Waubani Linyama, dereva wa basi ambaye picha yake ina-trend mtandaoni kwa sasa

Waubani Linyama, dereva wa basi ambaye picha yake ina-trend mtandaoni kwa sasa

[emoji848]
Wekeni km tuone..
Inawezekana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dar Songea Jumlisha hizi hapa chini
Dar,Ipogolo 498
Ipogolo,Songea,492

Dar,Tunduma.
Dar,Ipogole 498
Ipogolo Mbeya (sina fugure exactly)ila pale Mpakani,Kuna kibao pale nafikiri kama 379km hivi,all in All hadi Mbeya ni kama 800km,ongeza na 103 Km kutoka Mbeya (uyole) hadi TDM

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah. Wengi wao wanakua vijana na boda boda.
Huwezi amini,kuna watu wa kila aina,wapo askari,walimu,madokta,bodaboda uliowasema na kila aina ya watu wenye kupenda mabasi.
Yupo mmoja alikuwa anafanya kazi Hospitali pale Iringa mjini,ikifika mida ya mabasi anaenda Ipogolo kupiga picha na kwasasa alipewa tender ya kuitangaza basi mpya ya Kureed/Hunters ya Dar_Mwanza,alilipwa mkwanja mrefu sana kuliko hata hela ambayo angeweza kuikopa kwa kazi yake

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Siku hizi hakuna basi zinazotembea...

Mabasi ya huko kusini yalikuwa yanatembea enzi za kina Kiswele, Kwacha, Matema, Hood...Kiswele huyu ashawahi fika Dar saa saba mchana toka Mbeya/Kyela (enzi hizo stendi zipo town)

Kidogo na juzi juzi hapa walipokuja kina Happy Nations, Nganga na wale Majinjah, sijui hali zao siku hizi zipoje...mara ya mwisho Happy Nation kuipanda ile ya Tunduma-Dar ilifika Dar saa tisa kasoro hivi alasiri
 
Achana na hizo enzi mkuu. Dar Singida unafika saa8 na dom - singida hamna lami
 
Hizo ni meme tu. dereva kaongelewa kwa urefu ndani ya uzi huu

Umeunganishwa tayari
 
Waubani Ali, mtoto wa mzee Chochea, wakazi wa barabara mbili - Iringa mjini. Toka primary mwili huohuo.. anaupiga mwingi sana barabarani, acha aendelee kutupa burudani twitani.. T712DPK anaiheshimisha sana
Saaaana aisee
 
FROM M.B.T TO SHZ TANZANIA
Location UYOLE MBEYA

JULY REPORTS
2021

1.DTF 🏍️🏍️👉🏼. 1841
2.DPN 🏍️🏍️👉🏼. 1835
3.DPK 🦌🦌👉🏼. 1831
4.DWL 🏍️🏍️👉🏼. 1836
5.DPK 🦌🦌 👉🏼. 1830
6.DPN🏍️🏍️👉🏼. 1811
7.DMG🦌🦌👉🏼. 1813
8.DPK 🦌🦌👉🏼. 1809
9.DPK 🦌🦌👉🏼. 1809
10.DWF🏍️🏍️👉🏼. 1815
11.DWL🏍️🏍️👉🏼. 1815
12.DPK🦌🦌👉🏼. 1806
13.DJQ🇰🇭🇰🇭👉🏼. 1803 NSALAGA
14.
15.
16.
17.
18.
19.
20.
21.
22.
23.
24.
25.
26.
27.
28.
29.
30.
 
Siku hizi hakuna basi zinazotembea...

Mabasi ya huko kusini yalikuwa yanatembea enzi za kina Kiswele, Kwacha, Matema, Hood...Kiswele huyu ashawahi fika Dar saa saba mchana toka Mbeya/Kyela (enzi hizo stendi zipo town)

Kidogo na juzi juzi hapa walipokuja kina Happy Nations, Nganga na wale Majinjah, sijui hali zao siku hizi zipoje...mara ya mwisho Happy Nation kuipanda ile ya Tunduma-Dar ilifika Dar saa tisa kasoro hivi alasiri
Hakika mkuu umenikumbusha mbali sana,kiswele ilikua moto chini yale mabasi,Lukumburu pass ilikua kama wanapita kona za Iyovi...Kwacha mmm walikua na basi yao moja CD (Navolonge Swela)hii Leyland CD ilikua kiboko ya Scania,kipindi tumefunga chuo pale Mkwawa CNE tunapelekwa home na hii bus ilikua raha tupu,Navalonge Swela inaanza kushusha kuanzia pale makao makuu ya ccm mkoani sisi huku Makanyagio ni mziki mtupu kutoka kwenye engine ya CD hii,yeah nhe nimeishi maisha to the best..
 
Back
Top Bottom