Waumini wa Kanisa Katoliki ni wavumilivu sana

Kwaiyo Yesu hawezi kutatua matatizo yako ??
 
Ninyi waroma acheni kuabudu miungu ya kike someni biblia unanichosha na maswali ya kipagani mimi
Nimekuuliza.
Huyo Yesu unayemwabudu,hawezi kukutimizia Ombi lako mpaka amwombee Baba yake?

Someni Biblia Kwa utulivu.
Acheni mihemuko.
 
Heeeee,kwa hiyo kwa kusema hyo hata enzi za kumb kumb ya torati alikuwepo???

Siyo tu enzi za kumb ya torati, hata kabla dunia haijaumbwa Yesu yupo.

Yohana : 17 : 5 - Na sasa, Baba, unitukuze mimi pamoja nawe, kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako.
 
Acha ujinga wewe

Na wewe unakubali kabisa kwamba mtu aliyekufa anaweza kukuombea?

Hizi ni akili au matope
Nani kakwambia kuwa Mtu akimuamini Yesu hufa ????

Yn 11:25-26 SUV

Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima. Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, atakuwa anaishi; naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele



Maana wao wamepata nafasi ya kutawala pamoja naye nao wanatuombea

Ufunuo 20:4 BHN

Kisha nikaona viti vya enzi na watu walioketi juu yake; watu hao walipewa mamlaka ya hukumu. Niliona pia roho za wale waliokuwa wamenyongwa kwa sababu ya kumshuhudia Yesu na kwa sababu ya neno la Mungu. Hawa hawakumwabudu yule mnyama na sanamu yake, wala hawakupigwa alama yake juu ya paji za nyuso zao, au juu ya mikono yao. Walipata tena uhai, wakatawala pamoja na Kristo kwa miaka 1,000.
 
Haya jibu swali biblia ilishuka wapi

Maana umedandia gari kwa mbele
 
Ndio ni uthibitisho tosha kuwa wao ndio walioamua kuviweka baadhi ya vitabu kwenye biblia ambayo wewe leo unatumia
 
Wanaandika matakataka utadhani ubongo wao umejaa makamasi eti wananiuliza mimi Yesu hawezi kukusaidia mpaka amuombe baba yake,nilipoona swali hilo nikaachana nao ni weupe mno kichwani
 
Kwani umekatazwa kutumia biblia ?
Unekatzwa kuwa mkristo?

Mbona unaakuwa kama popoma

Sisi tunakushanga wewe unayeona mafundisho ya kanisa ni ya kijinga alafu unatumia biblia ambayo wao waliiandaa
 
Mkuu mtu anayeamini kwamba marehemu aliyekwisha fariki miaka mingi ijayo anaweza kumuombea huyo mtu jua akili yake ina mushkeli
Aliyefariki miaka mingi ijayo.
Kumbe hata kuandika hujui ndo nini sasa hapo umeandika [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Haya nawewe nikupe assignment uje utuambie biblia ilitoka wapi au Yesu na mitume wake walituachia ?
 
Roman iliua wakristo wengi sana waliopingana na mafundisho yao ya kishetani,hivi mkuu ushawahi kuhudhuria ibada za waroma sana sana za mazishi??

Ni full ushetani mpaka siku moja niliogopa,yaani jamaa ni ma devil worshippers kwa asilimia milioni
 
Ona huu ujinga mnalishanaga.

Unajua ndoa ngapi zimevunjika kisa pombe?

Unafahamu watoto wangapi wanaishi kiholela mtaani bila malezi kwasababu tu wazazi wao ni walevi?

Akili huna wewe pario
Kunywa kwakiasi kila kitu fanya kwa kiasi hamna madhara.

Hata ukisali mda wote na usifanye kazi ni sawa na ulevi tu madhara ni yale yale tu

Hivyo pombe sio dhambi ila ni ulevi ni dhambi

Karibu tunywe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…