Waumini wa Kanisa Katoliki ni wavumilivu sana

Waumini wa Kanisa Katoliki ni wavumilivu sana

Biblia ilikuwa na vitabu 72. Wakatoliki wameendelea kuwa na vitabu 72 ila Waprotestanti kupitia Martin Luther wakavipunguza (kwa maslahi yao) na kubaki vitabu 66. Kwa akili yako walau ya kuvukia barabara, ni yupi anastahili aulizwe hapo?
Halafu inawezekana ninajadili na mtu ambaye hata hajui dhehebu lake limeanzishwa namna gani (tena pia limeanzishwa na mchungaji gani)
😂😂😂😂😂katoliki unajua lilivyoanzishwa?unajua kilichopo nyuma ya upapa/ukatoliki
 
Nimekosea lakini point yangu si ipo wazi? Wewe uliye hai ushindwe kujiombea halafu uombewe na marehemu? Embu amkeni achezi uzwazwa. Haya ni matumizi mabovu ya akili
Mkristo yupo hai siku zote.

Ukianza kufikiri kuwa kifo kitakutenganisha na Yesu ujue wewe ni mfuasi wa ibilisi.

Kwa kuwa wakristo tupo hai siku zote,tunaendelea kuombeana.
 
Nimekosea lakini point yangu si ipo wazi? Wewe uliye hai ushindwe kujiombea halafu uombewe na marehemu? Embu amkeni achezi uzwazwa. Haya ni matumizi mabovu ya akili
Kama unaweza kujiombea mwenyewe basi usiende kanisani kwa mtume na nabii wako
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]katoliki unajua lilivyoanzishwa?unajua kilichopo nyuma ya upapa/ukatoliki

Muujiza ambao hata UNESCO waliprove kuwa kweli ni muujiza. Damu ya Yesu ni Group AB

Mkate uligeuka kuwa nyama kabisa ya binadamu inayotoka kwenye moyo.

Nyama hiyo tangu miaka hiyo haijawahi kuwekwa kitu chochote ili isioze.

UNESCO walifanya utafiti huo kati ya mwaka 1970 hadi 1973.

Kwa uelewa zaidi soma hiyo link
 
Haya kwaiyo unataka kusemakuwa nyie kanisa lenu lilianza tena mkiwa na biblia yenu ambayo baadae kanisa katoliki wakaibadili [emoji23][emoji23][emoji23]

Hamna mahali kanisa katoliki limebadili amri

Nashukuru kwakuwa bado unaamini kazi ya kanisa katoliki kwa kutumia Biblia
Maandiko ya biblia hayamilikiwi na ukatoliki,mitume walioandika biblia hawakua wakatoliki,akina nabii musa hawakua wakatoliki.

Wala waandishi wa biblia waliokusanya maandishi ya mitume huko kutoka kwenye sehemu mbalimbali huko mashariki ya kati Egypt,Turkey, israel etc hawakusema wao ni wakatoliki

Hayo unayosema ni mmekaririshwa tu ili msijue agenda zilizofichika nyuma ya upapanism
 
Kanisa Katoliki lilianzishwa na Mitume Kwa Maelekezo ya Yesu.
Mtume Petro ndie Papa wa Kwanza na alifia na Kuzikwa Vatican yalipo makao makuu ya Kanisa.
Aisee yani Mtume petro yule aliekua mwanafunzi wa Yesu alikua ni papa🙉?

Watu wamedanganywa sana
 
Maandiko ya biblia hayamilikiwi na ukatoliki,mitume walioandika biblia hawakua wakatoliki,akina nabii musa hawakua wakatoliki.
Kwa nini sasa walokole mlipunguza maandiko?
 
Maandiko ya biblia hayamilikiwi na ukatoliki,mitume walioandika biblia hawakua wakatoliki,akina nabii musa hawakua wakatoliki.

Wala waandishi wa biblia waliokusanya maandishi ya mitume huko kutoka kwenye sehemu mbalimbali huko mashariki ya kati Egypt,Turkey, israel etc hawakusema wao ni wakatoliki
Jielimishe.
Upo too low.
Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vichache vilivyokubaliwa na Kanisa Katoliki kwamba viwe kama nyenzo ya kufundisha.
Nyaraka nyingine nyingi zilionekana zisiwekwe wazi Kwa sababu zinaweza kuwavuruga wenye uwelewa mdogo.
 
Maandiko ya biblia hayamilikiwi na ukatoliki,mitume walioandika biblia hawakua wakatoliki,akina nabii musa hawakua wakatoliki.

Wala waandishi wa biblia waliokusanya maandishi ya mitume huko kutoka kwenye sehemu mbalimbali huko mashariki ya kati Egypt,Turkey, israel etc hawakusema wao ni wakatoliki

Hayo unayosema ni mmekaririshwa tu ili msijue agenda zilizofichika nyuma ya upapanism
Kanisa Katoliki lilianzishwa na Mitume Kwa Maelekezo ya Yesu.
Mtume Petro ndie Papa wa Kwanza na alifia na Kuzikwa Vatican yalipo makao makuu ya Kanisa.
 
Kwa nini sasa walokole mlipunguza maandiko?
Jua injili iliyoasisiwa na kristo,inayohubiri masuala ya upendo na kuacha dhambi

masuala ya dini yako ndio ya kwanza,mara cjui dini kubwa ni kufarijiana tu humo kumbe mnaingizwa chaka na kuabudishwa sanamu
 
Jielimishe.
Upo too low.
Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vichache vilivyokubaliwa na Kanisa Katoliki kwamba viwe kama nyenzo ya kufundisha.
Nyaraka nyingine nyingi zilionekana zisiwekwe wazi Kwa sababu zinaweza kuwavuruga wenye uwelewa mdogo.
😂😂😂😂😂vile vitabu vichache mlivyo edit edit ili kuendana na tabia zenu?

Maana mngejua ukweli mngekimbia
 
Harafu wanalawitiana wenyewe kwa wenyewe sijui papa kapona kubabduliwa kweli?? Maana ushoga Roman ni kama uji na mgonjwa
Kijana punguza mihemko, bishana na hoja, usitumie matusi na kashfa kuipa nguvu hoja zako.
Nikweli

Kanisa ni moja tu, lile linaloruhushu mashoga kuwa ma padre
Hapa inaonyesha na imetafsiri kuwa ni kweli mpo low sana kwenye arguiment.

Hii ni fallacy of generalization.
 
Kumbe Papa NI mtume daah nilipitwa wapi mm.
Na wale waliomtesa yesu walikuwa wakina Nani ?? Mana ndio ilikuwa serikali tawala kwa wakati huo.
Tukarejee kwenye utawala wa Warumi mpaka kufkia ukomo wake.
Kibaya zaidi sikuona dini katika biblia, nazidi kichanganyikiwa.
 
Back
Top Bottom