4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Leo kwa andiko hili sitomsalimia yoyote japo ni imani yangu mko wazima
Kwenu watumishi wa umma popote mlipo msiwe wajinga/ wapumbavu popote ulipo ukipata nafasi fisadi.
Naongea hili kwa uchungu mkubwa sana ,leo wote walio huko juu wanapiga kwa urefu wa kamba zao, anzia Bungeni n.k
Majuzi mmetupiwa pesa ya madafu kwenye mishahara yenu , ila jiulize wanasiasa wanafaidika kiasi gani .
Acheni kuzubaa ukipata mwanya piga na lala mbele mbwai mbwai.
Leo unamkuta daktari wa binadamu hana nyuma wala mbele ,Kigali anachoendesha ni kimbuzi flani wakati Mbunge wa la saba yupo na li v8 , wake wa viongozi wanalipwa maposho kwa mabilion ujinga gani huu.
Sasa ni zamu yenu watumishi kuionesha serikali hii kwamba bila nyie nchi haiwezi simama, kila mfanyakazi ndani ya nchi hii atimize wajibu wake kulingana na kada yake ,nawambia mkifanya hivi hawa wahuni watawapigia magoti na kuwaheshimu
Thanks