Watumishi wote nchini msiwe wapumbavu ulipo kama nafasi ipo piga

Watumishi wote nchini msiwe wapumbavu ulipo kama nafasi ipo piga

Status
Not open for further replies.
Yaani tuhangaike na wanaoiba vijisenti, upo sawa kweli!?
Halafu mama yenu na Jakaya unawachekea!
Kila Mtumishi akiwa mwizi unajua madhara yake Mkuu?

Hoja yangu ni kwamba, hakuna mwenye kibali cha kuiba Mali za Umma iwe Viongozi wa kitaifa ama watumishi wanopokea hela za miradi

Ni wakati wa kutumia mifumo iliyopo kukomesha hiyo hali pamoja na kuendelea kuhimiza uzalendo Kwa Kila mwenye dhamana
 
Ushauri huu ni wa kipumbavu.
Tupinge wizi wa mali za umma na sio kuhamasisha wizi.
Nchi ikifilisika machafuko yatatokea na sisi tutaishi wapi?.
Tuwe wazalendo kwa Taifa letu.
 
Haipaswi iwe hivyo Mkuu

Kila Mtumishi akianza kuiba fedha anazoletewa kwaajili ya miradi ya maendeleo, watakaokuwa wanaumia ni Wananchi ambao ndiyo walipaji wa hizo Kodi zenyewe

Miundombinu ya Maji/barabara Wala vituo vya afya havitaweza kujengwa wala kutoa huduma tarajiwa Kwa Wananchi

Rai yangu, ni watumishi wote kuanzia Chini hadi kule juu wajifunze uzalendo katika nafasi wanazotumikia

Wakina Nyerere wangekuwa na hizo mindset, tusingeikuta Nchi ilivyo hivi leo
Mbona wao wanaiba na kwa nini hakuna usawa mwalimu ,askari unamlipa chini ya ml 2 huku mbunge unamlipa 10 ml plus ,
Ukipata nafsi piga na lala mbele
 
Kila Mtumishi akiwa mwizi unajua madhara yake Mkuu?

Hoja yangu ni kwamba, hakuna mwenye kibali cha kuiba Mali za Umma iwe Viongozi wa kitaifa ama watumishi wanopokea hela za miradi

Ni wakati wa kutumia mifumo iliyopo kukomesha hiyo hali pamoja na kuendelea kuhimiza uzalendo Kwa Kila mwenye dhamana
Madhara ni makubwa najua ,turudi mezani kuweka usawa kama taifa
 
Mkuu naomba kukuuliza
1. Umeshawahi kulala kitu chochote cha polisi hata kwa siku 2?
2. Umeshawahi kwenda magereza hata ukiwa kama mahabusu?
3. Umeshawahi kumuona mtu au wewe mwenyewe aliyetoka kifungo hata cha miezi mitatu?
4. Ulimuona Seth yule mhindi na yule mhaya afya zao walipokuwa wanaingia mahakamani wakitokea gerezani?
5. Umeshawahi kuwa ndugu yako akiwa na kesi mahakamani ukafuatilia kila kesi inaposomwa?
6. Umeshawahi kuitembelea familia ambayo baba amefungwa au ana kesi mahakamani ?

Tusilete siasa kwenye maisha halisi tena yetu maskini waache waibe wao.

"Kila mchuma janga hula na wa kwake"
Unauliza ujinga gani ?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom