Waubani Linyama, dereva wa basi ambaye picha yake ina-trend mtandaoni kwa sasa

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa unatafuta sababu so unataka [emoji1662][emoji1662][emoji1662][emoji1662][emoji1662] ashuke tuuu

Anachopignia jamaa hii meme ingekuwa davoo wa sauli na sio wa golden deer yuko kishabiki sana
 
Sauli scania Ina piston 5 na valve 20 engine scania .Deer engine ni cummin piston 6 valve 24.Deer nyepesi scania nzito.
Lakini udereva pia unachangie mkuu
Hii kitu ni hatari sana kama kweli huyo jamaa anashindana na Scania huku akiendesha mchina ipo siku atakata watu hamsini kama masihara na wabongo wanavyopenda sifa akiona hizi memes atavimba kichwa aongeze makeke zaidi.

Sent from my Redmi Note 5 using JamiiForums mobile app
 
Anachopignia jamaa hii meme ingekuwa davoo wa sauli na sio wa golden deer yuko kishabiki sana
Wala sijazungumiza madereva kwa kiwango kikubwa hapo mkuu.
Makampuni ya mabasi kwa kiwango kikubwa madereva huwa wanazunguka kwenye mabasi hayo kwa hayo tu mkuu,leo yupo hapa kesho yupo pale.
Hao akina Linyama,Jaja,Sheikh Rama wa Newforce/DEER sio wa kuwafanyia mzaha hata kidogo mkuu,wapo vizuri mno kwenye gia,wala sio wa polepole hata kidogo.
Ni kweli jamaa kala meme za kutosha ila kwa kiwango kikubwa tulikuwa tunajadili kuhusu magari sio madereva.
Huyo Jaja umpe Sauli halafu mwambie Serikali imelala leo mwagika tu mbona utampenda..!!!
Yupo Ima wa DarLux yule aliyewabeba akina Wayne Rooney,sio wa polepole hata kidogo,God wa JMC sio wa polepole hata kidogo,Mwinyi wa Frester,zamani CQX ya kisbo sio wa polepole hata kidogo ni laana hao watu,tena hapo sijawagusa wazee wa ligi ya Arusha-Mwanza akina Asante Rabi,moto wao sio wa polepole!!namba A ila inapeleka mioto ni balaa,kiazi kitamu sijamgusa hapo chini ya usimamizi wa bob dere mkurugenzi Ommy,wanamwagika hao viumbe sio poa mkuu.
Sijamgusa Mwanyilu,saizi yupo Benchi toka enzi za Ilasi mwamba anaingia Dar kweupeeee nadhani shughuli ya Ilasi mnaikumbuka.
Sijawagusia wanangu wa City Boys enzi wanaenda Kahama,wamba wanamwagika ni nuksi sio poa.!!

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Service au management mbovu, maana anatumia body za kuchonga na basi za kichina kafunga injini za Scania. Wenzake wakina Kilimanjaro wanadunda na namba A kwa kuzitunza na kufanya service nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…