Wauaji wataomba msamaha kwa Mungu na atawasamehe?

Sio kila dhambi inamsamaha.

Sheria inaeleza wazi kuwa ukiua kwa upanga nawe unatakiwa kuuawa. Hiyo ni sheria.
So kama duniani uliua na haukuuawa tafsiri yake Mungu mwenyewe atafanya kazi hiyo
maandiko yana sema dhambi isiyo na msamaha ni kumkufuru roho mtakatifu pekee
 
Kwahiyo binadamu wa kwanza alianguka tu kwenye dunia😁
 
Ana jibu kwa wakati
Kabla ya uchaguzi wa Tanzania 🇹🇿, Yalifanyika maombi mengi sana makanisani, misikitini, majumbani na mashuleni kuombea taifa amani katika kipindi cha uchaguzi.

Watu walimuomba huyo Mungu amani na utulivu viwepo wakati wa uchaguzi.

Cha kushangaza siku ya uchaguzi ilipofika vurugu zimetokea, mauaji yametokea na watu wengi wamekufa..!!

Sasa huyo MUNGU unayesema anajibu kwa wakati, mbona hajajalia hiyo amani iwepo?

Huyo Mungu mbona kaacha maelfu ya raia wameuwawa?

Huyo Mungu anajibu kwa wakati gani?
 
Ulitaka ashuke aje azuie?
 
"Anafanya kazi ila wote wanatenda kazi Moja"

Hiyo kauli yako sijaelewa kabisa, inakuwaje Miungu watatu wafanye kazi Moja, alafu inakuwaje mungu mmojawapo awe wakili wetu?
"Wanatenda kazi moja" Inamaanisha kuwa wana lengo moja, nia moja, na hawapingani… Wanashirikiana kikamilifu katika kazi ya wokovu wa mwanadamu

”Yesu kuwa Wakili wetu” soma 1 Yohana 2:1, Yesu anaitwa "wakili kwa Baba" kwa ajili ya wanaotenda dhambi. Hii ina maana kwamba Yesu anatutetea mbele za Mungu Baba kwa sababu alikufa kwa ajili ya dhambi zetu.

Kwa hiyo, si kwamba Yesu ni Mungu mwingine tofauti, bali ni Mungu katika nafsi ya Mwana, ambaye anafanya kazi ya kutuombea na kututetea. Hii si kinyume, bali ni sehemu ya kazi ya Mungu mmoja aliye katika nafsi tatu zinazoshirikiana kikamilifu.
 
Wewe una amini binadamu alikuwa sokwe?
Kwanza mimi siamini kwenye kuamini. Sina imani ya aina yeyote ile. Sihitaji kuamini, nahitaji kujua kwa uhakika, ushahidi na uthibitisho.

Binadamu hakuwahi kuwa sokwe.

Binadamu ni Binadamu.

Sokwe ni sokwe.
 
Dhambi ya kuua haisamrheki mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…