Ya huduma za wananchi nakubaliana na wewe maana hawana hatia , ila zingatia neno piga na lala mbeleKwa mfano uko kwenye taasisi ya regulation piga hata wachina maana wanajuaga wanajua wanakuja na package ya rushwa ila kama uko kwenye project za huduma za wananchi aisee don't touch hii HELA yasikukute mambo
Shauri yako akija mtu kupata huduma mzungushe hadi ajikague mfukoni.Hela ya RAIS SAMIA si yakuchezea, nyie jidanganyeni mtafungwa sana
Naunga mkono hojaLeo kwa andiko hili sitomsalimia yoyote japo ni imani yangu mko wazima
Kwenu watumishi wa umma popote mlipo msiwe wajinga/ wapumbavu popote ulipo ukipata nafasi fisadi.
Naongea hili kwa uchungu mkubwa sana ,leo wote walio huko juu wanapiga kwa urefu wa kamba zao, anzia Bungeni n.k
Majuzi mmetupiwa pesa ya madafu kwenye mishahara yenu , ila jiulize wanasiasa wanafaidika kiasi gani .
Acheni kuzubaa ukipata mwanya piga na lala mbele mbwai mbwai.
Leo unamkuta daktari wa binadamu hana nyuma wala mbele ,Kigali anachoendesha ni kimbuzi flani wakati Mbunge wa la saba yupo na li v8 , wake wa viongozi wanalipwa maposho kwa mabilion ujinga gani huu.
Sasa ni zamu yenu watumishi kuionesha serikali hii kwamba bila nyie nchi haiwezi simama, kila mfanyakazi ndani ya nchi hii atimize wajibu wake kulingana na kada yake ,nawambia mkifanya hivi hawa wahuni watawapigia magoti na kuwaheshimu
Thanks
Asa mwalimu wa shule ya msingi atachukua rushwa gani mkuu? Au Mtaalamu wa maabara pale zahanati ni rushwa gan ya laki mbili anaweza kuichukua??Shauri yako akija mtu kupata huduma mzungushe hadi ajikague mfukoni.
Kama huduma ni muhimu anatoa 200,000 unatia mfukoni kwa wiki hukosi 2mil maisha yanasonga na unaachana na mikopo ya benki.
Hao tuwape pole yao waendelee kupauka maana hakuna namna.Asa mwalimu wa shule ya msingi atachukua rushwa gani mkuu? Au Mtaalamu wa maabara pale zahanati ni rushwa gan ya laki mbili anaweza kuichukua??
Shukuru pia upo kwenye position nono ya kuweza kuchukua hata rushwa ya maana,vinginevyo ni balaa
Halafu wanasisitizwa wazalishe matokeo makubwa,,Hao tuwape pole yao waendelee kupauka maana hakuna namna.
unafanya utafiti/survey-The percentage of government disenchantmentLeo kwa andiko hili sitomsalimia yoyote japo ni imani yangu mko wazima
Kwenu watumishi wa umma popote mlipo msiwe wajinga/ wapumbavu popote ulipo ukipata nafasi fisadi.
Naongea hili kwa uchungu mkubwa sana ,leo wote walio huko juu wanapiga kwa urefu wa kamba zao, anzia Bungeni n.k
Majuzi mmetupiwa pesa ya madafu kwenye mishahara yenu , ila jiulize wanasiasa wanafaidika kiasi gani .
Acheni kuzubaa ukipata mwanya piga na lala mbele mbwai mbwai.
Leo unamkuta daktari wa binadamu hana nyuma wala mbele ,Kigali anachoendesha ni kimbuzi flani wakati Mbunge wa la saba yupo na li v8 , wake wa viongozi wanalipwa maposho kwa mabilion ujinga gani huu.
Sasa ni zamu yenu watumishi kuionesha serikali hii kwamba bila nyie nchi haiwezi simama, kila mfanyakazi ndani ya nchi hii atimize wajibu wake kulingana na kada yake ,nawambia mkifanya hivi hawa wahuni watawapigia magoti na kuwaheshimu
Thanks
Code ilishatoka kitaambo..Hela ya RAIS SAMIA si yakuchezea, nyie jidanganyeni mtafungwa sana
Wenye akili kubwa mitaa kama hio wanakimbia mapema.Halafu wanasisitizwa wazalishe matokeo makubwa,,
Hiyo ni hela ya laana za Watanzania wasaka hudumaShauri yako akija mtu kupata huduma mzungushe hadi ajikague mfukoni.
Kama huduma ni muhimu anatoa 200,000 unatia mfukoni kwa wiki hukosi 2mil maisha yanasonga na unaachana na mikopo ya benki.
Pesa zote zina laana labda kama umekosa elimu ya pesa.Hiyo ni hela ya laana za Watanzania wasaka huduma