Watumishi wote nchini msiwe wapumbavu ulipo kama nafasi ipo piga

Status
Not open for further replies.
Kila Mtumishi akiwa na hii mind set, hakuna maendeleo mtapata

Angalia asilimia 45 ya Bajeti ya Nchi ni fedha za miradi ya maendeleo, alafu wajanja wakazipiga unadhani mtapata hela hata za kujenga mitaro ya Maji machafu
Bora tusipate tu!
 
Hela ya RAIS SAMIA si yakuchezea, nyie jidanganyeni mtafungwa sana
Nitajie walio fungwa kwenye utawala huu zaidi ya 10 tu. Sio kwa MAJINA ni vyeo vyao please.
Kama mtumishi wa uma chini y hii serikali ya CHURA piga PESA sepa zako.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Mkuu naomba kukuuliza
1. Umeshawahi kulala kitu chochote cha polisi hata kwa siku 2?
2. Umeshawahi kwenda magereza hata ukiwa kama mahabusu?
3. Umeshawahi kumuona mtu au wewe mwenyewe aliyetoka kifungo hata cha miezi mitatu?
4. Ulimuona Seth yule mhindi na yule mhaya afya zao walipokuwa wanaingia mahakamani wakitokea gerezani?
5. Umeshawahi kuwa ndugu yako akiwa na kesi mahakamani ukafuatilia kila kesi inaposomwa?
6. Umeshawahi kuitembelea familia ambayo baba amefungwa au ana kesi mahakamani ?

Tusilete siasa kwenye maisha halisi tena yetu maskini waache waibe wao.

"Kila mchuma janga hula na wa kwake"
 
Leo kwa andiko hili sitomsalimia yoyote japo ni imani yangu mko wazima

Kwenu watumishi wa umma popote mlipo msiwe wajinga/ wapumbavu popote ulipo ukipata nafasi fisadi.

Naongea hili kwa uchungu mkubwa sana ,leo wote walio huko juu wanapiga kwa urefu wa kamba zao, anzia Bungeni n.k

Majuzi mmetupiwa pesa ya madafu kwenye mishahara yenu , ila jiulize wanasiasa wanafaidika kiasi gani .

Acheni kuzubaa ukipata mwanya piga na lala mbele mbwai mbwai.

Leo unamkuta daktari wa binadamu hana nyuma wala mbele ,Kigali anachoendesha ni kimbuzi flani wakati Mbunge wa la saba yupo na li v8 , wake wa viongozi wanalipwa maposho kwa mabilion ujinga gani huu.

Sasa ni zamu yenu watumishi kuionesha serikali hii kwamba bila nyie nchi haiwezi simama, kila mfanyakazi ndani ya nchi hii atimize wajibu wake kulingana na kada yake ,nawambia mkifanya hivi hawa wahuni watawapigia magoti na kuwaheshimu
Thanks
Post kama hii Mod wanaiacha vipi?

We mjinga sikiliza, Ok wanakula mfano wafanyakazi TMDA wanakula rushwa wanaruhusu madawa yalio expire au yasio kuwa na ubora kuuzwa mtaani, Mama yako ataugua ataenda nununua dawa atameza na atapata matatizo makubwa sana au wewe mwenyewe.

Acha kushabikia ujinga,
 
Nitajie walio fungwa kwenye utawala huu zaidi ya 10 tu. Sio kwa MAJINA ni vyeo vyao please.
Kama mtumishi wa uma chini y hii serikali ya CHURA piga PESA sepa zako.
KAZI ni kipimo cha utu
Usishabikie ujinga, rushwa ina madhara hata kwenye maisha yako, Ukiona dawa fake zinauzwa madukani jua ni mambo ya rushwa ,usishabikie ujinga
 
Sio walimu tu kuna kada nyingi tu hukutani na wateja kama sie huna cha kupiga wala kupokea rushwa,zaidi ya jitihada zako za kazi ndio zitakupa fedha.
 
Leo kwa andiko hili sitomsalimia yoyote japo ni imani yangu mko wazima

Kwenu watumishi wa umma popote mlipo msiwe wajinga/ wapumbavu popote ulipo ukipata nafasi fisadi.

Naongea hili kwa uchungu mkubwa sana ,leo wote walio huko juu wanapiga kwa urefu wa kamba zao, anzia Bungeni n.k

Majuzi mmetupiwa pesa ya madafu kwenye mishahara yenu , ila jiulize wanasiasa wanafaidika kiasi gani .

Acheni kuzubaa ukipata mwanya piga na lala mbele mbwai mbwai.

Leo unamkuta daktari wa binadamu hana nyuma wala mbele ,Kigali anachoendesha ni kimbuzi flani wakati Mbunge wa la saba yupo na li v8 , wake wa viongozi wanalipwa maposho kwa mabilion ujinga gani huu.

