Mkalimani wa taifa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 753
- 1,290
πππππππ bongo nyoso
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu driver km namfahamu.Hawa watoto hawamsumbui huyo mwambaView attachment 1851894
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sitasahau niliwahi ikimbiza gari na boda kutoka mafinga had karibiaa na ipogoro daaah.Bodaboda nadhani ushaijua[emoji1322][emoji1322]View attachment 1852588
Yawezekana kama ni msfiri wa mara kwa mara mwa Dar MbeyaHuyu driver km namfahamu.
walikutoa shingapi mbona safari ilikuwa ndefu saaana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sitasahau niliwahi ikimbiza gari na boda kutoka mafinga had karibiaa na ipogoro daaah.
Kwa Tanzania ilivyo utashangaa jamaa ni balozi wa kampuni ya ZhongTong mda sio mrefu πππ[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38]
Kabisa media zikikupamba unaonekana fasterKwa Tanzania ilivyo utashangaa jamaa ni balozi wa kampuni ya ZhongTong mda sio mrefu πππ
25 ilinitoka, sitasahau kabisaaa yaanwalikutoa shingapi mbona safari ilikuwa ndefu saaana
Unashangaa kaitwa kusaini mkatabaKabisa media zikikupamba unaonekana faster
Wala hata sisafiri route hiyo, ila huyu km ni yeye bas namfaham nje ya huko.Yawezekana kama ni msfiri wa mara kwa mara mwa Dar Mbeya
Ni kweli ila Rosa kwa 1HD-FTE ni mchumba tu πππPiston sio hoja labda naweza kukuelewa kwenye utofauti wa horsepower,rosa 4m inatembea kuliko coaster six 1hz.
Scania lazma atakuwa kamzidi Torque sababu njia za milima zinategemea sana Torque! Ina maana milimani Cummins akisinzia Scania anatembea anaweza akamkata chap!Na hapo ubora wa scania unaonekana maana climber(cummins)kazidi piston,valve na horsepower lakini bado scania anachuana kwa karibu na zhongtong.
Heheheheh kwahio Scania hawezi milima?Mkeka wa leo jion nani anafungua geti la Tunduma Kati ya Deer cummins mchina na Sauli scania gemilang euro 3.
Ujanja wa Deer ni milimani.
View attachment 1852455
View attachment 1852458
View attachment 1852459
Unaikimbizaje gari na boda boda mbali hivyo!? Mi niliikimbiza toka ubungo hadi Kimara Korogwe π af mvua ilikuwa inanyesha balaa nikampa 10 jamaa nimeingia nimeloa chapa chapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sitasahau niliwahi ikimbiza gari na boda kutoka mafinga had karibiaa na ipogoro daaah.
Scania tambarare,mchina asogeiHeheheheh kwahio Scania hawezi milima?