Waumini wa Kanisa Katoliki ni wavumilivu sana

Hujajibu unaongelea agano lipi mkuu?Na vitabu vipi?
Sasa unafikiri Yesu na Mitume waliacha Biblia ?

Je unafikiri kuwa hivyo vitabu vilivyopo kwenye biblia ndio hivyo tu au kuna zaidi?

Na kama vipo zaidi kwanini havikuwekwa ??

Au Biblia ilishuka tu toka Mbinguni
 
Uyahudi na ndipo biblia ilipokuwspo. Hata Yesu aliikuta akasoma neno kwenye sinagogi
Akili Yako ndogo sana alisoma kitabu kama kitabu cha Nabii Isaya

Hiyo kazi ya kukusanya vitabu vyote na kuwa pamoja na kuitwa Biblia ni kazi ya Kanisa Katoliki

Zipo injili zaidi ya nne, je unafikiri kwanini hazikuwekwa hizo zingine

Zipo nyaraka nyingi tu ambazo hazipo humo kwenye Biblia
 
Hivi katoliki ndy ina maaskofu wanaowalawiti watoto wa kiume mpaka papa wao aliomba radhi??
Hii inaitwa fallacy of Generalization, ni kitu kibaya Sana mkuu huwezi kuhukumu jumuiya nzima sababu ya mtu mmoja au wawili
 
Akili kubwa umebaki kiruka ruka na kubwabwaja.

Katoliki hamna umiliki wa biblia wa ukristo wote
 
Tuambie hiyo injili iko wapi.
Au utatumia kitabu cha wakatoliki
 
Utumbo mtupu unauleta humu eti kazi ya kukusanya vitabu vyote kuwa kimoja imefanywa na katoliki sasa ikawaje katoliki wawe na vitabu 72 wengine 66?

Na kwanini kwenye bible ya kikatoliki wameiondoa amri ya pili inayokataza kuabudu sanamu??

Hebu nendeni huko na kanisa lenu la kisheta hilo
 
Kumbe unajua kuwa Yesu ni wa ulimwengu sasa kwani maana ya katoliki ni nini [emoji23][emoji23]
 
Ndio kama amri kumi zilishuka hata biblia ilishuka pia maana kabla ya adam na eva hakukua na binadamu aliyefahamu walipotokea na dunia ilivyoumbwa
Sawa naona Biblia ilishuka toka Mbinguni
 
Hiyo ni kazi ya Martin Luther ambaye aliviengua hivo vitabu
 
Ndio kama amri kumi zilishuka hata biblia ilishuka pia maana kabla ya adam na eva hakukua na binadamu aliyefahamu walipotokea na dunia ilivyoumbwa
Haya twambie ilishukia wapi maana manual scripts zipo kule Roma
 
Hv Bado manakusanya sadaka na kuzituma roma vitican huko
Au umeacha hyvyo

Kingine Ni kuwa wakatoliki huwa wanatoa rais ktk nnchi hii rais asipokuwa mkatoliki bas ni mwisilamu

Sss kkkt na tag hatuna nafsi hyo
 
Baada ya kugundua kuwa vimejaa ushetani msingi akaviengua mkabaki navyo ninyi mnaoipigia magoti sanamu ya mnaemwita bikira mpaka Leo eti awaombee foolishness
Kwa vigezo vipi unasema vimejaa ushetani
Au unabwabwaja tu.

Ata wewe waweza muomba akuombee na ukafanikiwa, maana kazi ya watakatifu ni kutuombea Uf 8:4, 5:8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…