4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
- Thread starter
- #61
Mkuu wangu , andiko tukufu kabisa, ila hao wanasiasa hili hawalijui jabisa that's katika mito mingi ya neema wamechagua njia hii ,why watumishi pia wasichague njii hii , umenigusa sana kiroho na umeniumiza ,ila hakuna namna mkuu why wachache wafaidi na wengine wabaki yatima.Maisha hayako hivyo. Hii dunia tunapita na kuna mambo ya msingi zaidi yanayotawala maamuzi ya mtu zaidi ya "kupiga na kulala mbele". Utapiga, utalala mbele mwisho wa siku utakufa na watoto na vijukuu vyako watabaki kwa nchi hii na kuishi kwa tabu kama raia wengine uliowapiga pesa zao. Ishi kama Kristo alivyoishi hapa duniani, kuna faida tele kuliko hasara.
Why mbunge lipwa m10 na ila mwalimu lipwa milion moja kwa mfano japo hicho kuwango wengi wanakisikia tu.