Nyamagondo
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 648
- 765
Umeweka tuu aya ya Biblia mkuu, sjaona ufafanuzi. Ikikupendeza mkuuNimekujibu kulingana na hoja zako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeweka tuu aya ya Biblia mkuu, sjaona ufafanuzi. Ikikupendeza mkuuNimekujibu kulingana na hoja zako
Amwaminiye yeye hatakufa bali ataishi mileleSijasema mimi bali ni maandiko. Mantiki yetu ni je, wafu wanaweza kutuombea? Na je ni halali kuwaomba wafu watuombee?
Mimi nimeshakupa andiko hapo likisema kuwaomba wafu ni makosa.
Ikiwezekana mkuu tuwekee andiko linalosema ni halali au linaelekeza tuwaombe waliolala/wafu watuombee kama kanisa Katoliki lifanyavyo, tunahitaji kujifunza
Ni kweli mkuu, Mama Maria ana daraja. Lakini katika kusoma kwangu Biblia hakuna sehemu nimeona ikisema tupitishie maombi kwake. Labda kama una andiko lolote mkuu linalosema tupitishe maombi kwake tuwekee ili tujifunze mkuu, natanguliza shukuraniHuyu mama mnajaribu tu kumshusha ila anadaraja lajuu sana, tunamwomba yeye kama daraja atuombee kwamwanae ukumbuke hata kula kana kwenye harusi walipoishiwa divai hawakumfata yesu mojakwamoja bali walimfata maria awaombee kwamwanae
Asantee!!YESU AKASEMA, "NDIWE PETRO, MWAMBA! NA JUU YA MWAMBA HUU NITAJENGA KANISA LANGU"
NA SISI NDIO WAKATOLIKI WENYEWE NA HII NDIO KANUNI YA IMANI YETU👇👇👇
"Nasadiki kwa Mungu mmoja, Baba mwenyezi, muumba wa mbingu na dunia na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana.
Nasadiki kwa Bwana mmoja Yesu Kristo, Mwana pekee wa Mungu, aliyezaliwa kwa Baba tangu milele yote. Mungu aliyetoka kwa Mungu, mwanga kwa mwanga, Mungu kweli kwa Mungu kweli, aliyezaliwa bila kuumbwa, mwenye umungu mmoja na Baba, ambaye vitu vyote vimeumbwa naye.
Alishuka kutoka mbinguni, kwa ajili yetu sisi wanadamu, na kwa ajili ya wokovu wetu.
Akapata mwili kwa uwezo wa Roho Mtakatifu kwake yeye Bikira Maria, akawa mwanadamu.
Akasulubiwa kwa ajili yetu sisi, akateswa kwa mamlaka ya Ponsyo Pilato; akafa na akazikwa.
Siku ya tatu akafufuka katika wafu, akapaa mbinguni, ameketi kuume kwa Baba.
Atakuja tena kwa utukufu, kuwahukumu wazima na wafu, na ufalme wake hautakuwa na mwisho.
Nasadiki kwa Roho Mtakatifu, Bwana na mleta uzima: atokaye kwa Baba na Mwana. Anayeabudiwa na kutukuzwa, pamoja na Baba na Mwana: aliyenena kwa vinywa vya manabii.
Nasadiki kwa Kanisa moja, takatifu, katoliki, la Mitume.
Naungama ubatizo mmoja kwa maondoleo ya dhambi.
Nangojea na ufufuko wa wafu, na uzima wa milele ijayo. Amina."
MAMA NI MWENYE UPENDO SIKU ZOTE KAMA ILIVYO KWA KANISA KATOLIKI LILILO MAMA WA MAKANISA YOTE, WOOOTE WAMEZALIWA TOKA KWENYE SHINA HILO.
KRISTO TUMAINI LETU, TUMAINI LETU NI KRISTO 🙏
Mt. Bikira maria anatuombea sisi kama watakatifu wengine wanavyotuombeaNi kweli mkuu, Mama Maria ana daraja. Lakini katika kusoma kwangu Biblia hakuna sehemu nimeona ikisema tupitishie maombi kwake. Labda kama una andiko lolote mkuu linalosema tupitishe maombi kwake tuwekee ili tujifunze mkuu, natanguliza shukurani
Hv unawezakunipa andiko lolote linalosema wachungaji wavae neckties?Ni kweli mkuu, Mama Maria ana daraja. Lakini katika kusoma kwangu Biblia hakuna sehemu nimeona ikisema tupitishie maombi kwake. Labda kama una andiko lolote mkuu linalosema tupitishe maombi kwake tuwekee ili tujifunze mkuu, natanguliza shukurani
tena waliunda JESUITS kwa ajili ya kufundisha elimu potofu na kwa makusudi... ili kuingiza mila za kirumi ndani ya kanisa, kuficha ukweli, kupotosha ukweli na kuliteka kanisa la Mungu. Mfano mzuri, wapagani wanamuabudu ISHTAR (ASTHARTE) NA MTOTO (TAMMUZ) ... walipoamrishwa kubadili dini kuwa wakatoliki - waliingiza hii mila kanisani wakibadili majina ya sanamu ya ISHTAR na mtoto kuwa ya Maria na mtoto - na kuendeleza uabudu wao. Hakuna sehemu ambayo biblia inasema Maria aabudiwe. Kwa miaka 300+ baada ya Yahsua (Yesu) kuondoka na kabla katoliki kuundwa, mitume wala waumini hawakuwa na mila hii.Kanisa la Roma limewekeza kwenye
elimu ndo maana wana shule na vyuo vikuu vya kutosha nchi nzima.
Hahaa mkuu, kwani kuna ugumu gani wa kumuomba Yesu direct hadi upige kona nyiingi ambazo syo halali.Amwaminiye yeye hatakufa bali ataishi milele
Wao wamepata nafasi ya kutawala pamoja naye Uf 20:4
Ndio hao ambao wanatuombea ambao Uf 6:9-11
Wewe umeona wapi Bikira Maria anaabudiwatena waliunda JESUITS kwa ajili ya kufundisha elimu potofu na kwa makusudi... ili kuingiza mila za kirumi ndani ya kanisa, kuficha ukweli, kupotosha ukweli na kuliteka kanisa la Mungu. Mfano mzuri, wapagani wanamuabudu ISHTAR (ASTHARTE) NA MTOTO (TAMMUZ) ... walipoamrishwa kubadili dini kuwa wakatoliki - waliingiza hii mila kanisani wakibadili majina ya sanamu ya ISHTAR na mtoto kuwa ya Maria na mtoto - na kuendeleza uabudu wao. Hakuna sehemu ambayo biblia inasema Maria aabudiwe. Kwa miaka 300+ baada ya Yahsua (Yesu) kuondoka na kabla katoliki kuundwa, mitume wala waumini hawakuwa na mila hii.
Chunguza vile ambavo amri 10 zimeandikwa bibliani na vile zimeandikwa na katekisimo... wakristo biblia ni moja - niaje
Mkoloni mwenyewe hapa Tanzania alitumia elimu kupotosha...
Sasa kama nikiwaomba waniombee kuna shida gani maana wao wapo huko wanatawala pamoja na kristoHahaa mkuu, kwani kuna ugumu gani wa kumuomba Yesu direct hadi upige kona nyiingi ambazo syo halali.
Mkuu kwa hiyo unafikiri akina mtakatifu Inyasi muda wao wa kutawala pamoja na Bwana ndo huu uliopo kulingana na hilo andiko? Duu muda bado hadi unyakuo utokee mkuu, waliolala wafufuke na walio hai pamoja kwenda kumlaki Bwana mawinguni ndipo hapo kuna kutawala pamoja na Bwana..Usiogope kupitisha maombi yako direct kwa Jesus. Sasa ukivamiwa na wachawi usiku huu unafanyaje ..unaanza kumuomba mtakatifu mother Theresa akuombee kwa Yesu ili mchawi akuache hahaa badala ya kuliita tuu jina la Yesu.
Asante mkuu nimejifunza kitu kutoka kwako natumaini pia umejifunza kitu kutoka kwangu.
Kwa bahati nzuri upagani wao wameupenyeza mpaka kwenye biblia ambayo wewe unaringa nayotena waliunda JESUITS kwa ajili ya kufundisha elimu potofu na kwa makusudi... ili kuingiza mila za kirumi ndani ya kanisa, kuficha ukweli, kupotosha ukweli na kuliteka kanisa la Mungu. Mfano mzuri, wapagani wanamuabudu ISHTAR (ASTHARTE) NA MTOTO (TAMMUZ) ... walipoamrishwa kubadili dini kuwa wakatoliki - waliingiza hii mila kanisani wakibadili majina ya sanamu ya ISHTAR na mtoto kuwa ya Maria na mtoto - na kuendeleza uabudu wao. Hakuna sehemu ambayo biblia inasema Maria aabudiwe. Kwa miaka 300+ baada ya Yahsua (Yesu) kuondoka na kabla katoliki kuundwa, mitume wala waumini hawakuwa na mila hii.
Chunguza vile ambavo amri 10 zimeandikwa bibliani na vile zimeandikwa na katekisimo... wakristo biblia ni moja - niaje
Mkoloni mwenyewe hapa Tanzania alitumia elimu kupotosha...
Issue ya mavazi ni ndogo kwa muktadha huu, swala ni kwamba wapi katika biblia kuna maelekezo yasemayo Mama Maria huko aliko atuombee. Maelekezo niyajuayo ni kwa Jina la Yesu tuu. Karibu chief tujifunze maana elimu ni bahariHv unawezakunipa andiko lolote linalosema wachungaji wavae neckties? Issue yamama maria nikwamba yeye ndio yuko karib mno yamwane huyo kristo nahata akiwa anakata roho msalaban alimkabidhi huyo mama kwawanafunz wake kinachofanyika kwaukatoliki nikumtumia mama kama mtu wakarib kutuombea kwamwanae ili atunganishe nae mitume wote walikua namama maria kipind wanamsubir roho mtakatifu aje
Panapofuka moshi pana moto - umeshawahi chunguza kwa nini wanasemwa sana? wanasemwa nini?Habari za wakati huu wapendwa
Bila kupoteza wakati naomba niende moja kwa moja kwenye uzi husika
Katika dini zote au madhehebu yote au makanisa yote hakuna kanisa au waumini ambao wanaongoza kupigwa vita na kusemwa vibaya kama wakatoliki.
Ukienda kwenye mikusanyiko ya waislamu wanaopondwa ni wakatoriki ukienda kwenye mikutano ya injili ya walokole wanaopondwa na kusimangwa ni wakatoriki lakini huwezi kusikia wakijibizana na mtu.
Tangu nizaliwe hadi sasa sijawahi kusikia wala kuona wakatoriki wameandaa mkutano wa injili kuponda au kusimanga dini kinzani au dhehebu kinzani.
Isipokuwa wao mafundisho yao kwa watoto wa kimunio ya kwanza na kipaimara yamejikita katika kuufahamu ukatoliki na kuuelewa vizuri ndio maana ukikuta mkatoriki ameiva kabisa kwenye mafundisho huwezi ukamkuta anateteleshwa kwa mambo ya kijinga.
Wakatoriki wengi wao wamepewa mioyo ya uvumilivu ndio maana wanasimangwa sana kuhusu ubaya madhaifu yao lakini bado wapo imara na wameendelea kushikilia imani yao.
Huwezi ukakuta wakatoriki wanashawishi watu wahamie dini yao kwa kuwaambia madhaifu ya dini kinzani huwezi kukuta wakatoriki wapo mtaani wanahubiri au kwenye mabasi kisha kuwaambia watu watoe sadaka huwezi kukuta iyo.
Ushauri wangu kwa dini na madhehebu mengine ni bora katika mafundisho yenu mjikite katika kuwaambia watu mazuri ya dini na madhehebu yenu ili kama mtu akivutiwa na mafundisho yenu awafate bila kuchafua dini za wenzenu.
Maana unaweza ukachafua dini/dhehebu la mwenzio siku na lako likija kuchafuliwa usianze kupaniki na kuanza kuleta maandamano ya kufunga bara bara kwa kusema dini /dhehebu lako limechafuliwa.
Najua yapo mengi sana yanaongelewa huko mtaani kila dhehebu likisema ubaya wa dhehebu kinzani na wote ni mashahidi.
Kama wote lengo letu kufinga mbinguni muache afike kwa njia anayotaka yeye usimpangie njia ya kupita afike mbinguni.
Nilichogundua asilimia kubwa wanaohubiri kwa kuwachafua wenzao anataka wapate waumini tu ili SADAKA ziongezeke hakuna kingine.
walichofanya sio sana kupenyeza uongo bibliani... wamepenyeza elimu inayokufanya ukubaliane na tafsiri zao za biblia. Bado unaweza soma biblia leo ukapata ukweli kuliko alivohubiri mchungaji aliejifunza uchungaji kwao.Kwa bahati nzuri upagani wao wameupenyeza mpaka kwenye biblia ambayo wewe unaringa nayo
Si tumekupa vifungu kadhaa ambavyo vinaonesha kuwa watakatifu wanatuombeaIssue ya mavazi ni ndogo kwa muktadha huu, swala ni kwamba wapi katika biblia kuna maelekezo yasemayo Mama Maria huko aliko atuombee. Maelekezo niyajuayo ni kwa Jina la Yesu tuu. Karibu chief tujifunze maana elimu ni bahari
Zilongwa mbali zitendwa mbali sasa kama wao waliamua kitabu kipi kiwepo kipi kisiwepo sasa wangeshindwa kubadilishawalichofanya sio sana kupenyeza uongo bibliani... wamepenyeza elimu inayokufanya ukubaliane na tafsiri zao za biblia. Bado unaweza soma biblia leo ukapata ukweli kuliko alivohubiri mchungaji aliejifunza uchungaji kwao.
Kumbuka miaka ya mwanzoni kanisa katoliki lilipiga marufuku muumini asie kiongozi kuwa na biblia. walikuwa hawajaunda Jesuits ama kujipanga mbinu za kudanganya umma - na hawakutaka wabishiwe wakihubiri uongo. Hii miaka walipenyeza mengi kwa jina la biblia na dini
Mkuu hujanielewa, muda wa watakatifu kutawala bado mkuu. Badoo mkuu..baaado. Hadi Yesu aje mara ya pili ndo watakatifu watatawala pamoja nae.Sasa kama nikiwaomba waniombee kuna shida gani maana wao wapo huko wanatawala pamoja na kristo
Mmh kanisa la kwanza ni Katoliki mkuu hata mimi najua, lakini halikua hivi lilovyo sasa hapo mwanzoni kuna mabadiliko mengi ambayo hadi akina Padri Martin Luther walihoji nafikiri unakumbukaKwa bahati nzuri upagani wao wameupenyeza mpaka kwenye biblia ambayo wewe unaringa nayo
SASA hapa unamaanisha hata uislam mwisho makka na madina wengine wote wachawi Tu si ndio eehhhHalafu Roman Catholic ni kwaajili ya Italy tu.Mmakonde,Mmachinga,Mmsai,Mchagga au Mnyakyusa na Catholic wapi na wapi !.Umewahi kuona au kusikia Pope Mwafrika au Mungu wa wa Catholic ni Mungu kwaajili ya wazungu pekee yake.