Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Nilishakwambia mimi siamini kwenye kuamini. Sina imani ya aina yeyote ile. Sihitaji kuamini. Nahitaji kujua kwa uhakika, ushahidi na uthibitisho.Kwahy watoto wako una waaminisha ivyo?
Kama huyo Mungu yupo na yeye ni mjuzi wa vyote tangu mwanzo na hata milele, kwa nini aliruhusu maovu yawepo Duniani?Yupo!!
Anaruhusu mambo yatokee!
Kama huyo Mungu alitupa free will ya kuchagua kufanya chochote, Sasa kwa nini hapendi tufanye maovu kwa kutumia free will hiyo hiyo aliyotupa?We have free will Mungu alituumba kuweza kuchagua!
Kama si Mungu kaanzisha vurugu, Basi binadamu tupo responsible kwa matendo yetu wenyewe na Mungu huyo HAYUPO.Sio mapenzi ya Mungu vurugu ziwepo na sio yeye alizianzisha!
Ndio maana nakwambia Binadamu tupo responsible kwa matendo yetu wenyewe. Mema na mabaya.Vurugu na mauaji hutokana na matendo ya binadamu, Maombi hayaondoi uhiari wa watu kuchagua mema au mabaya!!
Sisi binadamu we always looking for someone to blame sijui ni kwanini! Always utatafuta tu wa kumungushia jqmbo lililokushinda..
Kama kila kitu kitahitaji chanzo, Hata hicho chanzo cha kila kitu hakiwezi ku exist chenyewe tu bila chanzo zake.Mi sitaki kuamini watu wanaexist bila chanzo wakati tunaaminishwa kila kitu kina chanzo!
Ulimuona wapi?Mm nimemuona
Nimuomba akajibuUlimuona wapi?
Thibitisha.
Usilete illusions zako tu.
Mungu aliumba watu and sio robots! Kuwepo na free will ni kuruhusu watu kuchagua mema na mabaya!Kama huyo Mungu yupo na yeye ni mjuzi wa vyote tangu mwanzo na hata milele, kwa nini aliruhusu maovu yawepo Duniani?
Huyo Mungu kama yeye ndio anaruhusu mambo βyote yatokee, Sasa alishindwaje kuruhusu mambo mema tu, na kudhibiti mambo mabaya?
Kama huyo Mungu alitupa free will ya kuchagua kufanya chochote, Sasa kwa nini hapendi tufanye maovu kwa kutumia free will hiyo hiyo aliyotupa?
Kama huyo Mungu hapendi tufanye mabaya, Kwa nini aliweka free will ya kuweza kufanya mabaya?
Kama huyo Mungu anataka na anapenda tufanye mema tu, Sasa alishindwaje kutufanya tuwe tunatenda mema tu?
Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?
Kama si Mungu kaanzisha vurugu, Basi binadamu tupo responsible kwa matendo yetu wenyewe na Mungu huyo HAYUPO.
Ndio maana nakwambia Binadamu tupo responsible kwa matendo yetu wenyewe. Mema na mabaya.
Hakuna Mungu wala Shetani.
Duh malipo hapa hapaMm tangu zamani maswala ya kumwachia Mungu sinaga ...eti namwachia Mungu no ...nooo yaaan mm tu nisamehe ama nipotezee ila anaye kuchoma mchome ..eye to eye ...yaaan lazima nikulipe tu.Mungu ana mambo nengi hata ya mm kuyasimamia nimwachie Mungu hapana .
Sawa basi kwahiyo sisi tunaishi ili iweje? Kwanini tusingeexist tu! Kuna watu wanaishi maisha mazuri wengine ata mlo mmoja shida wanalala nje nao wanaishi kufanya nn?Kama kila kitu kitahitaji chanzo, Hata hicho chanzo cha kila kitu hakiwezi ku exist chenyewe tu bila chanzo zake.
Kama kila kitu kitahitaji chanzo, Hata chanzo cha kila kitu kitahitaji kuwa na chanzo chake kingine.
Hivyo kutakuwa na msururu mrefu wa vyanzo vingi visivyokuwa na mwisho.
pasiwepo chochote kile, kilicho exist chenyewe tu, pasipo chanzo.
Hii nayo ni swali lingineWauaji wataenda mbele za Mungu na kuomba msamaha na Mungu atawasamehe maana kasema ijapokuwa dhambi zenu nyekundu mimi nitazing'arisha kama ziwe nyeupe kama sufii
Na yatima na wajane na wakiwa wataenda muomba Mungu awaadhibu wale waliofanya mauaji ndani ya familia yao
Hapo inakuwaje sasa
Kiranga Malaria 2
Majibu halinaHii nayo ni swali lingine
Sasa mbona huyo Mungu anataka watu watende mema tu, wakati anajua kuna free will ya kutenda mabaya?Mungu aliumba watu and sio robots! Kuwepo na free will ni kuruhusu watu kuchagua mema na mabaya!
Kwa hiyo huyo Mungu alidhamiria kabisa mabaya yawepo ili yafanyike?Kuumba watu na kutaka wafanye moja tu ni kama kuwalazimisha!
Kama Mungu ndiye muumbaji wa kila kitu na kila alichoumba kilikuwa chema, Sasa haya maovu yaliletwa na nani?Kama hatuwezi kutenda mabaya ila mema tu tungeitwa robots! Mungu hakuumba maovu soma kuhusu Adam na hawa,
Kama Mungu hachunguziki kwa akili za kibinadamu, Wewe ulitumia akili gani isiyo ya kibinadamu kumchunguza ukajua yupo?Mungu hachunguziki! Kwa akili za kibinadamu huwezi ukamuelewa!
Huyo Mungu akiaminiwa yupo, anafaidika nini?Tusijihesabie sana haki na kujitweza kujiona tunaakili kuzidi kila kitu! Tujifunze kujishusha sisi bado sana, sijui kipi kinatupa kiburi! Hata katika jamiinzetu kuna mambo mabaya tu ukifanya lqizmq uadhibiwe, ata ile inner self inakuhukumu ukitaka kufanya jambo baya! Tumefundishwa upendo, amani n.k lakini bqdo tunataka kucriticise tu! Ndio kazi yetu.. hatuna jema!!
Upo uhuru wa kuchagua kile unachokiamini
Ulimuomba nini?Nimuomba akajibu
Kwanza tunazaliwa bila kuamua.Sawa basi kwahiyo sisi tunaishi ili iweje? Kwanini tusingeexist tu!
Kuishi maisha mazuri au mabaya ni matokeo na maamuzi ya mtu mwenyewe.Kuna watu wanaishi maisha mazuri wengine ata mlo mmoja shida wanalala nje nao wanaishi kufanya nn?
To live.Whats the purpose of this life?
Kumbe hawajui wanamtumikia shetaniWatawala huamini kuua ni wajibu wao mojawapo kutoka kwa mungu
Kwa hiyo wakiomba toba watarudisha roho za watu walizochukua mkuu.Labda kama nawe uliuawa. Yaani muuaji kauawa
Nimejiuliza nimekosa majibu broo kwani nimekosea kuuliza? πMtoto msenge sana weweππ...kwamba hapo yatasikisikilizwa maombi ya nani!!!??....yani chui anasema "tupe mkate wetu wa kila siku"...huku swala anasema "tuokoe na yule mwovu".ππ