Waumini wa Kanisa Katoliki ni wavumilivu sana

Hapa ndipo wengi walipofeli na wachache sana ndio wameweza kuukwepa huu mtego
 
... sasa ikawaje katoliki wawe na vitabu 72 wengine 66? Na kwanini kwenye bible ya kikatoliki wameiondoa amri ya pili inayokataza kuabudu sanamu??
Weka Biblia ya Kikatoliki uonyeshe tofauti ya amri ya pili iko wapi. Hivyo vitabu kupungua kutoka 72 hadi 66 wasiulizwe Wakatoliki, waulizwe waliovipunguza, ambao ni Waprotestant.

Pengine ungekuwa unajua hilo usingejikaanga kwa mafuta yako mwenyewe
 
Katoliki nyie si hua mna biblia yenu ambayo imebadilishwa badilishwa baadhi ya vipengele ili kuwapumbaza?

Chukua biblia ya kikatoliki soma amri kumi za Mungu alafu linganisha na nyingine.

Amri za Mungu zimegeuzwa
 
16 Kwa hiyo, hatukati tamaa. Ingawa miili yetu inachakaa, utu wetu wa ndani unafanywa upya kila siku.
Maskini unatumia biblia gani

Wakolosai 4:16 BHN

Mkisha soma barua hii, hakikisheni kwamba inasomwa na Wakristo wa Laodikea; na nyinyi fanyeni mpango mpate kuisoma barua waliyoipata wao
 
Weka Biblia ya Kikatoliki uonyeshe tofauti ya amri ya pili iko wapi. Hivyo vitabu kupungua kutoka 72 hadi 66 wasiulizwe Wakatoliki, waulizwe waliovipunguza, ambao ni Waprotestant. Pengine ungekuwa unajua hilo usingejikaanga kwa mafuta yako mwenyewe
Kwa nini awaulize waprostentanti wakati wakatoliki ndio hua wanaitumia hio biblia?

Siku wakatoliki wakishtuka wanaabudishwa sanamu lazima walete noma kudanganywa miaka yote
 
Kwa vigezo vipi unasema vimejaa ushetani
Au unabwabwaja tu.

Ata wewe waweza muomba akuombee na ukafanikiwa, maana kazi ya watakatifu ni kutuombea Uf 8:4, 5:8
Hakuna mtakatifu mwenye authority ya kuwaonbea wanadamu zaidi ya Yesu Kristo mwana wa Mungu Aliyehai yeye ndy aliyemwaga damu yake kwa ajili yetu huyo peke yake ndy mwenye hati miliki ya kutuombea ninyi endeleeni na huyo maria wenu na misanamu yenu ya kuchonga hiyo
 
Katoliki nyie si hua mna biblia yenu ambayo imebadilishwa badilishwa baadhi ya vipengele ili kuwapumbaza?

Chukua biblia ya kikatoliki soma amri kumi za Mungu alafu linganisha na nyingine.

Amri za Mungu zimegeuzwa
Haya kwaiyo unataka kusemakuwa nyie kanisa lenu lilianza tena mkiwa na biblia yenu ambayo baadae kanisa katoliki wakaibadili [emoji23][emoji23][emoji23]

Hamna mahali kanisa katoliki limebadili amri

Nashukuru kwakuwa bado unaamini kazi ya kanisa katoliki kwa kutumia Biblia
 
Kwa nini awaulize waprostentanti wakati wakatoliki ndio hua wanaitumia hio biblia?

Siku wakatoliki wakishtuka wanaabudishwa sanamu lazima walete noma kudanganywa miaka yote
Biblia ilikuwa na vitabu 72. Wakatoliki wameendelea kuwa na vitabu 72 ila Waprotestanti kupitia Martin Luther wakavipunguza (kwa maslahi yao) na kubaki vitabu 66. Kwa akili yako walau ya kuvukia barabara, ni yupi anastahili aulizwe hapo?

Halafu inawezekana ninajadili na mtu ambaye hata hajui dhehebu lake limeanzishwa namna gani (tena pia limeanzishwa na mchungaji gani)
 
Basi kwaiyo hayo maandiko Yohana alikosea au
 
Yesu ni Mungu.
Anakuombea Kwa Mungu yupi?
Acheni kukariri maandiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…