Waubani Linyama, dereva wa basi ambaye picha yake ina-trend mtandaoni kwa sasa

Waubani Linyama, dereva wa basi ambaye picha yake ina-trend mtandaoni kwa sasa

Kuna Cummins ya marekani alafu kuna dongfeng Cummins ya china hii ndio utopolo pasua kichwa warant 1 year tuu ikimaliza mwaka ni mateso bila chuki [emoji23][emoji23][emoji23]

Cummins og ya mmarekani warrant ni 5 years mkuu.
Sasa mkuu mimi naongelea cummins hayo ya dongfeng umeyasema wewe kwaio unategemea major service kit ya dongfeng itafika $15,000?
 
Unaikimbizaje gari na boda boda mbali hivyo!? Mi niliikimbiza toka ubungo hadi Kimara Korogwe [emoji23] af mvua ilikuwa inanyesha balaa nikampa 10 jamaa nimeingia nimeloa chapa chapa
Kwenye gari niliacha vitu vyangu vya thaman, afu kwenye boots za ndani ya gari mweeeeeh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwaiyo sehemu ya kufika saa kumi na mbili ulitaka afike saa nne? Unaota ww?? [emoji16]
KUFIKKA mda ulopangwa na mamlaka haina kushindana. Mamlaka haziwez weka mda usiofikika mpk uongeze spidi kitonga.
Ukiona mtu anashindana ujue anataka a arrive well before mda ulopangwa which is unsafe
 
Ile siku nilimuambia driver Leo tunaikimbiza gari hadi tuikute, hata km ni dar tutafka tyuuh, na naul ntakupa ya gari kutoka songea had dar,

Halafu akawq anajifanya kuendesha pole pole, nilimchapa kofi la mgongoni. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akaubutua mwendo wenyewe sasa.
Hahhahaha boda boda kuikimbiz Youtong ilikuwa mziki mnene
 
Huyu jamaa ndio mwamba wa GOLDEN DEER[emoji1662][emoji1662][emoji1662]T712DPK anayezisumbua SCANIA za SAULI[emoji1631][emoji1631] za DAR -MBEYA - TUNDUMA

Ametrend sana wiki hii akiwa na memes mbali mbali

View attachment 1851880View attachment 1851881View attachment 1851884View attachment 1851882View attachment 1851883View attachment 1851885View attachment 1851886View attachment 1851887View attachment 1851888View attachment 1851889


Dereva ana kitambi!!!🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ila wee bhana, nilienda maliwato nilikua naharisha siku hiyo sasa daaaah, kisanga kikanikuta mweeeeh.
Pole sana mkuu ndio changamoto za usafiri hizo, yaani inamaana lilipita hadi mizani ya Nyololo??
 
Back
Top Bottom