Sisi waumini wa kanisa katoliki tunafundishwa tusipoteze muda kubishana.
Kwetu kanisa ninsehemu ya maisha.
Nikihitaji shule bora kwa mwanangu nitampeleka shule ya kanisa.
Naumwa nitakwenda Bugando hospital na nitapata huduma bora za matibabu.
Nikihitaji hudumaa za kibank kwa ajili ya akiba yangu nifungua account mkombozi bank.
Nahitaji ujirani mwema.kupitia jumuiya nitajumuika na waumini wenzangu kupata social service.
Hivi ndivyo ambavyo kanisa Catholic linavyo deal na waumini wake ndo maana hatuna muda wa kuanza kujibizana na muumini wa dhehebu lingine.
Kama uko sahihi ni sawa.
Kama unajua sana biblia ni sawa.
Kama wewe ni mtakatifu ni sawa.
Kama utaenda mbinguni ni sawa pia.
Hatuna muda wa kuanza kuonyeshana nani yupo sahihi na nani hayupo sahihi.
Na kutokubishana na waumini wa madhehebu mengine ndo sababu ya kwanini kanisa hili bado lina nguvu na linawaumini miaka yote.