Waubani Linyama, dereva wa basi ambaye picha yake ina-trend mtandaoni kwa sasa

Waubani Linyama, dereva wa basi ambaye picha yake ina-trend mtandaoni kwa sasa

Hakuna basi ya Newforce/Golden Deer yenye uwezo wa kumfukuza Sauli hata siku moja.
Niwarudishe nyuma kidogo,enzi stendi ya mabasi ipo pale Ubungo,Newforce/Deer aliamua kukimbilia Shekilango kwa basi za Mbeya/Tunduma tu na kwa safari za Songea alibakia palepale terminal Ubungo,lengo kubwa kimkakati ilikuwa ni kumkimbia Sauli, Newforce/Deer akaamua kuanzia ligi pale nje ambapo hakuna foleni kubwa ya kutoa mabasi asubuhi,na bado alikuwa anapelekewa moto japo anaanzia nje.
Mchina pumzi fupi,hawezi ligi,na mara nyingi sana hao Newforce/Deer ili akae kwenye mkeka wa Nsalaga huwa hashushi abiria pale Chimala,mashine inapita kama ya wizi wakati Sauli anashusha na bado atapelekewa moto kolikoli hadi kufika pale Nsalaga/Uyole ambapo mikeka ya Mbeya inachukuliwa.
Sheikh Rama wa DPK,au Linyama wa DPK pia zamani DJQ,wanaelewa kabisa moto wa Sauli na kama kumla wanavizia sehemu za kushusha abiria,wapo tayari wakukodie bodaboda ikurudishe ili tu akae juu kwenye mkeka.
Mchina akipata chuma ya maana ulimi lazima uende nje,mnakumbuka BOMBASTIC ya Kisbo chini ya usimamizi wa Bob dere Bubu (baadaye akahamia kwenye CONFIDENTIAL CQX)ya Kahama ilivyomsumbua Newforce/Deer safari za Mbeya?
Shortly ni kuwa anayemuweza Sauli ni KLM,au Rungwe na zile Gemilang zake japo nayeye ameshaziuza nyingine kwa Sauli.
Kuna mwamba yupo benchi sasahivi,anaitwa Mwanyilu,huyu hadi kamanda Muslimu anamfahamu kwa kupeleka mioto.
Sauli inauwezo wa kupanda kitonga huku inapiga alarm ya overspeed,sio hatari tu bali ni zaidi ya hatari wakuu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hapo "Wamba" tunasubiri kusoma mkeka,
Uyole-Mbeya
20210603_112214.jpg
20210626_122634.jpg

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nilkua nawaza vyeti, PC, na fedha unadhan mchezo, ooooh, nkikumbuka PC angu ilitoka 1.2Mil tena nliagiza nje wee, acha nivurugweeeh mie
Boda alikula makofi ya mgongo kama farasi au punda!
 
Dar-Songea mbali japo tofauti yake ni ndogo tu.
Nadhani hazifiki kilometa 70 zilizozidi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kwa kweli songea mbali jaman, yaan nikiwazaga safari ya home had kichwa kinauma, unakaa kwa seat had makalio yanaomba poooh. [emoji23][emoji23][emoji23]
Plus kutapika nafika final destination sina hali, na homa juu ya siku 2 kwani. Aaaaah.
 
Utaenda Bukoba sasa wewe?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom