Waubani Linyama, dereva wa basi ambaye picha yake ina-trend mtandaoni kwa sasa

Anaitwa Waubani linyama AKA (wali nyani) ni dereva wa mabasi ya kampuni ya NEW FORCE & GOLDEN DEEER route ya Dar mbeya tunduma na kwa sasa anaendesha bus no. T712 DPK pia alishaendesha mabasi ya saibaba kabla ya kuendesha new force & golden deer.

Ukiachana na sifa yake ya kutunza muda kuwafikisha abiria mapema huko kusini pia ni mmoja wa madereva vipaumbele wa kampuni hiyo jamaa yuko vizuri sana ni mtu asie na makuu na ni mtu poa sana nje na ndani ya kazi yake.

Shusha meme nyingine kuhusu mwamba.

 
Kwanini picha yake ina trend namna hiyo?? Ilikuaje hadi wakamtengenezea MeMe???
Anakiwasha sana dar mbeya hua kuna ligi gari gan inafika mapema mbeya na dar amet

Mwanzo mwanyilu ndo alikua anatrend sana ila saivi ndo huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…