Sasa ni zamu yenu watumishi kuionesha serikali hii kwamba bila nyie nchi haiwezi simama, kila mfanyakazi ndani ya nchi hii atimize wajibu wake kulingana na kada yake ,nawambia mkifanya hivi hawa wahuni watawapigia magoti na kuwaheshimu
Thanks
Mtumishi hasubirii kuambiwa na kima yeyote nini afanye zaidi ya muongozo ya kiutumishi.

Pili hakuna pesa rahasi kwenye utumishi kwamba utajiibia tuu,hiyo mianya imezibwa na Serikali Kwa zaidi ya 75%.

Mwisho TAKUKURU imeundwa specifically Kwa Ajili ya Watumishi wa Umma hivyo siku wakitiwa mbaronk hutokuwepo.
 
Wahuni wanajilimbikizia mapesa mpaka hawajui wazipeleke wapi kuna majitu yana mpaka makontena ya pesa za nchi tofauti huku watumishi wakibeti msipo jitambua mtaishia kulaa pensheni yenye kikotoo cha ukandmozaji , ukipata nafsi piga na lala mbele , leo hii mwanasiasa yupo na pesa kuliko mwalimu ,daktari ,police, au mwanajeshi wa cheo chani usawa uko wapi , yule msanii tapeli aliyekuwa mwigizaji wa sauti ya baba wa taifa naambiwa kwa sasa yupo na ukwasi wa kutisha ,najua hizi pesa huwa hazidumu akumuulize Bwana mmoja pale Muheza Omary kipindi cha kikwete alikua wapi na sasa yuko wapi.

Naongea ninachokijua kwa huyu ndugu Omary ,nimekaa naye mara nyingi enzi hizo
Hela inayokuja bila jasho itapotea hivyo hivyo na utaaibika mwishoni maana Haina baraka ya jasho lako.

Mtumishi wa Umma hana nafasi ya kuiba popote zaidi ya kudokoa.

Hao wanasiasa na watu wengine wenye ushawishi wanapata hizo pesa Kwa kutumiwa na system,kwamba system itanufaika na fani Yao.

Wanasiasa wao wanapata hela za mishahara mikubwa na posho za azi zao
 
Huku sio kujiongeza bali huu ni wizi mkuu.

Nyie ndo mlifungua parcel yangu mkatoa chipset ya laki mbili mkaniachia box empty mlaaniwe huko mlipo yan mzigo niliusubiri mwezi mzima nikaja kupokea box empty 🥺
We ndo unajua leo? Njoo huku posta tunajipigia tu vi-parcel vya wanaoagiza mizigo nje kama vyote hadi raha
 
Leo kwa andiko hili sitomsalimia yoyote japo ni imani yangu mko wazima

Kwenu watumishi wa umma popote mlipo msiwe wajinga/ wapumbavu popote ulipo ukipata nafasi fisadi.

Naongea hili kwa uchungu mkubwa sana ,leo wote walio huko juu wanapiga kwa urefu wa kamba zao, anzia Bungeni n.k

Majuzi mmetupiwa pesa ya madafu kwenye mishahara yenu , ila jiulize wanasiasa wanafaidika kiasi gani .

Acheni kuzubaa ukipata mwanya piga na lala mbele mbwai mbwai.

Leo unamkuta daktari wa binadamu hana nyuma wala mbele ,Kigali anachoendesha ni kimbuzi flani wakati Mbunge wa la saba yupo na li v8 , wake wa viongozi wanalipwa maposho kwa mabilion ujinga gani huu.

Sasa ni zamu yenu watumishi kuionesha serikali hii kwamba bila nyie nchi haiwezi simama, kila mfanyakazi ndani ya nchi hii atimize wajibu wake kulingana na kada yake ,nawambia mkifanya hivi hawa wahuni watawapigia magoti na kuwaheshimu
Thanks
Po sahihi asilimia 100
 
Bora tusipate tu!
Haipaswi iwe hivyo Mkuu

Kila Mtumishi akianza kuiba fedha anazoletewa kwaajili ya miradi ya maendeleo, watakaokuwa wanaumia ni Wananchi ambao ndiyo walipaji wa hizo Kodi zenyewe

Miundombinu ya Maji/barabara Wala vituo vya afya havitaweza kujengwa wala kutoa huduma tarajiwa Kwa Wananchi

Rai yangu, ni watumishi wote kuanzia Chini hadi kule juu wajifunze uzalendo katika nafasi wanazotumikia

Wakina Nyerere wangekuwa na hizo mindset, tusingeikuta Nchi ilivyo hivi leo
 
Kumbuka huko kigoma mtu kapigwa 20Yrs.
 
Yaani tuhangaike na wanaoiba vijisenti, upo sawa kweli!?
Halafu mama yenu na Jakaya unawachekea!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom