Waubani Linyama, dereva wa basi ambaye picha yake ina-trend mtandaoni kwa sasa

Unafikiri gari za kichina haziwezi kupanda huo mlima zikiwa 80km/h ?

Na kwanini zisiweze?
 
Hakuna dereva anaiweza BENZI.
Hakuna dereva anaeiwezs SAULI.

New Force, Golden Deer, Nganga, Majinja, Imani, Happy Nation, AL Saeed na wengine woteee WANASANDA MBELE BENZI.

Tukutane Mbeya Carnival..!!!

#YNWA
Nani kavunja geti la uyole leo Kati ya mchina na msweeden
 
Miaka zaidi ya mitano wengine tunaishi hapa mjini ujue
Shekilango pale karibu na taa ukitokea Soko la kuku kuelekea Ubungo business Park,hapo kwenye kona Newforce/Deer ameanza kuweka gari pale baada ya Sauli kuja kwenye ligi,na ndio maana kaacha gari nyingine zoote ndani enzi za ubungo.


Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 

Mkuu nimefanyia UBUNGO PLAZA FOR 7 YEARS

Tukiachia hapo mi mzaliwa wa UBUNGO MAZIWA hii yote ni mitaa acha ugeni mtoto wa mjini
 
Mkuu tunaongelea uhalisia ghafla umeingiza mambo ya simulation!

Nilifikiri ungekuja na sababu kwanini zhongtong isipande huo mlima ikiwa 80km/h..
Kiuwezo wa kimahesabu yaani kuangalia uwezo wake wa engine na uzito anauobeba kimahesabu inakubali kabisa kupanda na 80km/hr.
Kwenye uhalisia haiwezi ikashindana na benz au scania kwa power (uwezo) wa kuinuka na zote mlimani hapo ndipo Sauli anapowaacha zaidi,ukija kukaa sawa mwenzio ameshafika mbali kutokana na uwezo wake wa kuinuka mlimani.
Kila gari ina sifa zake kwa maeneo yake,achana na scania mlimani labda umvizie sehemu za tambarale hapo kamtafutu tu na hiyo michana sehemu hizo za tambarale nayo iache iende mkuu,inamwagika sio kitoto na ndio maana Kureed/Hunters ya Mwanza japo ni gari lenye uwezo mkubwa au Phonex DVD wote hao wanageuka/wanaagukia kwenye kundi la mizaha kwa njia ya Mwanza,Kureed kuwamwaga watu Nyegezi saa tisa za usiku kawaida sana kwake wakati Ally's anawaleta chini ya saa sita usiku tena hadi saa 4 akivurugwaga vizuri sababu njia ya kati sehemu kubwa ni tambarale,pale michina ina shine mkuu kwakuwa hawana miinuko mingi inayowafanya washindwe kuchanganya haraka.
Kureee hiyo hiyo ingeenda Mbeya ingekuwa kwenye topthree za juu kila siku.
Hiko ndicho kilicho kwenye Sauli

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
And on top of that,Rungwe na zile DNN zake anao uwezo mkubwa sana wa kwenda ligi sawa na huyo Sauli,sema nafikiri madereva wake ndio sio wachangamfu ukimtoa yule aliyeenda kolikoli nae ile siku pamoja na HappyNation,DMG,mwisho alikaa Talent (Kinyooooooooooooooooooooonge) wenzie wanakula tuta yeye akaweka mguu kati.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu nimefanyia UBUNGO PLAZA FOR 7 YEARS

Tukiachia hapo mi mzaliwa wa UBUNGO MAZIWA hii yote ni mitaa acha ugeni mtoto wa mjini
Sawa jirani,service zangu nafanyia hapo kwenye garage ya N'shomile opposite kabisa na Ofisi za Rungwe express,karibu na huo uzio wa Tanesco hapo

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Swali la ufahamu toka Dar hadi Kitonga kuna milima ningapi??

Toka kitonga hadi Igurusi kuna milima mingapi

Toka hapo hadi Tunduma kuna mipando mingapi


Ili Hoja yako iwe VALID
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…