Waumini wa Kanisa Katoliki ni wavumilivu sana

Waislamu siwezi kuwasemea lakini Wakristo wengine wanawashutumu Wakatoliki kwa sababu wanafundisha mambo ambayo ni unbiblical na mambo ambayo yalirithiwa kutoka katika desturi za Dini za Kipagani za Kirumi na Kiyunani
Hivi nyie hamnazo kweli, biblia yenyewe ilikuwa organized kama comprehensive book na maaskofu wa kikatoluki akina st. Thomas of Acquinas na St. Augustino sasa ninyi ndio mnaijua zaidi baada ya kuichakachua na kuondoa vitabu vya deotrocanon5
 
Hujui kuabudu wewe.
Kanisa katoliki halimuabudu bikira Maria bali linamuheshimu.

Hayo ndo mafundisho ya kanisa. Hayo mengine ni mawazo yako wala hakun mahali kanisa linafundisha kumuabudu bikira Maria.
Kuabudu ni kupi mkuu, naomba kujifunza. Maana yawezekana kweli sijui
 
Uvumilivu ni sifa ya KiMungu.
Mungu ana Kanuni zake alizozirithisha Kwa Kanisa Katoliki.
Hata wachawi ni wavumilivu. Kuabudu sanamu na kutokubali ukweli kuwa ukatoliki upo kinyume na Biblia ndio mnaita uvumilivu. Mi najua wakatoliki sio wavumilivu ila ni wajinga tu.
 
Ufunuo 8:3-5
 
Bikira Maria aliebarikiwa alisha kufa lakini sasa. Tazama mstari wa mwisho katika kifungu hiki cha Biblia sjui ndugu yangu hapo wewe una mtazamo gani. Tunahitaji kujifunza ndugu yangu

Deuteronomy 18:10-11
[10]
Asionekane kwako mtu ampitishaye mwanawe au binti yake kati ya moto, wala asionekane mtu atazamaye bao, wala mtu atazamaye nyakati mbaya, wala mwenye kubashiri, wala msihiri,
[11]
wala mtu alogaye kwa kupiga mafundo, wala mtu apandishaye pepo, wala mchawi, wala mtu awaombaye wafu.
 
Ufunuo 8:3-5
Revelation 8:3-5
[3]
Na malaika mwingine akaja akasimama mbele ya madhabahu, mwenye chetezo cha dhahabu, akapewa uvumba mwingi, ili autie pamoja na maombi ya watakatifu wote juu ya madhabahu ya dhahabu, iliyo mbele ya kiti cha enzi.

[4]
Na moshi wa ule uvumba ukapanda mbele za Mungu pamoja na maombi ya watakatifu, kutoka mkononi mwa malaika.

[5]
Na huyo malaika akakitwaa kile chetezo, akakijaza moto wa madhabahu, akautupa juu ya nchi, kukawa radi na sauti na umeme na tetemeko la nchi.

Unataka kusemaje hapo mkuu, kuna uhalali gani wa watakatifu waliotwaliwa kutuombea. Maana hayo maombi yazungumziwayo hapo ni ya watakatifu waliyoomba wakiwa hai duniani ndo Malaika anayatia katika chetezo. Au vp mkuu
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Walikuwa wako hai si ndiyo Uf 6:9-11
 
Ila waumini wa free church yamasanja mna mbwembwe sana
 
Kama wafu hawajui lolote mbona Yesu aliongea na Musa mlimani ambaye alikwisha kufa
 
1pet 4:6
 
Naukitaka kumuona mungu kwaharaka nenda kwazumaridi sie kwetu dini nizaidi yamiujiza ambayo ndio chambo yamanabii wauongo kuwateka mana wanajua mnapenda miujiza
 
Huyu mama mnajaribu tu kumshusha ila anadaraja lajuu sana, tunamwomba yeye kama daraja atuombee kwamwanae ukumbuke hata kula kana kwenye harusi walipoishiwa divai hawakumfata yesu mojakwamoja bali walimfata maria awaombee kwamwanae
 
Ila wasabato bhana yan mafunzo yayule mama Ellen white yamewapofusha kabisa.... Rc imepigwa mawe namadhehebu yote ila haitikisik
 
Kama wafu hawajui lolote mbona Yesu aliongea na Musa mlimani ambaye alikwisha kufa
Sijasema mimi bali ni maandiko. Mantiki yetu ni je, wafu wanaweza kutuombea? Na je ni halali kuwaomba wafu watuombee?
Mimi nimeshakupa andiko hapo likisema kuwaomba wafu ni makosa.
Ikiwezekana mkuu tuwekee andiko linalosema ni halali au linaelekeza tuwaombe waliolala/wafu watuombee kama kanisa Katoliki lifanyavyo, tunahitaji kujifunza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…