kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,229
- 11,531
😂😂😂😂😂katoliki unajua lilivyoanzishwa?unajua kilichopo nyuma ya upapa/ukatolikiBiblia ilikuwa na vitabu 72. Wakatoliki wameendelea kuwa na vitabu 72 ila Waprotestanti kupitia Martin Luther wakavipunguza (kwa maslahi yao) na kubaki vitabu 66. Kwa akili yako walau ya kuvukia barabara, ni yupi anastahili aulizwe hapo?
Halafu inawezekana ninajadili na mtu ambaye hata hajui dhehebu lake limeanzishwa namna gani (tena pia limeanzishwa na mchungaji gani)