4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Hii nimeondoka nayo 🤝🤝Acheni kuzubaa ukipata mwanya piga na lala mbele mbwai mbwai.
DED wa zamani Kigoma ujiji anakupa salamu mkuu.Leo kwa andiko hili sitomsalimia yoyote japo ni imani yangu mko wazima
Kwenu watumishi wa umma popote mlipo msiwe wajinga/ wapumbavu popote ulipo ukipata nafasi fisadi.
Naongea hili kwa uchungu mkubwa sana ,leo wote walio huko juu wanapiga kwa urefu wa kamba zao, anzia Bungeni n.k
Majuzi mmetupiwa pesa ya madafu kwenye mishahara yenu , ila jiulize wanasiasa wanafaidika kiasi gani .
Acheni kuzubaa ukipata mwanya piga na lala mbele mbwai mbwai.
Leo unamkuta daktari wa binadamu hana nyuma wala mbele ,Kigali anachoendesha ni kimbuzi flani wakati Mbunge wa la saba yupo na li v8 , wake wa viongozi wanalipwa maposho kwa mabilion ujinga gani huu.
Sasa ni zamu yenu watumishi kuionesha serikali hii kwamba bila nyie nchi haiwezi simama, kila mfanyakazi ndani ya nchi hii atimize wajibu wake kulingana na kada yake ,nawambia mkifanya hivi hawa wahuni watawapigia magoti na kuwaheshimu
Thanks
Na huku ndo tunapoeleka.Leo kwa andiko hili sitomsalimia yoyote japo ni imani yangu mko wazima
Kwenu watumishi wa umma popote mlipo msiwe wajinga/ wapumbavu popote ulipo ukipata nafasi fisadi.
Naongea hili kwa uchungu mkubwa sana ,leo wote walio huko juu wanapiga kwa urefu wa kamba zao, anzia Bungeni n.k
Majuzi mmetupiwa pesa ya madafu kwenye mishahara yenu , ila jiulize wanasiasa wanafaidika kiasi gani .
Acheni kuzubaa ukipata mwanya piga na lala mbele mbwai mbwai.
Leo unamkuta daktari wa binadamu hana nyuma wala mbele ,Kigali anachoendesha ni kimbuzi flani wakati Mbunge wa la saba yupo na li v8 , wake wa viongozi wanalipwa maposho kwa mabilion ujinga gani huu.
Sasa ni zamu yenu watumishi kuionesha serikali hii kwamba bila nyie nchi haiwezi simama, kila mfanyakazi ndani ya nchi hii atimize wajibu wake kulingana na kada yake ,nawambia mkifanya hivi hawa wahuni watawapigia magoti na kuwaheshimu
Thanks
Wahuni wanajilimbikizia mapesa mpaka hawajui wazipeleke wapi kuna majitu yana mpaka makontena ya pesa za nchi tofauti huku watumishi wakibeti msipo jitambua mtaishia kulaa pensheni yenye kikotoo cha ukandmozaji , ukipata nafsi piga na lala mbele , leo hii mwanasiasa yupo na pesa kuliko mwalimu ,daktari ,police, au mwanajeshi wa cheo chani usawa uko wapi , yule msanii tapeli aliyekuwa mwigizaji wa sauti ya baba wa taifa naambiwa kwa sasa yupo na ukwasi wa kutisha ,najua hizi pesa huwa hazidumu akumuulize Bwana mmoja pale Muheza Omary kipindi cha kikwete alikua wapi na sasa yuko wapi.Hii nimeondoka nayo 🤝🤝
Mbona hizo jela haziwafungi mafisadi papaWadanganye wajichanganye. Jela bado ziko tupu zinahitaji watu.
Elewa neno piga na lala mbele .kazi unapiga na kuwachia manyoya ,sio upige na ubaki pale ulipo.Piga Ila kwa tahadhari piga mtu BINAFSI mfano mwekezaji usijichanganye ukala hela ambayo NI kwa ajili ya huduma ya jamii..
Wale na walale mbele ila sio kula elfu kumi ,piga salio la kutosha na lala mbeleWapigee kweli kweli wasiangalie uzalendo. Ila wale kwa akili mingi.
Kwa mfano uko kwenye taasisi ya regulation piga hata wachina maana wanajuaga wanajua wanakuja na package ya rushwa ila kama uko kwenye project za huduma za wananchi aisee don't touch hii HELA yasikukute mamboElewa neno piga na lala mbele .kazi unapiga na kuwachia manyoya ,sio upige na ubaki pale ulipo.