Sio injili tu, RC inatumia Biblia yote. Kumbuka injili ina vitabu vinne tu. Isije ikawa na wewe unapunguza vitabu tena kama wengine kutoka 72 hadi vinneJua injili iliyoasisiwa na kristo,inayohubiri masuala upendo na kuacha dhambi
masuala ya dini yako ndio ya kwanza,mara cjui dini kubwa ni kufarijiana tu humo kumbe mnaingizwa chaka na kuabudishwa sanamu
Mimi nimeshotoka kwenye ujana tafadhariKijana punguza mihemko, bishana na hoja, usitumie matusi na kashfa kuipa nguvu hoja zako.
Hapa inaonyesha na imetafsiri kuwa ni kweli mpo low sana kwenye arguiment.
Hii ni fallacy of generalization.
Ndio mambo ya kutokuwa na ufahamu hayo. Ni bora ujifunze kwanza ndio uingie kwenye mijadala ya wenye akili zao, maana neno Warumi limeshakuchanganya 🤣🤣🤣Na wale waliomtesa yesu walikuwa wakina Nani ?? Mana ndio ilikuwa serikali tawala kwa wakati huo. Tukarejee kwenye utawala wa Warumi mpaka kufkia ukomo wake.
Hongera kwa kujipa rate kuwa una akili 😂😂Ndio mambo ya kutokuwa na ufahamu hayo. Ni bora ujifunze kwanza ndio uingie kwenye mijadala ya wenye akili zao, maana neno Warumi limeshakuchanganya 🤣🤣🤣
Unajua maana ya kuabudu sanamu.Kwa nini awaulize waprostentanti wakati wakatoliki ndio hua wanaitumia hio biblia?
Siku wakatoliki wakishtuka wanaabudishwa sanamu lazima walete noma kudanganywa miaka yote
Eeh Yani petro mwanafunzi wa Yesu unasema ndio alikua papa?Kanisa Katoliki lilianzishwa na Mitume Kwa Maelekezo ya Yesu.
Mtume Petro ndie Papa wa Kwanza na alifia na Kuzikwa Vatican yalipo makao makuu ya Kanisa.
Ibada ya sanamu ni ile ya kuipigia magoti sanamu ya bikira maria huku ukijua ile ni sanamu haioni wala kusikia huo ni utaahira kabisaUnajua maana ya kuabudu sanamu.
Nini maana ya ibada ya sanamu
Ukweli ndio huo. Haiwezekani JF ijiite Home of Great Thinkers, halafu mtu aje kutetea hoja bila ya kuwa na maarifa nayo.Hongera kwa kujipa rate kuwa una akili 😂😂
Ukichunguza vizuri, wewe pia ni zao la huo uovu 😎😎😎 ukitaka ujue ukweli wa hizi dini, fungua akili yako, kuwa free, usiwe fooled na maneno na hao mapastor zenuWanaishi ukatoliki??? How yani unamaanisha wanaishi kunajisi watoto, kuwa na viongozi wa dini ambao ni mashoga, au wanaishi ukatoliki upi
Mnaupambania ukatoliki utadhani ni kitu cha maana kumbe ni shina la uovu.
Tafuta majibu juu ya Ili,lipo wazi.Ibada ya sanamu ni ile ya kuipigia magoti sanamu ya bikira maria huku ukijua ile ni sanamu haioni wala kusikia huo ni utaahira kabisa
Unatamani ingekuwa kweli muumini we nabii Mussa.🤣🤣Nikweli
Kanisa ni moja tu, lile linaloruhushu mashoga kuwa ma padre
Kwa kifupi kama ndivyo basi wote sisi tunasali imani za watu... Back to our rootsNa uislamu ni kwa waarabu tu sio waafrika kwa mujibu wa maelezo yako
Kabisaa na ukiwakuta wanavyotukana ukatoliki utawaonea huruma mishipa ya shingo ilivyowasimama🤣🤣.Kulijua Kanisa Katoliki na kweli inayofundisha ni kwa neema tu! Ukilijua vyema utabaki unashangaa ulimwengu unaolitukana tu. Ndio Kanisa linaloshambuliwa na dini zote!
Hata secret societies tishio lao kuu ni Kanisa Katoliki ndio maana wamejaribu ku penetrate ili kuliharibu lakini over 2000 yrs the church is divinely protected.
Kwa maelezo yako ingebidi kwa watu wenye busara hii mada iishie hapa tuu maana ushamaliza.Sisi waumini wa kanisa katoliki tunafundishwa tusipoteze muda kubishana.
Kwetu kanisa ninsehemu ya maisha.
Nikihitaji shule bora kwa mwanangu nitampeleka shule ya kanisa.
Naumwa nitakwenda Bugando hospital na nitapata huduma bora za matibabu.
Nikihitaji hudumaa za kibank kwa ajili ya akiba yangu nifungua account mkombozi bank.
Nahitaji ujirani mwema.kupitia jumuiya nitajumuika na waumini wenzangu kupata social service.
Hivi ndivyo ambavyo kanisa Catholic linavyo deal na waumini wake ndo maana hatuna muda wa kuanza kujibizana na muumini wa dhehebu lingine.
Kama uko sahihi ni sawa.
Kama unajua sana biblia ni sawa.
Kama wewe ni mtakatifu ni sawa.
Kama utaenda mbinguni ni sawa pia.
Hatuna muda wa kuanza kuonyeshana nani yupo sahihi na nani hayupo sahihi.
Na kutokubishana na waumini wa madhehebu mengine ndo sababu ya kwanini kanisa hili bado lina nguvu na linawaumini miaka yote.
Nilibahatika kusoma katekisimu kubwa ya wakatolic ikanifanya kuapa sitatoka katolicKulijua Kanisa Katoliki na kweli inayofundisha ni kwa neema tu! Ukilijua vyema utabaki unashangaa ulimwengu unaolitukana tu. Ndio Kanisa linaloshambuliwa na dini zote!
Hata secret societies tishio lao kuu ni Kanisa Katoliki ndio maana wamejaribu ku penetrate ili kuliharibu lakini over 2000 yrs the church is divinely protected.
Hatuachi. Yani hatuachi na hakuna kitu mtatufanya.Ibada ya sanamu ni ile ya kuipigia magoti sanamu ya bikira maria huku ukijua ile ni sanamu haioni wala kusikia huo ni utaahira kabisa
Haha pole weeeeIbada ya sanamu ni ile ya kuipigia magoti sanamu ya bikira maria huku ukijua ile ni sanamu haioni wala kusikia huo ni utaahira kabisa