kabla ya Kodi za serikali
Amepanga uchochoro kati ya nyumba na nyumba analipa laki 1 kwa mwezi.

Hakuna kodi ya serikali anayolipa.

Viazi na mkaa anabajaji zake 2 fasta tu kutoa soko kuu ni kama mita 100 tu.

Mafuta, kuku na nyama wanaleta wenyewe huku wanakimbi kwakuwa ni soko la uhakika.

Wafanyakazi anawalipa 40,00 kwa siku wapo 10.

Vitu vingine vidogovidogo madogo wanafata sokoni,nyanya,kabeji,vitunguu,n.k

Wafanyakazi chakula wanakula viewed.

Haya endelea kupiga hesabu zako uchwara nimekwambia watu wanapiga hiyo pesa bila wasiwasi! au nikuongezee wengine 2 pale Uhuru dampo?

1.anauza yeboyebo za mtumba anapiga faida 150,000 kwa siku.

2.anauza nguo za mtumba retail and wholesale anauza 2.5 million kwa siku utajua mwenyewe faida yake kiasigani.
 
Back
Top Bottom