EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
- #161
Acha dharau mbona wengi tu aiseeDereva ana kitambi!!!🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha dharau mbona wengi tu aiseeDereva ana kitambi!!!🤣
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kweli ulimaanisha au alitaka uachwe akuhifadhi 😎 😎Halafu akawq anajifanya kuendesha pole pole, nilimchapa kofi la mgongoni.![]()
![]()
![]()
![]()
Akaubutua mwendo wenyewe sasa.
Yaan ile siku nilikua nawaza vitu vikipotea gharama yake ni parefu kidogo aseeeh.Hahhahaha boda boda kuikimbiz Youtong ilikuwa mziki mnene
Amuhifadhi nan thubutuuuh yake, [emoji23][emoji23][emoji23]hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kweli ulimaanisha au alitaka uachwe akuhifadhi 😎 😎
Ndyo tulipita si unaijua Golden Deer, semaa me nilichelewa km dk 10 mbele ya mda sahihi, ilikua kasheshe. [emoji23][emoji23][emoji23]Pole sana mkuu ndio changamoto za usafiri hizo, yaani inamaana lilipita hadi mizani ya Nyololo??
🙂 🙂 🙂 🙂 hata mimi sijuiAmuhifadhi nan thubutuuuh yake, [emoji23][emoji23][emoji23]
walienda mdogomdogo kukusikilizia mwendo wa DK10 kwa basi humpati na boda ya kichina waka boxer watakuwa waliona EMPTY SEATNdyo tulipita si unaijua Golden Deer, semaa me nilichelewa km dk 10 mbele ya mda sahihi, ilikua kasheshe. [emoji23][emoji23][emoji23]
Vyeti hivyo bila shaka sasa we ulishukaje bila begi kubwa hilo!😂😂😂Yaan ile siku nilikua nawaza vitu vikipotea gharama yake ni parefu kidogo aseeeh.
Huo ni uzembe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sitasahau niliwahi ikimbiza gari na boda kutoka mafinga had karibiaa na ipogoro daaah.
Kuna moja wameandika"Ndugu abiria tupo kitonga,breki zimefeli..salamu Maria umejaa neema"[emoji23][emoji119].Huyu jamaa ndio mwamba wa GOLDEN DEER[emoji1662][emoji1662][emoji1662]T712DPK anayezisumbua SCANIA za SAULI[emoji1631][emoji1631] za DAR -MBEYA - TUNDUMA
Ametrend sana wiki hii akiwa na memes mbali mbali
View attachment 1851887View attachment 1851888View attachment 1851889
Arusha-MpandaZinaenda wapi mkuu??
Aje route hii apambane na wanyama wakaliArusha-Mpanda
Arusha-Kigoma
Moshi-Tabor(ingawa hizi sio sana)
Vyeti vyote, cm angu ndogo, PC, na fedha taslimu laki 8. Wee nlivurugwa mie acha tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23]Vyeti hivyo bila shaka sasa we ulishukaje bila begi kubwa hilo![emoji23][emoji23][emoji23]
Zote zilikuwepo naona wamezipunguza nitazipandisha baadaeKuna moja wameandika"Ndugu abiria tupo kitonga,breki zimefeli..salamu Maria umejaa neema"[emoji23][emoji119].
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile siku nilibanwa na haja cc, [emoji23][emoji23][emoji23]Huo ni uzembe.
Mimi nikishuka hotelini,huwa nanunua chakula fasta napanda kwenye gari .
Sitaki kero za kuja kuanza kufukuzana na gari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijua tu kudadEk maana konda angepiga hela sikuhio 😂😂😂 bora ulivyojiwahi nauli ya watu 20 kabisa hio level seatVyeti vyote, cm angu ndogo, PC, na fedha taslimu laki 8. Wee nlivurugwa mie acha tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23]
Nilicheka sana.Zote zilikuwepo naona wamezipunguza nitazipandisha baadae
Eti walijua mie ndo nimeshuka pale jumla, [emoji23][emoji23][emoji23]walienda mdogomdogo kukusikilizia mwendo wa DK10 kwa basi humpati na boda ya kichina waka boxer watakuwa waliona EMPTY SEAT
Huu ujinga upo huko mitandaoni mi siishi Mbeya mkuu
Ulienda toi ukahisi upo kwenu 😂😂😂Ile siku nilibanwa na haja cc, [emoji23][emoji23][emoji23]
Mie huwa sishuki hotelin kwa ajiri ya kula, natapika sana tena mno.