Waubani Linyama, dereva wa basi ambaye picha yake ina-trend mtandaoni kwa sasa

Mjomba unajua hio engine ya cummins watu wanaichukulia poa sana ila huyo ni mmarekani halisi hizo engine zipo kwenye magenerator makubwa i.e FGwilson, hata engine za meli zingine ni Cummins Service Kit zake ime Major Service Kit zinafika USD 15,000
Ubora zinao lakini scania inaonekana ni bora zaidi kwa kuonesha ushindani kwa hp yake ya 310 dhidi ya 360 ya cummins na 375 ya weichai ya kichina jaribu kufanya kinyume chake yaani scania iwe na 360hp.
 
Waubani Ali, mtoto wa mzee Chochea, wakazi wa barabara mbili - Iringa mjini. Toka primary mwili huohuo.. anaupiga mwingi sana barabarani, acha aendelee kutupa burudani twitani.. T712DPK anaiheshimisha sana
 
Na hapo ubora wa scania unaonekana maana climber(cummins)kazidi piston,valve na horsepower lakini bado scania anachuana kwa karibu na zhongtong.
Tena sana maana mara zote wanafika muda mmoja...Hizo Scania sema zinabanwa na Vidhibiti mwendo tu...ila hizo Cummins hazifui dafu hapo japo hp ni 310 ya kwa hizo Gemilang.

Scania engine inawahi ku attain maximum power compared to Cummins engine ambayo mpaka ifike 360 ni rpm ya juu sana.

Scania 93 280, au 94 230, 260, 310 hizi zote zinaweza kumkalisha mchina na hp 360 zake.

Au umpe bus yenye 113 320, 114 340, F330...mchina hagusi hapo.
 
Anaitwa Waubani linyama AKA (wali nyani) ni dereva wa mabasi ya kampuni ya NEW FORCE & GOLDEN DEEER route ya Dar mbeya tunduma na kwa sasa anaendesha bus no. T712 DPK pia alishaendesha mabasi ya saibaba kabla ya kuendesha new force & golden deer...
Naona unampigia promo kama yote. Siku akija kumwaga watu na huo ushindani wenu wa eti kufika mapema ndio mtajua mnajua kumbe hamjui
 
Tena sana maana mara zote wanafika muda mmoja...Hizo Scania sema zinabanwa na Vidhibiti mwendo tu...ila hizo Cummins hazifui dafu hapo japo hp ni 310 ya kwa hizo Gemilang.

Scania engine inawahi ku attain maximum power compared to Cummins engine ambayo mpaka ifike 360 ni rpm ya juu sana.

Scania 93 280, au 94 230, 260, 310 hizi zote zinaweza kumkalisha mchina na hp 360 zake.

Au umpe bus yenye 113 320, 114 340, F330...mchina hagusi hapo.
Hawa ligi zao mwisho wanatofautiana maximum dk20 tu tena ukute mmoja alikuwa na abiria wakushukia njiani na ana mizigo kwenye buti.
 
Mjomba unajua hio engine ya cummins watu wanaichukulia poa sana ila huyo ni mmarekani halisi hizo engine zipo kwenye magenerator makubwa i.e FGwilson, hata engine za meli zingine ni Cummins Service Kit zake ime Major Service Kit zinafika USD 15,000
Kuna Cummins ya marekani alafu kuna dongfeng Cummins ya china hii ndio utopolo pasua kichwa warant 1 year tuu ikimaliza mwaka ni mateso bila chuki [emoji23][emoji23][emoji23]

Cummins og ya mmarekani warrant ni 5 years mkuu.
 
Saulo weka mbali na wengine...alibahatidha labda siku hiyo...sauli wako fasta kila kitu, mwendo, umakini na hawapotezi muda...
Ndio basi langu hili.
Mbona mara kibao hapa kibaha [emoji1662][emoji1662][emoji1662] anatangulia kupita wakiwa wanakuja Dar
 
Tena sana maana mara zote wanafika muda mmoja...Hizo Scania sema zinabanwa na Vidhibiti mwendo tu...ila hizo Cummins hazifui dafu hapo japo hp ni 310 ya kwa hizo Gemilang.

Scania engine inawahi ku attain maximum power compared to Cummins engine ambayo mpaka ifike 360 ni rpm ya juu sana.

Scania 93 280, au 94 230, 260, 310 hizi zote zinaweza kumkalisha mchina na hp 360 zake.

Au umpe bus yenye 113 320, 114 340, F330...mchina hagusi hapo.
Tofauti hapo ni kitu kinachoitwa Body to power ratio,

yaani horsepower moja inatumika kusukuma uzito kiasi gani?
 
Kuna Cummins ya marekani alafu kuna dongfeng Cummins ya china hii ndio utopolo pasua kichwa warant 1 year tuu ikimaliza mwaka ni mateso bila chuki [emoji23][emoji23][emoji23]

Cummins og ya mmarekani warrant ni 5 years mkuu.
Mkuu Ni Dongfeng Ndo Kaomba Kutengeneza Cummins na Ni Viwango vilevile Vya Us. Ni ushirikiano wa Kibiashara
 
Back
Top Bottom